Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,929
- 3,171
Nimecheka walevi wanaraha zao na karaha kuna rafiki yangu yeye glass 3 za wine anawaza amchokoze nan wapigane mahali alipo mlipo kaa kwaiyo nkiwa nae me kazi kuomba misahama tuu
Kwenye interview lazimaa safar tatu afu ndo tunaingiaaUkilewa lazima kidhungu kinyooke
...hakuna cha miujiza,Miujiza ya Bar hata ukienda na Laki tano inaisha
...kama majuto ni mjukuu maana yake unakubali huo ni ufala!!We utakuwa hunywi, unashangaa laki kuna wanaoteketeza m1. Sasa nao sijui utawauliza swali gani. Naomba ukae hivyohivyo bila kunywa maana.......majuto ni mjukuu
...unakataje laki kwa bia 12 mzee?
..kwamba unatoa ofa zaidi ya unavyojinunulia?
Utasumbua sana wajukuu zako kwa kukumbuka ujana ukiwa mzee.vunja mifupa wakati meno ipoWatu kama wewe wameshanipa ushauri sana wa kupiga vyombo ila msimamo ni hapana vinywaji laini vinatosha
....teh hee hee..hapo kwenye wanawajuaga 'watu' wao ungeweka tu wanawajuaga 'mambwiga' wao!Hakuna watu wazuri kwenye hesabu ya kuzidisha kama baamedi wanaendaga sawa na mteja na wanawajuaga watu wao wanagombaniaga hadi mezaa kichwa chao kikitimba unaweza kununulia watu 3 wenyewe wanazidisha mara 2 ukichanganya na ww uko vibe hyo 120 n dakika sifuri tu inakaaa mm zikifika 7 n mwendo wa leta 3 na bili hyo ndo salama yangu
Huo ni mtazamo wako, kunywa au kutokunywa pombe hakuleti taswira halisi ya mtu akiwa mzee.Utasumbua sana wajukuu zako kwa kukumbuka ujana ukiwa mzee.vunja mifupa wakati meno ipo
Haa haa haaa
Mimi nikifika bia ya 3 hua nakua na mawazo na mipango mikubwa sana ya kimaisha.
Ila nikifika ya 7 hua naanza kuwaza papuchi tu.
Hao walevi tu Ila wanywaji hawana gubu kabisaacha hizo twasikia wanawatwanga makofi wake zao kila siku ...
juzi tu nimetoka kuona sekeseke
Uzuri wake wanatumia jasho lao.Hata hao wasiokunywa na wanaokunywa kivipato huwezi ona tofauti yao.Hawa wasiokunywa sijui hela Huwa wanapeleka wapi...hakuna cha miujiza,
.ni ufala tu huo!
Kama unashushia na kitimoto labda ya tisa ndo mabadiliko huanza, mnyama ni noma.Ikifika ya 3 kila kitu kinabadirika