Ladha ya Nyama usiyoitambua (nililishwa ya binadamu)

Shost unapenda nyama
Hahahahha hamna mi sioni sababu ya kuhoji nyama iliyopo kwenye sahani eti nyama ya nini. Miaka ya nyuma pale chalinze watu wakisafiri walikua wanaogopa kula nyama zile za kuku na mishkaki. Mi sijawahi kuhofia hahaha usichokiona hakina haram ili mradi kishaivishwa tena kwenye mti wa mshikaki omba pili pili tu
 
Kula sana nyama zote mpaka nyama ya Nkunda ( nyani ) kasoro binadamu.
 
Je umeawahi Kula Nyama ya kitu fulani bila kudhamiria?

Nimekumbuka siku nilipokula nyama nisiyoielewa, nadhani ni ya binadamu

Baada ya kujua nilitetemeka sana na mbaya zaid nikaambiwa nikaushe asijue mtu yeyote,

Britanicca
Mimi mwenyewe nilikuwa nakula sana nyama za mabinti wazuri wazuri ila toka niambiwe kuna kirusi gani sijui kimeingia nimepunguza sana.

Ila ni watamu sana.
 
Tatizo inakuwa na chumvi chumvi mno kaharufu fulani kama ya fisi
Jamani. Kama nyama niliyokula nyumba ndogo juzi..
Laini lkn haina ladha ya nyama ya ng'ombe. Ila ilikarangizwa mno. Pilipili hoho. Vitunguu swaumu na kadhalika. Halafu mpikaji alikataa kula eti tumbo lake nimejaa gesi. Ilikua hata sijui nisemeje. Wanyamwezi jifunzeni kupika kileo. Acheni upishi wa kishamba
 
Dah asee....pole mkuu. Pole Sana.
 
Jamani. Kama nyama niliyokula nyumba ndogo juzi..
Laini lkn haina ladha ya nyama ya ng'ombe. Ila ilikarangizwa mno. Pilipili hoho. Vitunguu swaumu na kadhalika. Halafu mpikaji alikataa kula eti tumbo lake nimejaa gesi. Ilikua hata sijui nisemeje. Wanyamwezi jifunzeni kupika kileo. Acheni upishi wa kishamba
Imechangamywa na hedhi
 
Hahahahha hamna mi sioni sababu ya kuhoji nyama iliyopo kwenye sahani eti nyama ya nini. Miaka ya nyuma pale chalinze watu wakisafiri walikua wanaogopa kula nyama zile za kuku na mishkaki. Mi sijawahi kuhofia hahaha usichokiona hakina haram ili mradi kishaivishwa tena kwenye mti wa mshikaki omba pili pili tu
Hata kama haramu, ukikamulia ndimu au limao uharamu wote unaisha
 
Hasa Kongo hoteli zao wanalisha watu Nyama za watu wafupi Mbilikimo
Usinikumbushe mkuu nilikulaga hiyo nyama bila kujua then after one week nakuja kuambiwa ilikuwa nyama ya mtu niliamua kujitahidi kusahau lile tukio maana ndo ilishatokea!
 
We demu bana unafurahisha sana.

Kwahiyo nawewe ukakausha kweli, ulitekwa ama??? Kwanini ulihisi ni nyamafu ya binaadmam na si ya nyani ama simba??
Inavyoonekana alishawahi kula nyama ya mwanadamu kwa hiyo anajua ladha yake
 
Jamani. Kama nyama niliyokula nyumba ndogo juzi..
Laini lkn haina ladha ya nyama ya ng'ombe. Ila ilikarangizwa mno. Pilipili hoho. Vitunguu swaumu na kadhalika. Halafu mpikaji alikataa kula eti tumbo lake nimejaa gesi. Ilikua hata sijui nisemeje. Wanyamwezi jifunzeni kupika kileo. Acheni upishi wa kishamba
Kwa kabila hilo ujiandae kuitelekeza familia yako
 
Back
Top Bottom