Hako ka jokofu kanapoza vzr sana, hivi ni kampuni gani hiyoWeekend imefika![]()
Ngoja nikaulize nlikotoa picha [emoji14]Hako ka jokofu kanapoza vzr sana, hivi ni kampuni gani hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nikaulize nlikotoa picha [emoji14]
Kama mm,Mimi bia ya nane naanza kugawa ofa, mpaka ya kumi na mbili waleti nyeupeeeee peee naanza kulia na kulia kulia lia lia lia sana, kisa nawaza laki ilivyokatika fasta na jinsi maisha yalivyonipiga sina gari wala Nyumba.
minilijua nikakwako....[emoji12] [emoji12]Ngoja nikaulize nlikotoa picha [emoji14]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kila mtu anaelezea sekta yakekama nikachupa kale kadogo ukikamaliza tu unahsi uso ni mzito na unataman kila mda kujifuta futa unahc kama ganzi. usoni na huambatana na mambo yote aliyo nayo aliyekunywa bia tao kichupa chapili kikiisha unaona kujiamini nakutaman kujionyesha na hapo ndio simu inatumika kupigia watu na aliye karibu kumualika cha tatu maranying huambatana na mambo ambayo kesho ukiyakumbuka lazima ujisie vibaya
hahahahahahaa nishawah kuruka mtaro dah! nilifkia uso aise asubuh nilijuta sana maana sio kwa kuaribika kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kila mtu anaelezea sekta yake
Unaweza kuumia vibaya bila kujua bila maumivu
Nilionjaga grandmalt tuLadha ya bianywaji. Ukitaka kujua ladha yake lazima uionje. Hata ladha ya pilau huwezi kuielezea
Sio changu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]minilijua nikakwako....[emoji12] [emoji12]
Imeandikwa kitabu gani![]()
hii verse naielewa sana nikifika bia ya 10