Ladha ya Nyama usiyoitambua (nililishwa ya binadamu)

Ladha ya Nyama usiyoitambua (nililishwa ya binadamu)

Dah Dodoma kule kijiji karibu na Udom kinaitwa Ng'ong'ona, mimi na washkaji tulipewa supu baada ya kumaliza hapo tuko njiani ndo tunaulizana, mbona nyama supu tuliyopewa ilikua na nyama nyingi. Dah tukawa tunajiuliza maswali mengi bila majibu. Mara nyama yenyewe ilikua nyekundu ila laini, kuja kuuliza wenyeji wakatuambia itakua tulipewa supu ya punda *****, tukataka kurudi kwa muuzaji tumuamshie kirambasi ila tukavunga, tukaanza kichekana.
Huyo atakua ni fisi ndio mchezo wao kule nyama ya punda ni ngumu mnooo
 
mi mwenzenu nliwahi kulishwa ngedere kwa wahindi flan hv mitaa ya mwanza...kiukwel kalikua katam xn bt walinichanua kua nimekula ngedere baada ya kusos!
 
Kama tamu, inatafunika na haina madhara. Kwanini uhoji nyama ya nini sasa. Nyama ni nyama tu
 
HII KWELI, HATA MM NILISHA PIGA HIVYO HUKO HUKO, WANAIIITA SUPU YA MWENDOKASI
Dah Dodoma kule kijiji karibu na Udom kinaitwa Ng'ong'ona, mimi na washkaji tulipewa supu baada ya kumaliza hapo tuko njiani ndo tunaulizana, mbona nyama supu tuliyopewa ilikua na nyama nyingi. Dah tukawa tunajiuliza maswali mengi bila majibu. Mara nyama yenyewe ilikua nyekundu ila laini, kuja kuuliza wenyeji wakatuambia itakua tulipewa supu ya punda *****, tukataka kurudi kwa muuzaji tumuamshie kirambasi ila tukavunga, tukaanza kichekana.
 
Nilinunua mishikaki pale iringa aisee nilijuta mbonaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Yani nyama haina ladha na haitafuniki kabisaa...
Bora hata wewe jamaa yangu inaeleweka ulikula nyama ya mbwa. Lakini huyu hajui alikula nyama nini?
 
Ingawa mimi sio mtaalam wa sheria lakini hafith kama hii inaweza kukutia hatiani. Kuna raia wengi wanapotea na keleta sintofahamu, ikiwa mnakula nyama za binadamu na kukausha, unaweza kuisaidia jamuhurikupeleka, huko ulikolushwa hiyo nyama, unaweza kuta ulimla Ben Saanane, au ueyote ambaye hajapatikana.
Acha utani, katoe taarifa polisi.
Ahahahaaaaa...! Hapo kwenye kumla Ben Sanane...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwa hiyo aende akaonyeshe wapi amemla?
 
Back
Top Bottom