CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,102
Propasal za "Una mpango gani na mimi" natamani uwe Baba wa wanangu, Oooooh unajua sa hv na mimi nataka niwe na ndoa yangu"
Unakuta mtu tayari ni Single Maza anakulazimisha kabisa watoto wake watatu wakuite Baba kwa Lazima,
Mara Njoo umuone mtoto anaumwa anataka aone angalau Mapenzi ya Baba yake.
Ooh Kwetu wanataka wakuone lini tunaenda?
Huko kwenye ndoa kuna vitu gani mnavyokimbilia? Mbona mnataka tuishi kwa kufata stress zenu? Yaani ukitaka kuolewa unataka ulazimishe tu ndoa wakati ukiwa 22 ulikuwa unajivunia hilo tako lako.
Wanaume bana sisi hatutaki ndoa wala nini.
[emoji3][emoji3][emoji3] poleni Kwa Povu langu.