wakati mwingine kwenye familia mnakuta kuna wenzenu,hawajtulia mpaka mwajiuliza hizi tabia wamezizoa wapi hawa,sasa ukianza kuchunguza,wakuja kugundua kishipa kinatesa familia,matendo maovu ya wazazi wetu kama hawakutubia hayawezi kutuacha salama.Asili ya kishipa hakiwezi kutuacha hivi hivi isipokuwa kwa toba peke yake. Unakuta kijana starehe yake kuwaingilia kinyume na maumbile kina dada,kesho na keshokutwa huyu mtu anakuja kuwa mzazi,malipo yake huyu mtu ni hapa hapa dunian kwake na kizazi chake.Hili halina ubishi jamani. Tukijiangalia wengi huku mtaani unakuta baba yako alikorofishana na mama yako wakaachana ukabaki na baba yako. Unakuja kuoa na wewe unakorofishana na mke unabaki na mtoto, au kama ni wa kike unajikuta umezaa siku ile ile aliyokuzaa mama yako! 70% ya watu wamerithi mapito ya wazazi. Ukigundua ni vizuri kuvunja usiendelee kuathirika na watoto wako wasipite walikopita babu, bibi na wazazi wao.
Kwa hiyo na uzinzi umeacha kabisa?[emoji12]ha haha ndiyo ila now si ameokoka anatupiga somo nakutukumbusha tunalolifanya ni vizazi vinne ndiyo litaisha basi ukitoka pale unawazaaa wewe baadae unasahahu tena
naelekea kuachaKwa hiyo na uzinzi umeacha kabisa?[emoji12]
Kale kamchezo kalivyo katamu[emoji12] unaanzaje kukaacha!!!naelekea kuacha
Tujisahihishe mapema tu kaka yangu kabla haijawa too late. Karma is real. Na bahati mbaya inakuwa haikutafuni wewe tu, inakuja kuandama na vizazi vyako.
Best anza mapema.Daah![emoji87]
Personally ninaamini hivyo, ashukuriwe Mungu tunapata fursa hii yakukumbushana kutendea wengine wema.Tujisahihishe mapema tu kaka yangu kabla haijawa too late. Karma is real. Na bahati mbaya inakuwa haikutafuni wewe tu, inakuja kuandama na vizazi vyako.
Nawaona tu, "best"!![emoji12]Best anza mapema.
Na unaweza kuta anayo ila kwakuwa haamini anaona ni kawaida tu kumbe.......!!!
tujichunge mkuu,ipo siku vizazi vyetu wakitumia JF hii hii watakuja kufukua uzi huu na,watatumia keyboard kutulaani kwa kuwatendea visvyoUjumbe mzuri Kasie, hizi laana zipo tena hata vitabu vya Mungu vimetahadharisha. Utakuta binti analiwa tu, anataka kuolewa lakini hapati wa kumuoa, kwa mwaka aweza badili wachumba hata wanne, kumbe wazee wake walikosea sehemu.
Au kila anayeoa, ndoa hazidumu, kumbe ni laana ulizobeba kwa kulala na kila mwanamke.
Somo zuri.
Ipo siku iyo kawaida itabadilika na atajua fika kwamba hii ni laana.....Na unaweza kuta anayo ila kwakuwa haamini anaona ni kawaida tu kumbe.......!!!
Hahahaaa!!! Yaani wewe!!Nawaona tu, "best"!![emoji12]
Nami nimewaona...[emoji28]Nawaona tu, "best"!![emoji12]
Ni huu ubongo, haufuti matukio, sijui nina kitu gani[emoji12] [emoji12]Hahahaaa!!! Yaani wewe!!
Hivi vitu hata kama huviamini just take yo time uangalie familia yako tu, kuna jambo baya utakuta linajirudia ktk ukoo wenu, utajua tu something is wrong somewhere. Basi chukua tu hatua mapema.Ipo siku iyo kawaida itabadilika na atajua fika kwamba hii ni laana.....
Hivi vitu huwa havimwachi mtu salama eti
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaah!!! Hadi wewe my kaka!!Nami nimewaona...[emoji28]