Laana ya Mapenzi .....

Laana ya Mapenzi .....

Wakuitwa kasie

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
I see! sijui hata nianzie wapi...nime-date na mabinti wengi sana enzi za ujana wangu. mtaani, shuleni, ofisini etc. whether ni mzungu, mweusi or Asian..wote nimepitia tena kwa kishindo. kuna mmoja tulizinguana akasema kuwa lazima aniroge....nikarudisha relationship na akasahau mambo ya kuniroga. sadly, simba akimla pundamilia...jamii yote ya pundamilia wanamlaani simba kwa ukatili....though hawahesabu meteke ya punda aliyompiga simba....vivyo hivyo, na sisi wanaume tuna makovu ila useme tu tuna mioyo migumu kama Farao
 
Ujumbe mzuri Kasie, hizi laana zipo tena hata vitabu vya Mungu vimetahadharisha. Utakuta binti analiwa tu, anataka kuolewa lakini hapati wa kumuoa, kwa mwaka aweza badili wachumba hata wanne, kumbe wazee wake walikosea sehemu.

Au kila anayeoa, ndoa hazidumu, kumbe ni laana ulizobeba kwa kulala na kila mwanamke.

Somo zuri.
 
Kasie
Hakika huu ni ujumbe mzuri kwa mwenye akili ya kufikiria na kuwa na hofu ya mungu maana wapo binadamu wengine utofauti wao na wanyama ni ndg sana,wengine sana maumbile tu ya kibinadamu lkn ukweli ni kuwa si binadamu kwa tabia zao na uhalisia wao
Kimsingi ulilosema ni ukweli usio na shaka hats kdg,ktk imani ya dini ya kiislam imeeleza wazi hakika mzinifu atamuoa au ataolewa na mzinifu mwenzake au mshirikina,hivyo tujitahidi kuacha uzinifu kwa kisingizio cha mapenzi ni vyema tukaoa au kuolewa kwani hiyo laana itaendelea kukuandama hapa duniani hats kesho kwa mungu mpk pale utakapofanya toba,tuishi kwa hofu ya mungu na kufata maelekezo yk hakika tutaishi kwa mafanikio makubwa hapa duniani na kesho akhera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom