Ladha ya Nyama usiyoitambua (nililishwa ya binadamu)

Ladha ya Nyama usiyoitambua (nililishwa ya binadamu)

Ingawa mimi sio mtaalam wa sheria lakini hadithi kama hii inaweza kukutia hatiani. Kuna raia wengi wanapotea na keleta sintofahamu, ikiwa mnakula nyama za binadamu na kukausha, unaweza kuisaidia jamuhuri kupeleka, huko uliko lishwa hiyo nyama, unaweza kuta ulimla Ben Saanane, au yeyote ambaye hajapatikana.
Acha utani, katoe taarifa polisi.
Kweli



Upo sawa mkuu.
 
Nilinunua mishikaki pale iringa aisee nilijuta mbonaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Yani nyama haina ladha na haitafuniki kabisaa...
Utakuwa umelishwa NG'ANG'A halafu zee sana yale yanayolala kwenye MAGEREJI.
 
Back
Top Bottom