Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

Hata sijui namlilia nani ila watu huwa wananiambia. Ninachokumbuka huwa nafungua waleti kutafuta kumi nyingine nikiikosa narudisha waleti mfukoni na kuanza kutafakari maisha yalivyonipiga

Kwa Heri hilo limetosha kunifukuza
 
haaahaahaahaa tunafanana akili mkuu!__japo mimi nikifikisha ya 7 tu kila mtu lazima nimpe bia ya ofa
Halafu mbaya watu washazoea, wakiniona nakunywa wananikalia mbali wanahesabu nimefikisha ya ngapi. Ya saba tu krup hawa hapa na kuanza kunisifia sana hata mademu wananiletea. Shida sana
 
Hata unipe offer ya mwendo kasi kumi bado niko fit
 
Ulichosahau mkuu ni kwamba mtu akishalewa huwa anaongea ukweli tu yaani anaweza kutoa mpk siri zake [emoji2][emoji23][emoji23]
 
Mkuu upo sawa beer zinachangamsha jamii ya wanywaji,ni raha sana .Ila bia ya sita kuendelea hapo lolote linaweza kutokea ukianzia na stability ya mtu kuwa mbovu mpaka kuzima bar au popote pale.
 
Pombe ina rAha yake. Ikifika mahali pake starehe nyingine zoote hazifui dafu.
 
Mimi bia ya nane naanza kugawa ofa, mpaka ya kumi na mbili waleti nyeupeeeee peee naanza kulia na kulia kulia lia lia lia sana, kisa nawaza laki ilivyokatika fasta na jinsi maisha yalivyonipiga sina gari wala Nyumba.
Kunamshikaji mmoja ikifika ya 7 ukimwambia lia analia hadi abembelezwe akiwa mzima ukimkumbusha mtagombana kunajamaa yeye kuimba kisambaa hadi ana boa
 
Pombe imesaidia sana kupunguza suicide cases na ugaidi duniani. Mataifa na makabila ambayo pombe ni sehemu ya utamaduni wao yana viwango vikubwa vya utajiri na furaha. Ugaidi umeenea sana kwenye Mataifa yanayodai pombe ni haramu. Mungu hakuwa mjinga alipoumba mimea itumikayo kuzalisha pombe.

Alijua kiumbe huchoka na huhuzunika, hivyo huhitaji hisia na mwili wake vitulizwe, ili apate maisha marefu na ya amani. Cha kuzingatiwa ni kunywa kwa kiasi maana hata pilau yatakiwa kuliwa kwa kiasi. Umewahi kumwona tembo aliyekunywa anavyosakata muziki? Kuna funzo la kuzingatia kwa nini pombe ipo duniani!
 
Hiyo bia baba sawa sawa,
Ila ukigonga Gordons ama Nyagi unawaza papuchi ya kuisugua muda wote
na ukikuta watu wanazungumzia mada tofauti na papuchi unachukia flani hv
 
Kuna siku nilivamia mziki wa nyagi zike chupa size ya kati nilipiga 2 ahahah nakumbuka matukio 2 tu niko ndani ya gari la pili niko kitandani....nashukuru nilikuwa na private car
 
Back
Top Bottom