Baada ya kukaa foleni masaa mawili pae ubungo mataa ninaomba kujua yafuatayo. 1.) Ni hasara kiasi gani tumepata kama Taifa katika kipindi cha miaka kumi mpaka Leo kutokana na foleni hizi. 2.) Inagharimu kiasi gani kujenga daraja la magari kupita juu pale junction. 3.) Tukijua hizi data basi tutaweza kukadiria ni kwa kiasi gani serikali Yetu inawazimu.

Hasara tunayoipata ubungo ndo inasababisha tusijenge hiyo mibarabara ya mikoani..Binafsi napinga Kujengwa Daraja Ubungo Mataa kwa sasa na badala yake hizo Fedha kama zipo zipelekwe kujenga Br. za Mikoani na Wilayani! Bado kuna Mikoa Mingi sana haijaunganishwa na Br. za Uhakika na Dar tayari ina miundombinu mizuri na ya kutosha! Kwa Mf. waunganishe Mbeya mpaka Tabora na mwishowe Kigoma n.k
Hasara tunayoipata ubungo ndo inasababisha tusijenge hiyo mibarabara ya mikoani..
Kutatatua foleni Dar ni rahisi sana wala hakuhitaji kupoteza fedha kujenga Midaraja mikuubwa, ni kuhakikisha tu kila halmashauri br. zake zote zinapitika, siyo lazima waweke lami hata wahakikishe tu kila baada ya Miezi 3 zinapigwa greda, hilo litapunguza foleni kwa zaidi ya 1/3 na kwa gharama ndogo sana, unafikiri kwa nini Oysterbay hamna foleni? Ni kwa sababu Serikali wamejenga br. zote na zinapitika hivyo kuna njia nyingi sana, kwa hiyo walipaswa wafanye kama Oysterbay kupitisha greda tu br. za Mitaani kunatosha sana tu!
Hizo greda unakodisha wewe au..?!
Baada ya kukaa foleni masaa mawili pae ubungo mataa ninaomba kujua yafuatayo. 1.) Ni hasara kiasi gani tumepata kama Taifa katika kipindi cha miaka kumi mpaka Leo kutokana na foleni hizi. 2.) Inagharimu kiasi gani kujenga daraja la magari kupita juu pale junction. 3.) Tukijua hizi data basi tutaweza kukadiria ni kwa kiasi gani serikali Yetu inawazimu.
Baada ya kukaa foleni masaa mawili pae ubungo mataa ninaomba kujua yafuatayo. 1.) Ni hasara kiasi gani tumepata kama Taifa katika kipindi cha miaka kumi mpaka Leo kutokana na foleni hizi. 2.) Inagharimu kiasi gani kujenga daraja la magari kupita juu pale junction. 3.) Tukijua hizi data basi tutaweza kukadiria ni kwa kiasi gani serikali Yetu inawazimu.
Kutatatua foleni Dar ni rahisi sana wala hakuhitaji kupoteza fedha kujenga Midaraja mikuubwa, ni kuhakikisha tu kila halmashauri br. zake zote zinapitika, siyo lazima waweke lami hata wahakikishe tu kila baada ya Miezi 3 zinapigwa greda, hilo litapunguza foleni kwa zaidi ya 1/3 na kwa gharama ndogo sana, unafikiri kwa nini Oysterbay hamna foleni? Ni kwa sababu Serikali wamejenga br. zote na zinapitika hivyo kuna njia nyingi sana, kwa hiyo walipaswa wafanye kama Oysterbay kupitisha greda tu br. za Mitaani kunatosha sana tu!
Laana gani hiyo mkuu? Huo ni ujinga wenu wenyewe,. Kwanini ukubali kukaa kwa muda wote huo hapo mataa?