Laana ya Mapenzi .....

Laana ya Mapenzi .....

mi naweza kubaliana na wewe upande wa mama yangu babu yetu ndiyo kimbilio letu tukifanya uzinzi huko.. yani ukiona meshaharibu home nenda kwa babu anawaambia mimi nilikuwa mzinzi nyie mkawa wazinzi kwa hiyo vizazi vinne , ila mnanafasi ya kuomba toba .. basi wazazi wetu ufyata na kutuchukia.. me nakuelewa
 
Hahaha..kwa hiyo mkizini mnakimbia kwa babu? Babu nae alikuwa kipanga hivyo wazazi na wajukuu nao vipanga? Hahaha..
 
Hahaha..kwa hiyo mkizini mnakimbia kwa babu? Babu nae alikuwa kipanga hivyo wazazi na wajukuu nao vipanga? Hahaha..
ha haha ndiyo ila now si ameokoka anatupiga somo nakutukumbusha tunalolifanya ni vizazi vinne ndiyo litaisha basi ukitoka pale unawazaaa wewe baadae unasahahu tena
 
nitarudi baadae

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Hili halina ubishi jamani. Tukijiangalia wengi huku mtaani unakuta baba yako alikorofishana na mama yako wakaachana ukabaki na baba yako. Unakuja kuoa na wewe unakorofishana na mke unabaki na mtoto, au kama ni wa kike unajikuta umezaa siku ile ile aliyokuzaa mama yako! 70% ya watu wamerithi mapito ya wazazi. Ukigundua ni vizuri kuvunja usiendelee kuathirika na watoto wako wasipite walikopita babu, bibi na wazazi wao.
 
Back
Top Bottom