Magane
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 202
- 57
Wana jf ninawasalimu wote kwa moyo mkunjufu na poleni na pilikapilika za hapa na pale za kusukuma mbele gurudumu letu hili leneye umri wa miaka hamsini. Hivi majuzi nilitembelea hospitali ya wilaya ya Kyela ambako dada yangu alilazwa.
Nilichokiona katika ward za wagonjwa sikuamini macho yangu nilifiliri labda nilikuwa nje ya nchi za nje zile zilizoendelea. Naipongeza sana timu nzima ya hospitali ya kyela walivyweza kufanikwa katika suala zima la house keeping.
Nawapa big u, Please keep it up. Najua suala la usafi - Ubwifyosi ndiyo culture yenu wanyaki na wengine basi waige mfano huu.