Ladies Its Time To Propose!!!!! Pop the Question YourSelf

Ladies Its Time To Propose!!!!! Pop the Question YourSelf

I call it culture clash!! this is westernization or modernization?! any way, all in all u better becarefull for men.
 
lara 1 nimechekaaaa mbavu sina lol.

To me sipotezi muda kijinga lol.. Ntakuuliza daily hadi iwe kero na mwishowe ntajua mbivu zipi.

Kama huna mpango najipanga kivyangu lol.

Na nikikuacha sikuachi bure alaaaaaaaaaa.. Ntakufungia kwa sala ati. . Unawezaje kucheza na muda na feeling za mtu namna hii?????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kwa miaka hii,naunga mkono kwa wadada kutongoza hata kupropose

wanaume wasiotaka kuingia kwenye ndoa au kuchelewa ni wengi za mashosti wanaolengesha mimba moja halafu hawataki ndoa
 
msije kichwa kichwa kwa wanaume mtaonekana malaya!! wangapi watawaelewa?! not soo fast laidies!! "changanya na zako"!!
Stamina.. Nafikiri kama msichana yuko kwa mahusiano na mwenzi wake kwa muda fulani hivi let's say 2-3 years. Na kila kitu kinakwenda sawa.. Kama ni committment let's say za masomo mmemaliza, kazi mmepata. Mko kitaa sasa kila mtu ana kazi.

Jamaa kakaaa kimya kama kala shubiri.. N mind u uko commited balaa hata simu yako ikiita macho yanamtoka, ukiwa mbali nae anapiga simu hadi ukiwa toilet lol (yani kakung'ang'ania haswaaaa)

Damn meeeeen .. Ntamuliza tena kinaga ubaga lol ..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nimetoka nae mbali zinawamalizaga watu si utani! Hadi atapoonyeshwa sawa tumtoka mbali ila tumefika tulikokuwa tunakwenda!!!!!!!!

Duuuuuu kama najiona ntakavyolia iiii iiiiiiiiiiiiiii na kwikwi juu! Daa .. Yasikukute hii isikie kwenye radio lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwanza ishu ya huyu bidada naona kuna scenarios zifuatazo:

kwanza hayuko sharp kumsoma partner wake....6 years are too many, kuweza kumsoma mwanaume na kujua unaposition gani katika future life yake

ndani ya miaka 6 yeye kama mwanamke angeweza kupata mtoto na jamaa kama angetaka, so tungekuwa tunaongelea situation ya mtu na mzazi mwenzie( kutegesha mimba)....labda kama mmoja kati yao ana matatizo ya uzazi

hajiamini, ana elimu na anajiweza kiuchumi lakini hayo hayajaweza kumkomboa kifikra....ni mtu ambaye hana confidence ya kufanya maamuzi magumu ya maisha, pia yuko dependend kihisia

nini afanye so far:

a-move on....though its tough but she has to do so.....

atafute smone apate mtoto ajiwekee security ya maisha ya uzeeni

kama anajiona yuko so attached to the guy atafute goli la ushindi la dk za nyongeza....ategeshe mimba kwa jamaa, men are men hawawezi kataa game ya kirafiki so aombe mechi ya kufunga mahesabu na ajizolee ushindi wake....hata kama hatomwoa atakuwa anajoconsole na mtoto
 
nakubaliana nawe kwenye bold, uko na mtu for 6 years unashindwa kuelewa tu kama anakupenda na kuhitaji kuwa nawe?? kweli gals we differ!!!!
Marriage is a battleground not a joke at all.A men needs to love you and want to be with you .Marriage needs a lot of sacrifice and perseverance .
 
Neggirl sijakataa kumuuliza Bf wake but lazima amsome yukoje!! na utakaaje na mtu miaka sita?! eti anampenda?! siamini!!
 
Kwanza approaching, pili between 2yrs muwe mnapanga mikakati ya ndoa(UCHUMBA)!! ikipata 3yrs kaa chonjo!! sio 6yrs!!
 
Nicole "eti atafute someone apate mtoto ajiwekee security ya uzeeni" ushauri mwingine bwana!! "CHANGANYA NA AKILI ZAKO"!
 
huu ni ushauri ama trash?tehetehe no wonder kuna tofauti kati ya mwanaume na mvulana
Nicole "eti atafute someone apate mtoto ajiwekee security ya uzeeni" ushauri mwingine bwana!! "CHANGANYA NA AKILI ZAKO"!
 
Ushauri huu wa NICOLE ni wakukurupuka!! nani kamdanganya siku hizi kuzaa na mwanaume ndio NDOA?! Thubutuuuuu!!
 
Kweli wewe kubwa lao, mbona we mwenyewe unamyayusha mshkaji mwaka wa 3 sasa mshkaji anasotea jibu, unamzingua tu ,kwani sisi hATUJUI
Wakubwa zangu shikamooni!

IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!

Jamani we are living in difficult times now, especially for us ladies! Kama mjuavyo hii ni January so kila mtu ana mikakati yake binafsi na goals zake anataka kuachieve! Binafsi sina mkakati wowote ule hadi mda huu! I let the future Surprise me and my destiny amaze me!!!!!!!

Sasa bi dada mmoja umri umesogea kidogo japo moja ya mikakati yake ni Wedding Bells lazima zigonge mwaka huu! Liwalo na liwe The Knots Must Be Tied! The sister is hitting the Nervous 30's!!!! Kabla hamjaanza kuingia in your area of expertise ambayo ni JUDGING and CONDEMING heri mmjue wasifu kidogo wa huyu victim wetu bi dada!

Bi dada bwana tunafahamiana, kwao kuko poaaa sanaa, na mwenyewe she is doing well ana kama 5 years hivi kwenye career yake, backed up by her determination, ambition and dads fortune ofcourse ameweza kumiliki HR Consulting Firm yake binafsi na ana contruct za maana ikiwemo ya kaisari wangu! Ndo tukajuana huku kutokana na Desciplinary warnings za kutosha nazomiliki! Sasa huyu bi dada ana Lonterm BF almost 6Years wako wote!

BF wa ukweee huyo! Usipime! Ni Partner wa kampuni flani hivi inamiliki migodi! Yuko njemaaa financially, skuli nako kapitia mambo yake bombaaa, kwake hizi CPA, CFA, CMA ni kati ya attatchment chache za Portifolio yake na Resume! Phisically pia he is a looker too! Wanaume wa hivi huwapati barabarani ovyo ovyo! Na watu kama Lara moko kuwapata wanaume specie hii ni untill Gods decides to intervene himself! Inakuwa a Gift from The Gods!!!! He is agentleman too nilisahau! Nilipomuona i understood why the 6 years wait!

The problem is HE ISN'T POPPING THE MILLION DAOLLAR QUESTION!!!!!!!!!! Bi dada waited for 6 years for him to pop that question!!!!! Bila bila!!!!!! Trust me when i say all is well between them! Sasa dada is getting desperate!!!!
Mi nikamshauri times are changing if he hasnt asked for 6 F.U.C.K.I.NG Years he isnt gonna ask! Its high time she plays the S.LUT card and do the asking! Akasema aaah bwana its not a lady like kupropose na nini! We mbona hujapropose kwako! Nikamwambia i aint the one goin 30 anytime soon! If i hit 30 i will propose, and not only propose bt actually marry somebody if its necessary! LOLEST! Tukaishia kucheka tu!

Huku na huku akasema to hell! Basi akaamua liwalo na liwe! Akapropose to the guy! Flani Will you marry me this year????? Hahahahaaaaaaa! Kama namuona kaka sharubu zilivomng'aaa!!!!! You know kibao! Ndo akasema tu ukweli ujue mimi all these 6 Years i was hopping itafika siku i will certainly feel its the right time to marry you lakini miaka inakatika tu! There is somethin missin btn us but i dont know what! Ila umekuwa mwema sanaa kwangu i was hopping n prayin utakuja kuniambia u have found somebody special but ufortunately that day never came! BLAH! BLAH! BLAH! Bottom line is He is not gonna marry her either way!

Funzo kwenu wadada kwa hii habari if you feel its time definately, na mwenzio kajikausha PROPOSE YOUR SELF!!!!! Kukaa kimya unaweza kujikuta unangoje Somethin that is never commin! Heri ujue mapemaaaa! Utajua endapo tu utapropose! Being nice n waiting in vain is soo 90's. 2years zinatosha kuwait in vain, then play the S.lut card and propose ili ujue hatma ya your future!!!!!!!!!!!

Nangojea mpambano wa hoja!!!!!!!!!
 
lara 1, mabinti wa hivi wananikera sana. Unakaa miaka sita na mtu ukisubiri nini?

Kwa mtu anayejitambua hata miaka 2 ni mingi sana.

Halafu tatizo jingine la wadada wa kileo ni kutoa full menu unconditionally!

Hii mbinu ya kubanabana yaweza kusaidia, ila ina walakini!
Kuwa na ndoa ya kulazimishana (kwa kubana ili aone umuhimu wa kuoa) yaweza ku'backfire' wakishakua ndani ya ndoa yenyewe....hasa mme akija kuelewa kwamba hakua anamhitaji huyu huyu!
Namuunga mkono lara 1 kwenye kuulizia kuhusu mustakali wa uhusiano mapema....japo mwanamke ajue kwamba yupo kwenye fikra za kuwa mke! Baada ya hapa ndipo mbinu ya kubana inakua na maana.
 
Last edited by a moderator:
Nilichotaka kusema nimeona nitatoka nje ya mada.
"
Kwangu mimi,from the first day namwaga mistari kwa mwanamke lazima nimwambie gari tunalopanda linaenda wapi
"
Watanzania hatukulelewa kufanya mambo kwa malengo ndo maana unafanya jambo kwa muda mrefu bila kujua hasa unataka iweje baada ya muda upi
"
Kwenye mahusiano ni boro from day one mkajua hasa mnapoenda kuishia ili mjue na kuweka malengo.Kuwa wawazi ni vyema ili kama hakuna ndoa hili lifahamike kwa uwazi ili during safari anaweza kutokea ambae anataka umuoe au akuoe na ukapata ndoa
"
Kuweka malengöi jambo jema!
 
Hujaniambia tunapokwenda mbona?

Nilichotaka kusema nimeona nitatoka nje ya mada.
"
Kwangu mimi,from the first day namwaga mistari kwa mwanamke lazima nimwambie gari tunalopanda linaenda wapi
"
Watanzania hatukulelewa kufanya mambo kwa malengo ndo maana unafanya jambo kwa muda mrefu bila kujua hasa unataka iweje baada ya muda upi
"
Kwenye mahusiano ni boro from day one mkajua hasa mnapoenda kuishia ili mjue na kuweka malengo.Kuwa wawazi ni vyema ili kama hakuna ndoa hili lifahamike kwa uwazi ili during safari anaweza kutokea ambae anataka umuoe au akuoe na ukapata ndoa
"
Kuweka malengöi jambo jema!
 
Back
Top Bottom