Laana toka Mbinguni lamsubiri Dunga... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laana toka Mbinguni lamsubiri Dunga...

Discussion in 'Sports' started by Gang Chomba, May 12, 2010.

 1. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  MWALIMU wa timu ya soka ya taifa ya Brazil Carlos Dunga ambaye anaaminika kuwa ndiye mwalimu kiburi,
  mwenye kujiona yeye ndo yeye, asiyesikia la kushauriwa,
  mwenye vinyongo na waliomzidi mafanikio,
  ambaye hakupata kuchezea timu kubwa barani ulaya,
  ambaye hakupata kuchukua kombe lolote kwa ngazi ya klabu barani ulaya,
  ambaye hakupata kukubalika na kuwa gumzo barani ulaya,
  asiyekuwa na washabiki kama waumini wake huko brazil,
  ambaye amepata kukosolewa zaidi ktk soka la Brazil,
  asiyejuwa kuvaa,
  asiyekuwa hata na kumbukumbu japo ya mnara wake huko kijijini kwao chaka ili kuonyesha kuwa anakubalika huko, ambaye anafananishwa na ndege mbilikimo waishio kando ya Bahari,
  ametangaza kikosi chake kitakachokwenda South kutalii.

  Ktk kikosi hicho kijana huyu ambaye anaonekana kama mzee ameutusi mchezo wa Soka na kuudhalilisha baada ya kumuacha kiungo mshambuliaji asiyefananishwa na mwingine,
  ambaye inaaminika alishushwa kwa ajili ya kuja kuonyesha jinsi soka mbinguni linavyochezwa,
  Ambaye pia inaaminika kuwa kama mpira ungekuwa unaongea basi ungefumbua mdomo na kusema kuwa ''kila baada ya dakika moja basi nipelekeni kwa The Saint Ronaldo de Assis Morreira'' ili mbinguni na duniani wote wafurahi.

  Dunga ameonekana kupuuzia shinizo toka jumuiya mbalimbali za kimataifa zikimtaka amjumuishe RONALDINHO GAUCHO ktk kikosi chake, laikini Dunga ameonekana kuwa na roho ya korosho kwa kuwa Gaucho amemzidi mafanikio na anakubalika na kupendwa ulimwenguni kote.

  Wabrazil kadhaa wameonekana kando ya fukwe za Bahari wakilia kwa uchungu na wengine wameonekana wakiwa na mabango yenye maneno makali na ya Laana yanayomuelekea Mwalimu huyu.

  Mpk napost thread hii nilikuwa sijapata habari yoyote iliyotolewa na Dinho, ingawa kuna tetesi kuwa Dinho alishaufahamu mpango huo hivyo anaendelea kula biriani kwa raha zake, ukizingatia hakuna kitu ambacho Dunga Kamzidi....labda ufupi na chuki.

  Baadhi ya wabongo niliofanya nao mahojiano wameonyeshwa kumdharau dunga na kusema wazi kuwa ''there is NO world Cup on south african pitch without Dinho''

  Na wengine wametanabaisha kuwa Word Cup bila Gaucho ni sawa na ''kashata bila sukari''.
  Na kumalizia kuwa laana toka Mbinguni linamsubiri.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,586
  Likes Received: 82,136
  Trophy Points: 280
  Ronaldinho left off Brazil's initial squad

  Last Updated: Tuesday, May 11, 2010 | 1:35 PM ET

  The Associated Press


  [​IMG]
  AC Milan's Ronaldinho might not make a 2010 World Cup appearance with Brazil. (Fabrice Coffrini/Getty Images)
  Brazil will be without some of its top stars at the World Cup, with coach Dunga betting on players that are not too well known but who achieved successful results with the team.
  Ronaldinho, Adriano and Neymar have been left out of Brazil's preliminary World Cup squad on Tuesday, along with three-time FIFA world player of the year Ronaldo and veteran left back Roberto Carlos.
  Kaka, Robinho, Maicon and Julio Cesar were picked in the squad, but the list also has players such as Elano, Julio Baptista, Ramires, Josue, Nilmar and Gilberto - who are lesser known but have been regulars since Dunga took over the team.
  "I was asked to revamp the national team after the 2006 World Cup," Dunga said. "We closed a cycle of players in the national team, bringing players with attitude, commitment and passion for the national team."
  Dunga is sticking to most of the players who helped Brazil win last year's Confederations Cup and finish top of South American World Cup qualifying. His players also won the bronze medal at the 2008 Beijing Olympics, and earned victories in high-profile friendlies against Argentina, Italy, England and Portugal.
  "These players are winners," Dunga said. "There is no doubt that they are prepared to help Brazil reach its goal. They are ready to give their best for the country."
  One of the biggest surprises was the absence of Adriano, who had been constantly called up by Dunga in recent matches. But there had been doubts because of recent off-the-field problems that caused him to miss several training sessions with Flamengo.
  "We gave Adriano numerous chances," Dunga said. "But it came to a time when we had to make a decision."
  Young sensations

  Wolfsburg's Grafite was called up to take Adriano's place.
  Ronaldinho, a two-time FIFA world player of the year, hadn't been called up for the national team since April 2009, but had been playing reasonably well this season with AC Milan and many wanted him to be included in the squad.
  "Ronaldinho's quality and capacity as a player is indisputable," Dunga said. "But my decision has to be made based on reason. I have to make a decision based on what happens on the field."
  Brazilian fans and local media had also been pushing for Dunga to summon Santos young sensations Neymar and Paulo Henrique Ganso, who have been among the hottest players in Brazilian football this year.
  The 18-year-old striker Neymar has dazzled fans with his speed and balls skills, being called by many as the new Robinho. The 20-year-old Ganso, or "Goose" in Portuguese, attracted attention for his maturity and ability as a playmaker. Along with Robinho, they led Santos to more than 100 goals in some 30 matches this year.
  "Some players are extremely talented, but we have to test them before taking them to a World Cup," Dunga said. "Maybe they are ready to play in a World Cup now, but maybe they are not."
  None have been called up to the senior team so far.
  Dunga's list was basically the same as the one for Brazil's latest friendly against Ireland in March, with the exception of goalkeeper Heurelho Gomes, who was replaced by Victor at the time. Only three players are currently in Brazilian football - Kleberson, Gilberto and Robinho, who is on loan from Manchester City.
  "Those who took advantage of their chance have made the team," Dunga said.
  Brazil will practise for about a week in the southern Brazilian city of Curitiba before heading to South Africa on May 26. The five-time world champions will play against North Korea, Ivory Coast and Portugal in Group G.
  More than 500 Brazilian and international journalists were accredited for the announcement of Dunga's list in Rio de Janeiro.
  Brazil squad

  Goalkeepers: Julio Cesar (Inter Milan), Gomes (Tottenham), Doni (AS Roma, Italy).
  Defenders: Maicon (Inter Milan), Daniel Alves (Barcelona), Michel Bastos (Lyon), Gilberto (Cruzeiro), Lucio (Inter Milan), Juan (AS Roma), Luisao (Benfica), Thiago Silva (AC Milan).
  Midfielders: Elano (Galatasaray), Kaka (Real Madrid), Gilberto Silva (Panathinaikos), Josue (Wolfsburg), Ramires (Benfica), Felipe Melo (Juventus), Kleberson (Flamengo), Julio Baptista (AS Roma).
  Forwards: Luis Fabiano (Sevilla), Nilmar (Villarreal), Robinho (Santos), Grafite (Wolfsburg).
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  lol, nilijua tu ni mambo ya Saint Dinho.
   
 4. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  naweka wazi kuwa sintokaa na kuangalia mechi yoyote ya Brazil.
  Labda tu wacheze na Azzuri ama Italy.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Muzee,

  Ukweli ni kwamba Dinho alichuja sana wakati msimu unaanza, nakumbuka kipindi kile nilikuepo mkoani Lazio kikazi na media nyingi zilikuwa zikimshambulia Dinho kuwa ni mchoyo wa pasi, yupo obese, mvivu,slow na ana-lack concentration. Brazil ina mastaa lukuki maana mpira kwao ni kama dini na sioni Dinho aingie kwa national team mule kwa blank - cheque ipi haswa? Performance yake hata mimi haini-convisi.
   
 6. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  kwa ubaya na chuki ya dunga juu ya midfield maestro gaucho dinho na poor selection ya national team timu hii haitofanya vizuri wamejitahidi quarter final ndo kilele.nakiri brazil kuna vipaji lukuki lakini gaucho is extra ordinary katika medani ya soka na wasiofuatilia fomu yake wajaribu kufuatilia sasa msaada wake ac milan.unawezaje kumwacha gaucho na kumchukua kaka ambaye fomu yake ilikuwa tia maji tia maji real madrid na kumwacha experienced creative midfield dinho?vipi kaka akiumia au akiwa suspended nani ataongoza jahazi?kwa hili dunga asidanganye wapenda soka hii ni chuki na anafahamu jinsi alivyouudhi ulimwengu wa soka.mmh!world cup bila gaucho!it pains
   
 7. M

  Mundu JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kocha ndio mwenye uamuzi wa mwisho...sababu zake ametoa... anataka wachezaji wenye kujituma na wenye moyo wa kutumikia nchi yao. Wachezaji aliochagua wamefanikiwa kuiongoza Brazil, katika kupata wawakilishi wa America Kusini na kushika nafasi ya kwanza, wengi walishiriki kwenye confederation cup na kushinda.

  By the way, Brazil ishachukua kombe la dunia mara nyingi... ni kheri ya mataifa mengi kutokuwemo kwa Dinho kwenye kikosi...who knows, mara utasikia kombe hilooooo Ghana, aloooooo!! Kuvuja kwa pakacha.....
   
 8. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jamani Pato na Macelo hawamo ndani list?
   
 9. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  mkuu hamna pato wala marcello.dah!naikumbuka alberto parreira's magic square ya 2006 hapa ronaldo,adriano,gaucho kule kaka.kabaki kaka peke yake.huyu dunga basi angemchukua hata bwana mdogo wa santos neymar anipunguze machungu.mtani nae kawatosa javier zanetti na cambiasso kaamua kumuita mkongwe martin palermo a.k.a loco na mzee mwenzake sebastian veron na kumwacha mkali striker force wa lyon lisandro.france nao wamenitosea kijana wangu maalim karim benzema na kumuita garasa djibril cisse.all in all world cup hii ronaldo de assis morreira gaucho hakustahiki kukosa.umri unaruhusu,fomu inaruhusu,dunga unataka nini jamani????????????????
   
 10. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Dinho Gaucho ama the Saint kama anavyofahamika ndiye mchezaji pekee aliyefanya nisiangalie mpira na wazazi ama watu wenye umri mkubwa zaidi ya huu nilionao.
  Coz pindi anaposhika mpira basi mimi tusi la furaha hunichomoka ktk kinywa changu hiki kisafi.
   
 11. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  mkuu na mimi naongezea laana nyingine apate kwa kumuacha PATO.
   
 12. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Hebu pata picha Brazil wawe wanaongoza goli 3-0
  Kisha mtakatifu yuko uwanjani.
  Huku Melo na Gilberto Silva wanatifuatifua ktkt ya uwanja.
  Then upande wa kushoto mwa ukuta wa wapinzani kasimama Dinho.
  Halafu huyo Dinho awe kakabwa na mabeki wawili au watatu.
  Unapata picha nini chaweza tokea?
  Bado hicho unachokifikiria ndo utakikosa...

  Radha ya Dinho ni ya pekee.
  Hakika tutazikosa Brilliant Blind Pass, mambo ya Lespardinha, Lelastica, estil laudrap, le grand baretti, la fartta, na mengine mengi ambayo kila kukicha amekuwa akiyatambulisha.
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  May 13, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Very saaddd..........hata pato?
   
 14. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #14
  May 13, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
   
 15. E

  Edo JF-Expert Member

  #15
  May 13, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Dunga anasema moyo wake unawakubali wote hao mnaowasema, lakini sababu zinafanya aamue tofauti na moyo wake ! Very saaad! What a miss in South Africa !
   
 16. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #16
  May 13, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tusubiri tuone siku zimebaki chache sana
   
 17. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #17
  May 13, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Dunga kanishangaza sana kumchukua mtu kama Baptista halafu unamwaacha Dinhoo??? haingiii akilinii...chuki binafsi hazilipi na dunga soon atakula matapishii yakeee....
   
 18. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #18
  May 13, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  amechukizwa na tabia yake ya kukenua meno na kucheka cheka uwanjani
   
 19. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #19
  May 13, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  yani akimkanyaga tu anacheka...akikanyagwa anacheka...akifungwa anacheka...hii imemkera sana Dunga..no laana here
   
 20. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #20
  May 13, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole yake ronaldiho maana mambo kama hayo yalimkuta Romario enzi za scoalari kule Japan na kweli baada ya hapo scolari ameandamwa na laana hiyo mpka leo sijui yyko wapi?tusubiri Dunga naye
   
Loading...