Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,674
- 8,241
Nyama ya nini mkuu?Tatizo inakuwa na chumvi chumvi mno kaharufu fulani kama ya fisi

Zebra au wale wa kubeba mizigo?Dah Dodoma kule kijiji karibu na Udom kinaitwa Ng'ong'ona, mimi na washkaji tulipewa supu baada ya kumaliza hapo tuko njiani ndo tunaulizana, mbona nyama supu tuliyopewa ilikua na nyama nyingi. Dah tukawa tunajiuliza maswali mengi bila majibu. Mara nyama yenyewe ilikua nyekundu ila laini, kuja kuuliza wenyeji wakatuambia itakua tulipewa supu ya punda *****, tukataka kurudi kwa muuzaji tumuamshie kirambasi ila tukavunga, tukaanza kichekana.
Nyama ya mtu uwez kula ww.
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeThithithithiiiii, britanicca usijidanganye siku mtu mnono akiingia kwenye 18 zako uniambia.
Itakuwa kwa mchaga hiyo mwangaKigomaaaaaaaa
Nilisogea sehemu wanachoma mishkaki mikubwaaaa balaaaa
Sasa bila kujua nkachagua miwili mikubwa kabisaaa
Akaipasha nkaitiaa pilipili na chumvi nkaanza tafuna sasa ule msisimko skuuelewa nkasema labda ni chakwanza nkapiga kinyango cha pili mambo yaleyalee
Mda huo huo akaja mtu akaulizaaa kwa sautiiii ..... Palee
HAYA MATITI NI YALEO
Nkaguna kwanzaaa nkaacha kutafuna nkaendelea kusikilizaa
Kumbe ni mishkaki ya mapumbu ya ngombe na matitiii
Ni kitu ambacho skuwah kulaa wala kufkiriaa ntakulaa siku moja
Nkaondoka taratiibu na mishkak yangu kuitupa mbele yasafariii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Itakuwa kwa mchaga hiyo mwanga
NähtavastiHivi kwanini mara nyingi watu wanaolalamika kulishwa nyama isiyoeleweka hulalamika baada ya kushiba na sio pale mwanzoni tu wanapoanza kula...?
HahahaKigomaaaaaaaa
Nilisogea sehemu wanachoma mishkaki mikubwaaaa balaaaa
Sasa bila kujua nkachagua miwili mikubwa kabisaaa
Akaipasha nkaitiaa pilipili na chumvi nkaanza tafuna sasa ule msisimko skuuelewa nkasema labda ni chakwanza nkapiga kinyango cha pili mambo yaleyalee
Mda huo huo akaja mtu akaulizaaa kwa sautiiii ..... Palee
HAYA MATITI NI YALEO
Nkaguna kwanzaaa nkaacha kutafuna nkaendelea kusikilizaa
Kumbe ni mishkaki ya mapumbu ya ngombe na matitiii
Ni kitu ambacho skuwah kulaa wala kufkiriaa ntakulaa siku moja
Nkaondoka taratiibu na mishkak yangu kuitupa mbele yasafariii
Ndiyo maana huna akiliJe umeawahi Kula Nyama ya kitu fulani bila kudhamiria?
Nimekumbuka siku nilipokula nyama nisiyoielewa, nadhani ni ya binadamu
Baada ya kujua nilitetemeka sana na mbaya zaid nikaambiwa nikaushe asijue mtu yeyote,
Britanicca
Nyama ya nini mkuu?
We Jamaa umenisababishia nimecheka kwa sauti kubwa saaaana...na hivi niko kwenye daladala... [emoji1787]Kigomaaaaaaaa
Nilisogea sehemu wanachoma mishkaki mikubwaaaa balaaaa
Sasa bila kujua nkachagua miwili mikubwa kabisaaa
Akaipasha nkaitiaa pilipili na chumvi nkaanza tafuna sasa ule msisimko skuuelewa nkasema labda ni chakwanza nkapiga kinyango cha pili mambo yaleyalee
Mda huo huo akaja mtu akaulizaaa kwa sautiiii ..... Palee
HAYA MATITI NI YALEO
Nkaguna kwanzaaa nkaacha kutafuna nkaendelea kusikilizaa
Kumbe ni mishkaki ya mapumbu ya ngombe na matitiii
Ni kitu ambacho skuwah kulaa wala kufkiriaa ntakulaa siku moja
Nkaondoka taratiibu na mishkak yangu kuitupa mbele yasafariii
Tunamtafuta watu fulani wamepotea. Vipi huko wanakokulaga hujawaona?Ya mtu..
Ya umbwa hiyoNilinunua mishikaki pale iringa aisee nilijuta mbonaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Yani nyama haina ladha na haitafuniki kabisaa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Ya umbwa hiyo
Aisee umenifanya nimecheka kama falaKigomaaaaaaaa
Nilisogea sehemu wanachoma mishkaki mikubwaaaa balaaaa
Sasa bila kujua nkachagua miwili mikubwa kabisaaa
Akaipasha nkaitiaa pilipili na chumvi nkaanza tafuna sasa ule msisimko skuuelewa nkasema labda ni chakwanza nkapiga kinyango cha pili mambo yaleyalee
Mda huo huo akaja mtu akaulizaaa kwa sautiiii ..... Palee
HAYA MATITI NI YALEO
Nkaguna kwanzaaa nkaacha kutafuna nkaendelea kusikilizaa
Kumbe ni mishkaki ya mapumbu ya ngombe na matitiii
Ni kitu ambacho skuwah kulaa wala kufkiriaa ntakulaa siku moja
Nkaondoka taratiibu na mishkak yangu kuitupa mbele yasafariii
Tunamtafuta watu fulani wamepotea. Vipi huko wanakokulaga hujawaona?
Nina nia ya kwenda kutembelea huko kutalii. Kama unanikumbusha nisiendeMi sijui vipi mliwahi kwenda mbudya kule island?