Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
ahsante.
niruhusu nisipokee simu yako nicas
wacha nibaki snowhite for some time!
Wala hakuna shaka kabisa.
ahsante.
niruhusu nisipokee simu yako nicas
wacha nibaki snowhite for some time!
wataenda wote shule za kata na hiyo change iliyobaki itacover tuitions za walimu ukizingatia hata mie mama yao nimesoma shule za kata hizo hizo.Tuache hilo, chukulia mfano una watoto wako wa kuzaa 2, na watoto wa say dada yako 2. Budget yako ya ada ni mil 5 kwa mwaka, utawapeleka wote shule za kata au wa kwako utawapeleka shule za 2 m each na hiyo 1 m wakashare hao watoto wa dada yako?
its very easy,very easy in deed ukinipa mtoto wa Eiyer au EMT nilee nitalea bila shida!!
nitampeleka th best schools.best outings and best of everything na nitahakikisha cutees wangu wanampenda sawa.
unajua kwa nini?
bond yangu na yeye ni urafiki au ukaka wangu na baba yake
mtoto wa kambo hataweza kupata hiyo bahati unajua kwa nn?
bond yangu na yeye ni uasi na usaliti plus kuumizwa kwangu na baba yake
ndio maana ni rahis sana mtoto aliyezaliwa kabla ya ndoa na mama akamkuta mume ana huyo mtoto kuweza kulea kwausawa na watoto wake wa kuwazaa
unajua kwa nn?
bond kati yao ni uhakika na kuhitaji approval kuwa she is a good wife and a mother.
Kaunga i hope and i reaaaally hope sitatakiwa kulea kale kasibling!!
zaidi ya kuwa mke bora nahitaji pia ufalme wa Mungu,sitaki likawe kwazo maana sitauona kweli!!!
....mtoto wa kambo hataweza kupata hiyo bahati unajua kwa nn? bond yangu na yeye ni uasi na usaliti plus kuumizwa kwangu na baba yake..
Baada ya kutafakari kwa kina na kwa muda mrefu na hasa baada ya tuhuma nyingi na za mara kwa mara kwamba wanawake tuna roho mbaya ndio maana tunapokuwa mama wa kambo twawatesa au hatuwatreat sawa watoto wetu wa kambo; nimekuja na vitu hivi.
wanaume hawana bond kubwa na watoto kwakuwa hawajabeba mimba wala kuwanyonyesha hao watoto tofauti na wamama.
Mwanaume anatambulishwa mtoto tofauti na mwanamke ambaye anamjua mwanaye.
Kitokana na hali hizo, ndio maana:-
1. Mwanaume anaweza mtunza vizuri mtoto wa mkewe alomkuta naye, kwani hakuna tofauti kubwa sana na yule ambaye amemshuhudia akizaliwa maana bado anaweza asiwe wake pamoja amelea mimba.
2. Mwanaume anaweza telekeza watoto wake na asipate shida sana (ingawa kuna wamama wachache sana nao hutelekeza watoto)
NB: lengo langu si kutetea au kusupport ouvu wa baadhi ya wamama watesao watoto wa kambo, ninajaribu kuwaelewa au kuielewa tofauti ya wamama na wababa ili kuboresha tu.

Juzi nilikuwa msibani Marangu Moshi, wakati wa kutoa salamu mbalimbali Mwanamke mmoja(nadhani ni mwanaharakati) alisimama mbele ya umati na kusema kuwa wanawake wamechoka kuendelea na majina ya marehemu-waume zao, wanataka sasa mke arudie jina lake la awali mara baada ya mumewe kufariki, maana hakuna ndoa tena!
Mimi pamoja na watu wengine ambao ni sensitive tuliachwa midomo wazi!
Hapo nilikuwa najaribu tu kuonyesha jinsi wanawake walivyo na hisia kali za ndani kwa ndani juu ya vitu ambavyo mwanaume waweza kuona vya kawaida!
Nimalizie kwa kusema wanawake hawana strong bond na watoto wao, wanalazimika kuwa karibu na watoto kutokana na natural cause ya wao kuwa ndio wanaozaa. Nasema hivi kwasababu wanaongoza kutupa watoto WAO WENYEWE majalalani, vyooni na mitaroni kwa kukosa upendo...worse huwa wanatupa mtoto wake wa kuzaa, na si wa kambo...strong bond ya wapi hiyo?!
Aisee I love my son. Just the thought of shit happening akalelewa na mama wa kambo makes me crazy.
Nimelelewa na mama wa kambo and she was a bitch.
If ever am a stepmother, I wouldnt have the heart to be cruel.
Baada ya kutafakari kwa kina na kwa muda mrefu na hasa baada ya tuhuma nyingi na za mara kwa mara kwamba wanawake tuna roho mbaya ndio maana tunapokuwa mama wa kambo twawatesa au hatuwatreat sawa watoto wetu wa kambo; nimekuja na vitu hivi.
wanaume hawana bond kubwa na watoto kwakuwa hawajabeba mimba wala kuwanyonyesha hao watoto tofauti na wamama.
Mwanaume anatambulishwa mtoto tofauti na mwanamke ambaye anamjua mwanaye.
Kitokana na hali hizo, ndio maana:-
1. Mwanaume anaweza mtunza vizuri mtoto wa mkewe alomkuta naye, kwani hakuna tofauti kubwa sana na yule ambaye amemshuhudia akizaliwa maana bado anaweza asiwe wake pamoja amelea mimba.
2. Mwanaume anaweza telekeza watoto wake na asipate shida sana (ingawa kuna wamama wachache sana nao hutelekeza watoto)
NB: lengo langu si kutetea au kusupport ouvu wa baadhi ya wamama watesao watoto wa kambo, ninajaribu kuwaelewa au kuielewa tofauti ya wamama na wababa ili kuboresha tu.
So, adhabu yote inamwangukia huyo mtoto aka the very innocent kid?
ili nionekane nimesamehe ni lazima nilee mtoto huyo¿
Hivi aliekugeuzia hii thread irelate na what you are going through ana idea hata kidogo of what you might be going through??
Juzi nilikuwa msibani Marangu Moshi, wakati wa kutoa salamu mbalimbali Mwanamke mmoja(nadhani ni mwanaharakati) alisimama mbele ya umati na kusema kuwa wanawake wamechoka kuendelea na majina ya marehemu-waume zao, wanataka sasa mke arudie jina lake la awali mara baada ya mumewe kufariki, maana hakuna ndoa tena!
Mimi pamoja na watu wengine ambao ni sensitive tuliachwa midomo wazi!
Hapo nilikuwa najaribu tu kuonyesha jinsi wanawake walivyo na hisia kali za ndani kwa ndani juu ya vitu ambavyo mwanaume waweza kuona vya kawaida!
Nimalizie kwa kusema wanawake hawana strong bond na watoto wao, wanalazimika kuwa karibu na watoto kutokana na natural cause ya wao kuwa ndio wanaozaa. Nasema hivi kwasababu wanaongoza kutupa watoto WAO WENYEWE majalalani, vyooni na mitaroni kwa kukosa upendo...worse huwa wanatupa mtoto wake wa kuzaa, na si wa kambo...strong bond ya wapi hiyo?!
Kumbe ndugu yangu tuna experience inayofanana , hata nami nimeishi na hawa wamama tofauti tofauti mziki wao naujua asikwambie mtu . Lkn kupitia maisha yale yamenisaidia kujifunza mambo mengi kuhusu wanawake, huko nyuma nilikua nawalaumu sana . Ninapoandika hapa sina kinyongo kabisa na wale wamama nilishawaachilia manake niliwabeba moyoni mwangu. Nilijifunza kuangalia mazuri yao hata kama machache yanatosha kunipa faraja.Hapa sasa mjadala utakuwa na mantiki
Kwenye hilo sijui kwakweli hii ni kwanini
Binafsi nimelelewa na mama wa kambo tofauti tofauti na mziki wa wamama hawa naujua
Wakati mwingine unaweza kudhania sio binadamu
Wanakuwa na roho ya ajabu sana
Nadhani hili linahusiana na mahusiano kati ya mke na mume [wivu labda]!!
Hapo ndipo palipo na tatizo (kwenye red) kama wamama tutaweza kujichunguza na kugundua wapi hatupo sawa basi mateso ya mtoto wa kambo yatapungua au yatakwisha kabisa. Inauma mno unapoteswa na mama wa kambo . Ikumbukwe kuwa wakati mwingine huyo mama wa kambo hafanyi mambo ya ajabu kwa mtoto lkn ikitokea kamfokea mtoto huyo kimakosa basi ile kitu hupenya nafsini na huwezi kudelete hilo tukio kwa mtoto.Umeona EMT, labda niwaulize kina Ablessed, Blue G na wamama wengine; say una watoto wawili mmoja ni wa mumeo mwingine wa kwako wamelala ndani, God forbid nyumba ikashika moto. Utaanza kumuokoa yupi?
Kumbuka hapo sio kunyanyasa wala kutesa. Sio lazima kujibu huku lkn search your hearts.
Mimi nina amini ingawa kuna visababishi vingi vya ubovu wa mahusiano Kati ya mama wa kambo na watoto, kujichunguza na kutojidanganya kwa wamama ni hatua ya msingi kabla ya kukubali kuwa mama wa kambo. Baada ya hapo ndio tuangalie baba mwenyewe (ingawa sio vizuri kumpunish mtoto kwa kosa la baba), na mtoto pia.