Ladha ya Nyama usiyoitambua (nililishwa ya binadamu)

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,180
Reaction score
48,115
Je umeawahi Kula Nyama ya kitu fulani bila kudhamiria?

Nimekumbuka siku nilipokula nyama nisiyoielewa, nadhani ni ya binadamu

Baada ya kujua nilitetemeka sana na mbaya zaid nikaambiwa nikaushe asijue mtu yeyote,

Britanicca
 
Dah Dodoma kule kijiji karibu na Udom kinaitwa Ng'ong'ona, mimi na washkaji tulipewa supu baada ya kumaliza hapo tuko njiani ndo tunaulizana, mbona nyama supu tuliyopewa ilikua na nyama nyingi. Dah tukawa tunajiuliza maswali mengi bila majibu. Mara nyama yenyewe ilikua nyekundu ila laini, kuja kuuliza wenyeji wakatuambia itakua tulipewa supu ya punda *****, tukataka kurudi kwa muuzaji tumuamshie kirambasi ila tukavunga, tukaanza kichekana.
 
vipi taste yake ilikuaje mkuu...? mbaya au tamu
Je umeawahi Kula Nyama ya kitu fulani bila kudhamiria?

Nimekumbuka siku nilipokula nyama nisiyoielewa, nadhani ni ya binadamu

Baada ya kujua nilitetemeka sana na mbaya zaid nikaambiwa nikaushe asijue mtu yeyote,

Britanicca
 
Je umeawahi Kula Nyama ya kitu fulani bila kudhamiria?

Nimekumbuka siku nilipokula nyama nisiyoielewa, nadhani ni ya binadamu

Baada ya kujua nilitetemeka sana na mbaya zaid nikaambiwa nikaushe asijue mtu yeyote,

Britanicca
Ongezea maelezo
 
Maadamu umeweza kutusimulia kwahiyo nyama ni nyama tu haina shida.
 
Je umeawahi Kula Nyama ya kitu fulani bila kudhamiria?

Nimekumbuka siku nilipokula nyama nisiyoielewa, nadhani ni ya binadamu

Baada ya kujua nilitetemeka sana na mbaya zaid nikaambiwa nikaushe asijue mtu yeyote,

Britanicca
Ingawa mimi sio mtaalam wa sharia, lakini hadithi kama hii inaweza kukutia hatiani.

Kuna raia wengi wanapotea na kuleta sintofahamu, ikiwa mnakula nyama za binadamu na kukausha, unaweza kuisaidia jamuhuri kupeleka huko uliko lishwa hiyo nyama, unaweza kuta ulimla Ben Saanane, au yeyote ambaye hajapatikana.

Acha utani, katoe taarifa polisi.
 
Je umeawahi Kula Nyama ya kitu fulani bila kudhamiria?

Nimekumbuka siku nilipokula nyama nisiyoielewa, nadhani ni ya binadamu

Baada ya kujua nilitetemeka sana na mbaya zaid nikaambiwa nikaushe asijue mtu yeyote,

Britanicca
Ukila nyama ya mtu huwezi kuacha utaendelea tu hata Kama ulitapika.
 
Dah Dodoma kule kijiji karibu na Udom kinaitwa Ng'ong'ona, mimi na washkaji tulipewa supu baada ya kumaliza hapo tuko njiani ndo tunaulizana, mbona nyama supu tuliyopewa ilikua na nyama nyingi. Dah tukawa tunajiuliza maswali mengi bila majibu. Mara nyama yenyewe ilikua nyekundu ila laini, kuja kuuliza wenyeji wakatuambia itakua tulipewa supu ya punda *****, tukataka kurudi kwa muuzaji tumuamshie kirambasi ila tukavunga, tukaanza kichekana.
Dah
 
Ingawa mimi sio mtaalam wa sheria lakini hafith kama hii inaweza kukutia hatiani. Kuna raia wengi wanapotea na keleta sintofahamu, ikiwa mnakula nyama za binadamu na kukausha, unaweza kuisaidia jamuhurikupeleka, huko ulikolushwa hiyo nyama, unaweza kuta ulimla Ben Saanane, au ueyote ambaye hajapatikana.
Acha utani, katoe taarifa polisi.
Acha kujua sana wajua ni nchi gani, ni nchini china Quingdao
 
Back
Top Bottom