Ladies Its Time To Propose!!!!! Pop the Question YourSelf

Ladies Its Time To Propose!!!!! Pop the Question YourSelf

Hivi kwa muda wa 6 yrs hata mimba haikuingia? Au hakutegeshewa??? Ladies at times u need to be innovative to achieve your plans. At times kuviziana huwayoa wengi, na kwa taarifa tu wengi wameolewa baada ya kuwasuprise ma sweetie waona vimba haaaaa haaaa chezea kuviziana utakaaje bila mpangilio?
 
Mbona hujanivisha ringi?

Upendo wa kweli hauthibitishwi na vitu vya kuonekana,ili ujue nakupenda sio mpaka nikufungulie mlango wa gari,angalia ninavyokuheshimu,kukuthamini na kukujali.That's all matters!
 
Ujue kuviziana its begging of some kind! Sasa kuna wale vichwa ngumu ambao we dont want to beg! We want our men to want us not for the kid but for our self as we are! Ofcourse this philosophy is outdated but old habits die hard!
 
Its not fair at all kwa kweli! You want to spend the rest of your life with somebody and they wanna spend their lives with somebod else too!!!!!!!!

Inauma sanaa after 6 years of stable relationship you go back to ground zero!!!!!!! The dating games!!!!!!!

Ila kweli jamani inauma sn tena sn tu!
 
Ndo maana mabinti wa siku hizi mnanikera sana.

Mwanamume bila kumpimia anakufanya asusa. Kwenye ndoa kwenywe tunapimiwa wakati nyia hata kabla ya ndoa mnaachia kama vile mnagawa maji ya mvua tena kipindi cha masika.

You need to use your brains wajukuu zangu wapendwa!

Sijui huwa wana-apply zile princ za fisi kumfuata binadamu nyuma wakiamini kuwa iko siku mkono wa mwanadamu utaanguka?! Wananikera aisee!
 
Hahahahahahahahaha

Yes I love my hubby ,mchochomeo sio wakawaida,he is my best friend,lover,father of my angels,(he is a very wealth men ) I respect him for that .He is my life
 
Upendo wa kweli hauthibitishwi na vitu vya kuonekana,ili ujue nakupenda sio mpaka nikufungulie mlango wa gari,angalia ninavyokuheshimu,kukuthamini na kukujali.That's all matters!

Kumbe na wewe ni mwenzetu wa one 1947??

Siku hizi bila kufanya hayo basi wewe ni mwanamume wa jina tu....

Lazima ubebe maua kwa sana. ufungue mlango wa gari, uvute kiti binti akae na pia utoboe wallet kununua perfumes na mazaga zaga mengine yanayoharibu afya (junk junk) bila kusahau chocolates....

Sie tunaoleta zawadi za mikaa, viroba vya mchele, nyanya, ngogwe, biringanya na hata kapu la live chicken hatuna soko tena.....

That's why I miss my 1947 life.....Wapi wazee/wakubwa wenzangu ...?? The Boss, Asprin, Kaizer, @FP, gfsonwin....

Babu DC!!
 
Ujue kuviziana its begging of some kind! Sasa kuna wale vichwa ngumu ambao we dont want to beg! We want our men to want us not for the kid but for our self as we are! Ofcourse this philosophy is outdated but old habits die hard!

Unajua nini lara 1,

Katika haya mambo ya kutafuta mke/mume, siyo lazima muwe kwenye win-win situation...Kama kuna ulazima, mtu anaweza kukamatwa masikio na maisha yakaenda mbele...

Ndiyo maana kuna wadada wajanja ila mwishowe hunaswa na kutulia kwenye ndoa..Hata wanaume wanaokuwa wagumu kuamua wapo... Nao wakinaswa wanaoa na kutulia kama vile wamepigwa limbwata...lol!!

Dawa ni mtu kujua aina ya mwenza uliye naye ili ikibidi umvute masikio...

Na hapa ndipo tunarudi kwenye yale mambo ninayowambia kila mara, .....kuwa kwenye ndoa mara nyingine mambo ya love yanawekwa pembeni na watu wanaangalia vigezo vingine...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hi wadau! Huwa napita tu nimeona leo nitupie kidogo. Kwanza nampa pole huyu shost but 2 b honest she has a blunt mind..how do u stay ol those years? Me naamini muoaji unamuona tu..six years is too much to wait dumbly.
2ndly kilichonifanya nidondoke humu ndan leo ni jinsi ninavyoona wa2 ambao ni great thinkers wakiwa na hoja za watu wa mitaani. How many of u believe kupata mimba kunainfluence ndoa bora? Au hapa wadau mnamaanisha bora ndoa? Tubadilike jaman hizi ni dhana potofu za watu wasio na uwezo wa kufikiri. Maisha ya ndoa ni mziki..plus or minus uwe na m2 ambaye hukumzimia kiivo si ndo balaa kabisa..halafu badae malalamishi yaanze ooh ndoa ngumu; kila ki2 kina ugumu wake but vingne 2najitakia na haraka ze2 zisizo na upeo.
I stand 2 b corrected.
 
Mimi sijui hata ni kitu gani kinaongelewa hapa yani siku ulipomkubalia ulikubali nini ulitongozwa vizuri ukajua kinatakiwa nini? mgegedo au kuolewa? kama ulikubali mgegedo leo utapinduaje utake ndoa? ulichomkubalia ndicho alichokiweka rohoni kwamba ni mgegedo kwa kwenda mbele kupropose ni kuleta za kuleta. Halafu nyie madem nani aliyewaloga mnatoa mgegedo nje ya ndoa? umepuuza maadili ya ndoa sasa utaitakaje manake hiyo ni sawa na kutaka urafiki na mtu unaemtukana kila siku itawezekana?
 
Hey Babu DC
Viroba vya mkaa na mchele ni zawadi? Duh
We Eiyer fuata tu haya maelekezo, nami nitatimiza wajibu bila kuongeza maufundi kule ndani, shauri zako.

Mwanamke shurti nibebwe from living room to the bedroom, ni part ya mahaba ujue. LOL
Kumbe na wewe ni mwenzetu wa one 1947??

Siku hizi bila kufanya hayo basi wewe ni mwanamume wa jina tu....

Lazima ubebe maua kwa sana. ufungue mlango wa gari, uvute kiti binti akae na pia utoboe wallet kununua perfumes na mazaga zaga mengine yanayoharibu afya (junk junk) bila kusahau chocolates....

Sie tunaoleta zawadi za mikaa, viroba vya mchele, nyanya, ngogwe, biringanya na hata kapu la live chicken hatuna soko tena.....

That's why I miss my 1947 life.....Wapi wazee/wakubwa wenzangu ...?? The Boss, Asprin, Kaizer, @FP, gfsonwin....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hey Babu DC
Viroba vya mkaa na mchele ni zawadi? Duh
We Eiyer fuata tu haya maelekezo, nami nitatimiza wajibu bila kuongeza maufundi kule ndani, shauri zako.

Mwanamke shurti nibebwe from living room to the bedroom, ni part ya mahaba ujue. LOL

Kwani kama siyo zawadi ni nin?

Mbona huku kwetu wanaume ndio wanaobebwa??

Babu DC!!
 
me nilikaa miaka mitatu bila bila naambulia bebi , i luv u, cku naamua kupropose naambulia miaka mitatu ahead tena naambiwa hiyo ni minimal nikasepa kimyakimya lol, ila wanaume wasio na uthubutu me nawashangaa lol, thanx niliwahi kupropose usikute ningekua naendelea kuchacha kwa kusubiri kwenye HAMNA
 
Hivi kwani, wanawake wao wako tayari tu kuolewa na kila mwanaume watokaye naye?

Manake taswira ninayoipata hapa ni kana kwamba wanawake wao ni wa kusema ndiyo tu.....

Unatutafsiri vibaya hua once tumemek comitment ya mda wote huo lazima i wil end up mary u UNLES
 
Hi wadau! Huwa napita tu nimeona leo nitupie kidogo. Kwanza nampa pole huyu shost but 2 b honest she has a blunt mind..how do u stay ol those years? Me naamini muoaji unamuona tu..six years is too much to wait dumbly.
2ndly kilichonifanya nidondoke humu ndan leo ni jinsi ninavyoona wa2 ambao ni great thinkers wakiwa na hoja za watu wa mitaani. How many of u believe kupata mimba kunainfluence ndoa bora? Au hapa wadau mnamaanisha bora ndoa? Tubadilike jaman hizi ni dhana potofu za watu wasio na uwezo wa kufikiri. Maisha ya ndoa ni mziki..plus or minus uwe na m2 ambaye hukumzimia kiivo si ndo balaa kabisa..halafu badae malalamishi yaanze ooh ndoa ngumu; kila ki2 kina ugumu wake but vingne 2najitakia na haraka ze2 zisizo na upeo.
I stand 2 b corrected.

Ndugu nnachotaka nmi furaha ndo hivyo am around 30 nakupenda na ushagoma nategesha c unioe bali uniachie akiba ya mtoto uzeeni , nikamuangalia nipate kukumbuka penzi nililokossa kwako, kwako usiponioa ntashindwa ishi, am just luking for ma hapines n the builder is me , myself n i, najua unaweza kua na ruti za hapa na [pale kuja kumchek mwanao sa me ntakua nimepungukiwa nini tena
 
Back
Top Bottom