Kyela district hospital

Magane

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
202
57
Wana jf ninawasalimu wote kwa moyo mkunjufu na poleni na pilikapilika za hapa na pale za kusukuma mbele gurudumu letu hili leneye umri wa miaka hamsini. Hivi majuzi nilitembelea hospitali ya wilaya ya Kyela ambako dada yangu alilazwa.

Nilichokiona katika ward za wagonjwa sikuamini macho yangu nilifiliri labda nilikuwa nje ya nchi za nje zile zilizoendelea. Naipongeza sana timu nzima ya hospitali ya kyela walivyweza kufanikwa katika suala zima la house keeping.

Nawapa big u, Please keep it up. Najua suala la usafi - Ubwifyosi ndiyo culture yenu wanyaki na wengine basi waige mfano huu.
 
Ukizoea kuibiwa, siku usipoibiwa unashangilia kweli. Huyu mkuu amezoa kuona hospitali chafu na hazishangai, leo ameona hosipitali safi anashangaa kabisa. Kazi ipo.
 
Sioni ubaya wa hii post, maana inaonyesha alikuwa anifahamu hiyo hospitali awali na sasa amefika tena hapo akakuta mabadiliko. It's a recognition of a well-done job, ambayo ndiyo inajenga. Kwani hapa JF ni kujadili mabaya tu?

Nakupongeza kwa ur observation na nafikiri wahusika wamepata hiyo credit na wengine wataiga
 
Kwani hapa JF nipakuongelea mambo mabaya tu?hata mazuri tunajadili
 
Back
Top Bottom