Laana toka Mbinguni lamsubiri Dunga...

PATO NA DINHO WAFANYA KWELI WAKATI WA KUMUAGA MBRAZILI MWENZAO LEONARDO!

AC Milan gave Leonardo the perfect send-off in his last match at the San Siro before leaving the Italian giants.

The Brazilian announced this week that he would be leaving the club at the end of the season and his players responded by beating the Turin club 3-0
Two goals from Ronaldinho after Luca Antonini's opener ensured Milan finished third in the Serie A table and also compounded Juventus' agony as they could only end what has been a disappointing season in seventh.
With just four minutes gone Vincenzo Iaquinta should have done better when he had only Dida to beat but he fired wide of the goal.
Milan took the lead in the 14th minute when Antonini was released by a chip over the defence from Clarence Seedorf and his shot hit the leg of a defender before looping over goalkeeper Gianluigi Buffon.
Ronaldinho netted the second when he shot low past Buffon from the edge of the area just before the half hour.
The Brazilian had started the move when he picked up possession in midfield and exchanged passes with Seedorf.
Ronaldinho gave the ball away but managed to win it back from Fabio Grosso before passing to Alexandre Pato.
His fellow Brazilian fed the ball back to Ronaldinho who shot low to Buffon's left to double Milan's advantage.
Andrea Pirlo fired well wide two minutes later after cutting in from the left and hitting a shot from distance with his right foot.
The same player also shot over the bar from long range as Milan kept up the pressure.
Five minutes before half-time Alessandro del Piero had Juventus' best chance of the half when he shot from distance but his effort was tipped over the bar by Dida.
A minute later Juventus defender Fabio Cannavaro headed just wide of the post from 10 yards as the visitors battled to get back into the game.
Thiago Silva then made a fine challenge to deny Iaquinta a shot on target after the forward had run on to a long ball and then the visitors wasted the subsequent corner.
Juventus started the second half with Alex Manninger on for Buffon in goal and Mauro Camoranesi replacing Hasan Salihamidzic.
Grosso wasted the first chance of the second half when he was set up in the Milan area but was robbed of possession as he took too long over the opportunity.
Grosso was booked five minutes into the second half when he fouled Pato from behind 25 yards from goal but Pato's swerving free-kick was comfortably punched clear by Manninger.
Ronaldinho scored his second after 67 minutes when Jonathan Zebina could only head the ball to the edge of the area.
The Brazilian took a touch to control the ball before side-footing across goal and past Manninger.
But the Brazilian was also booked when he took off his shirt to celebrate scoring the goal. Dida waved farewell to the Milan fans when the Brazilian goalkeeper was replaced by Christian Abbiati with three minutes remaining.

Report: AC Milan vs Juventus - Italian Serie A - ESPN Soccernet
 
Ronaldinho anamwonyesha kwamba Dunga alistahili kwenda WC
 
We unamwacha Dinho na kumchukua mzito Baptista wapi na wapi bana
 
2002 media na watu wa Brazil walikua wana shinikizwa Romario asiachwe kwenye kikosi. Big Phil aka tishiwa kwamba asipo shinda kombe basi asi kanyage Brazil tena. Brazil ikachukua kombe na aliye kuwa kachukua nafasi ya Romario akawa ni Ronaldinho Gaucho. Sasa it's the same situation this year around again. There is no doubt that when Ronaldinho is at his best there is no one better but lately he has been a shadow of his former self. I was hoping he would get back to form before this world cup but I guess not.
 
Which lately are you talking about? The last match of Seria A? Give facts philosopher! By the way, who has replaced Ronaldinho now?
 
Kwani gaucho nini bwana, wakati yeye anachukua nafasi ya romario, hakuna aliyekuwa anamfahamu saaana, na romario alikuwa fiti kuliko yeye, na bado akawa fiti vilivile baada yake yeye.
Halafu ulivyomuulezea dunga kwenye presentation yako, which is very long inaonyesha wazi ni jinsi gani ulivyo bised kwa sababu tu una mapenzi binafsi na dinho.
Hata maradona kamuacha cambiaso pia. Mambo ya kawaida. Mwalimu ndiye anaejua zaidi ya mtazamaji wa kawaida.
 
Wewe unayehoji ''Gaucho nini bwana'' humjui na hufuatilii soka la ulaya ndo maana unakurupuka na kumfananisha Dinho na Cambiasso.

Ila kwa wanaomjua wanafunga na kumuombea Dunga ili pepo la wivu na chuki limtoke.

Usikurupuke
 
Naona kuna dalili ya nafasi ya huyu kiungo mkimbizaji Kaka kuchukuliwa na kiungo mzungushaji Ronaldinho:

Brazil star Kaka vows to be fully fit for the World Cup

_47803631_brazil1.jpg

Brazil playmaker Kaka insists he will be fully fit for this summer's World Cup despite recent concerns over form and fitness for his club Real Madrid. Kaka missed Sunday's La Liga game at Malaga with a hamstring problem and revealed he will spend four days being assessed by former club Sao Paulo.
"I'm going to be evaluated, they will see my condition and that I won't have any problems," said the 28-year-old.
"I will be 100% by the World Cup," the former AC Milan star added.
After his assessment with the Sao Paolo medical staff, Kaka is expected to meet up with his Brazil team-mates at a training camp in Curitiba.
Kaka endured a difficult first season with Real, having joined from the Italian club for about £68m in June 2009.
He struggled to find his best form and was sidelined for six weeks in March and April because of injury.
"It was a very difficult season which I had, but we have examples of players who were not in good form before the World Cup and ended up doing well, so I'm not worried," he said.

BBC Sport - Football - Brazil star Kaka vows to be fully fit for the World Cup
 
Companelo hapo ungeona utamu kama Dinho na Bro Kaka wangekuwepo pamoja ktk hiyo timu...

Yaani hata striker angekuwepo BALANTANDA, Brazil wangebeba ndoo.
 
GC, Kaka na Dinho hawaendani. Ndio maana hawakuweza kucheza pamoja vizuri Milan. Dinho alianza kung'ara baada ya Kaka kuondoka. Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, hata kombe la dunia la 2006 Wabrazili walichemsha kwa kujaribu kuwachezesha pamoja. Anahitajika mmoja tu!
 
Tatizo mnaichukulia Brazil kama Uingereza ambayo bila mtu kama Rooney kwisha kazi. Dunga hapeleki timu South kuuza sura jamani anataka kucheza mpira na kushinda!
 
Ngoja tuone maana hata mwaka 2002 Scolari alimwacha Romario huku jamii ya wabrazil na rais wao wakimlaani lakini wakarudi na ubingwa, sidhani kama hili linaweza kujirudia sasa, Dinho alikuwa na umuhimu mkubwa sana kwenye timu hiyo, nadhani hata experience ya Ronaldo ingeweza kusaidia.,yetu macho.
 
Tatizo mnaichukulia Brazil kama Uingereza ambayo bila mtu kama Rooney kwisha kazi. Dunga hapeleki timu South kuuza sura jamani anataka kucheza mpira na kushinda!

Tunaomba umtaje huyo unayehisi ni muuza sura.
Sisi tunalaani kitendo cha Dungayembe kushindwa kumchukua Mwanasoka bora wa zamani aliyechukua tuzo hiyo mara mbili mfululizo....

Pia Gaucho anayezungumziwa hapa ni yule ambaye inaaminika ndiye mchezaji mwenye skills tofauti, yaani skills toka sayari nyingine.

Usikurupuke
 
Jamani, kwanini kocha Dunga analaumiwa hapa? Yaani mlitaka achukuliwe Dino hata kama kiwango chake kimeshuka? Mimi nitatofautiana na wewe kabisa kwamba hakuna World Cup bila Dino. Ni ukweli ulio wazi kwamba kiwango cha huyu jamaa kwa sasa kiko chini sana. Ameshindwa kuisaidia timu yake ya AC Milan kuchukua hata nafasi ya pili kwenye Series A ya Italia na timu yake haikufanya vizuri kwenye Champions League pale walipotolewa kwa urahisi na Man U. Dino was sasa sio yule Dino tuliyekuwa tunamjua miaka ya nyuma na ninamuunga mkono Dunga kumuacha huyu jamaa kwenye kikosi kinachokwenda kuiwakilisha Brazil kwenye World Cup.

Ni mawazo yangu tu!!!!!!

Tiba
 
Muuza sura ni huyo huyo unayempigia debe...

Hebu niambie ukiondoa hizo SIFA unazompa kama nilivyo-highlight hapo juu ambazo zijazielewa kuna mchango gani aliotoa katika timu ya taifa ambao utakosekana??
 
Kama huujui mchango wa Saint Gaucho ktk timu ya Brazil napenda kukukumbusha tu alikuwepo ktk kikosi cha brazil kilichobeba ubingwa mwaka 2002 na pia kuna mengi tu amewafanyia wabrazil ambao ndio wanaoongoza kampeni ya kumshinikiza Dunga amtie kundini mtakatifu huyu.

Na kama huujui mchango wa saint Dinho basi unaweza pia ukawa huujui mchango wa mzanaki hayati Baba wa Taifa
 
Jamani, kwanini kocha Dunga analaumiwa hapa? Yaani mlitaka achukuliwe Dino hata kama kiwango chake kimeshuka? Mimi nitatofautiana na wewe kabisa kwamba hakuna World Cup bila Dino. Ni ukweli ulio wazi kwamba kiwango cha huyu jamaa kwa sasa kiko chini sana. Ameshindwa kuisaidia timu yake ya AC Milan kuchukua hata nafasi ya pili kwenye Series A ya Italia na timu yake haikufanya vizuri kwenye Champions League pale walipotolewa kwa urahisi na Man U. Dino was sasa sio yule Dino tuliyekuwa tunamjua miaka ya nyuma na ninamuunga mkono Dunga kumuacha huyu jamaa kwenye kikosi kinachokwenda kuiwakilisha Brazil kwenye World Cup.

Ni mawazo yangu tu!!!!!!

Tiba

Ukisikia kukurupuka ndo huko sasa.
unayesema The Saint kashuka kiwango umemuona msimu huu?
Hebu nitajie je Saint Gaucho msimu huu wa Serie A kafunga magoli mangapi na kuengeneza mangapi?

Kisha unasema kashindwa kuisaidia hata timu yake kukamata nafasi ya pili...ok well nakuruhusu kukurupuka na kutafuta kikosi cha huyo mpuuzi wako alichokiteua kisha tazama je aliowaita wote wamezisaidia timu zao japo kuchukua nafasi ya 3?

sheikh mpira sio sawa na kuzungusha kivuvu...kusema hata mtoto wa miaka mitano anaweza.
Mpira ni wito
Mpira ni kipaji
Mpira ni Dinho.
 
gaucho zilipendwa jamani kwa sasa,wenzetu brazil wapo wengi vipaji hadi wavuvi na hata wengine wanatamba kwenye maligi maarufu na hadi wamebadili utaifa hawaitwi,hata scolari alipomuacha romario wadau wengi walichonga,gaucho ni gaucho entertainment kwa sasa mipira ya chenga twawala kanzu hatuitaki siku hizi hamumuoni mourinho technic yake jamani?mwataka chenga twawala halafu twafungwa,ac milan kamuotea juve popoma kajifia zake walichemsha mbio za ubingwa serie a mpaka roma kamnyang'anya nafasi ya 2,msaada wake kwa sasa sio kama wa zamani awape nafasi wengine,mbona tunataka kuleta mambo hata lunyamila mpaka leo bado aitwe timu ya taifa!kha!
 
Back
Top Bottom