Kwq mtazamo wa Kaunga

Kwq mtazamo wa Kaunga

yaani inabidi tu wamama tujifunze pia kutohamishia hasira za waume zetu kwa watoto wa nje. unakuta mtu upo na mumeo kwenye ndoa miaka mitano waja kuletewa kitoto kina miaka minne ina maana ndani ya mwaka wenu wa kwanza tu wa ndoa mumeo kadinya mtu na mimba juu. hii jinsia yenye mkia mbele hii acha kabisa.
 
Sijakuelewa bana

Kama wakina mama ndio wanaopata uchungu,si ndio wanapaswa kuwa na uchungu zaidi na watoto?
Inakuwaje watu ambao hata hawajui uchungu wa kujifungua ndio wawe rahisi kulea bila tatizo??

Okay lemme spell for you kiunaga ubaga.
Binadamu tuko selfish in nature right?

Ninachojaribu kutafakari hapa ni kwa nini kuna utofauti mkubwa wa jinsi wamama wanavyo watreat watoto wao wa kambo na wa kuwazaa (observation hiyo ipo hata ukisearch nyuzi humu), na kwanini utofauti huo wa treatment kwa watoto wa kuwazaa na kufikia kwa upande wa kina baba ni mdogo.

(I hope umenielewa mpaka hapo, na hautabisha just for the sake ya kubisha)

Blue G amepoint moja ya possible sababu ni kwamba wababa wengi hawajihusishi na day to day malezi ya watoto. Ninakubaliana naye kwamba ni one of the sababus.

Katika tafakuri yangu nimeenda ndani zaidi na kuangalia tofauti ya kijinsia ya baba na mama na mchango wake.

Nikachukulia mifano mitatu
1. Kutelekeza watoto na
2. Kunyanyasa watoto
3. Kutunza watoto

Kuna no ya kutosha tu ya wadada/mama kutupa watoto, lkn kuna idadi kubwa zaidi (wadada waliotupa + ambao wanalea as single mothers) wababa wakiotelekeza watoto.

Tukija kwenye kunyanyasa watoto wa kufikia, wamama twaongoza, wababa sio sana si ndio? (Hapa ndipo tafakari yangu imejikita)

Kwenye kutunza watoto specifically wa kufikia, again wababa mko juu.

Sababu ya wanawake wameumbwa na Roho mbaya kuliko wanaume ndio l am not buying ndio maana nimeleta huu uzi.

Hypotheses zangu ni kwamba.
1: Kwa mwanaume mtoto ni mtoto tu, kwani kwanza hana uhakika (until recently na kwa vipimo) kuwa mtoto ni wake hata kama kalea mimba.

Na hiyo mtoto wa mkewe mradi tu ampende mkewe basi atapenda na boga lake (si ndo mnasemaga?)

Lakini kwa mwanamke ambaye mwanaye alikuwa sehemu yake tumboni wakichangia oxygen aivutayo mama na baadaye akimlisha chakula toka mwilini mwake, basi huyu mtoto ni sehemu yake. Ili kumpenda na mtoto mwingine (ndio swali lako nadhani) inahitaji awe muaminifu wa ile amri kuwa "mpende jirani yako kama nafsi yako". Kwa kifupi awe mtu mwema (na hapa nawasihi mama wa kambo wote including mimi, tufuate amri hii muhimu for salvation of our souls (remember l said binadamu ni selfish in nature, hivyo when you think of ur soul lazima uwe mwema).
 
Last edited by a moderator:
Kuna ukweli ktk hili. Wamama wa kambo ingawa sio wote wamejikuta wanatesa watoto wasiokua wao mara nyingine kwasababu ya uzembe wa wababa kama ulivyosema kwenye mada kuu. Baba anaposhindwa kuwa karibu na mwanae inasababisha mtoto ashindwe kueleza kinachompata toka kwa huyu mama. Kama baba ataelewa tofauti zilizopo kwenye familia yake na kuamua kuwajibika inaweza punguza matatizo kadhaa anayopata mtoto au mama toka kwa mtoto.
 
Okay lemme spell for you kiunaga ubaga.
Binadamu tuko selfish in nature right?
OK,Am listening
Ninachojaribu kutafakari hapa ni kwa nini kuna utofauti mkubwa wa jinsi wamama wanavyo watreat watoto wao wa kambo na wa kuwazaa (observation hiyo ipo hata ukisearch nyuzi humu), na kwanini utofauti huo wa treatment kwa watoto wa kuwazaa na kufikia kwa upande wa kina baba ni mdogo.
Hili ni kweli kabisa
(I hope umenielewa mpaka hapo, na hautabisha just for the sake ya kubisha)
Damn you .........
amepoint moja ya possible sababu ni kwamba wababa wengi hawajihusishi na day to day malezi ya watoto. Ninakubaliana naye kwamba ni one of the sababus.
I doubt this
Katika tafakuri yangu nimeenda ndani zaidi na kuangalia tofauti ya kijinsia ya baba na mama na mchango wake.

Nikachukulia mifano mitatu
1. Kutelekeza watoto na
2. Kunyanyasa watoto
3. Kutunza watoto

Kuna no ya kutosha tu ya wadada/mama kutupa watoto, lkn kuna idadi kubwa zaidi (wadada waliotupa + ambao wanalea as single mothers) wababa wakiotelekeza watoto.
Sawa
Tukija kwenye kunyanyasa watoto wa kufikia, wamama twaongoza, wababa sio sana si ndio? (Hapa ndipo tafakari yangu imejikita)
Let's go on sweetie
Kwenye kutunza watoto specifically wa kufikia, again wababa mko juu.
Thank you sweetie
Sababu ya wanawake wameumbwa na Roho mbaya kuliko wanaume ndio l am not buying ndio maana nimeleta huu uzi.
Idont agree with that too
Hypotheses zangu ni kwamba.
Enhee
1: Kwa mwanaume mtoto ni mtoto tu, kwani kwanza hana uhakika (until recently na kwa vipimo) kuwa mtoto ni wake hata kama kalea mimba.
Hapa ndipo ulipojiingiza chaka
Nitaeleza hapo chini
Na hiyo mtoto wa mkewe mradi tu ampende mkewe basi atapenda na boga lake (si ndo mnasemaga?)
Really?
Lakini kwa mwanamke ambaye mwanaye alikuwa sehemu yake tumboni wakichangia oxygen aivutayo mama na baadaye akimlisha chakula toka mwilini mwake, basi huyu mtoto ni sehemu yake. Ili kumpenda na mtoto mwingine (ndio swali lako nadhani) inahitaji awe muaminifu wa ile amri kuwa "mpende jirani yako kama nafsi yako". Kwa kifupi awe mtu mwema (na hapa nawasihi mama wa kambo wote including mimi, tufuate amri hii muhimu for salvation of our souls (remember l said binadamu ni selfish in nature, hivyo when you think of ur soul lazima uwe mwema).
Hapa ndipo ulipojiingiza kichakani

Mama ndie anaekua na uchungu wa mwana hata kama ni sio wake

Kwa kukuthibitishia hili kuna ajali ilitokea karibu na maeneo ninayofanyia kazi
Kuna mtoto aligongwa na gari na kupoteza maisha hapo hapo na wamama walipokuwa wakija kumtazama yule mtoto wengine walizimia,hii ilikuwa tofauti na wale wadada waliokuwa wanaonekana hawana watoito kabisa

Pia hebu tazama kuna uzi wa jamaa mmoja ambae anaelezea kisa cha kuachiwa mtoto ndani ya basi,utaona kuwa wakina mama waliokuwa ndani ya basi lile ndio waliomsaidia yule jamaa kumlisha na ndio walioguswa zaidi na tukio hilo

Hata kama umewahi kushuhudia tukio la mtoto kuokotwa akiwa ametupwa unaweza kuona kuwa akina mama ndio wanaoguswa zaidi na kuna wengine hupelekea kulia kwa matukio hayo

Niliwahi kujaribu kufanya ka uchunguzi sababu haswa inayosababisha hayo au ni uoga wa kike tu na nilistaajabu sana kwa majibu yao,wengi walisema kuwa wanapoona mtoto anatendewa hivyo husikia uchungu upya kutokana na waliyowahi kuyapitia na kitendo chochote kile wanapokuwa wanafanyiwa watoto huhisi uchungu sana kwa sababu na wao ni wazazi

Kuna kadhia moja ya kijinga sana iliyotokea mitaa ninayoishi kwa mama mmoja kumfukuza mfanyakazi wake wa ndani huku ana mtoto mdogo na wakina mama wenzake walimfuata na kwenda kumshambulia huyo mama kwa maneno kwa kumuambia ni kwanini kama hamhuru mii huyo mfanya kazi wake basi amhurumie hata yule mtoto mdogo,yaani kwa kifupi tukio lile liliwagusa zaidi wamama

Nikija kwenye suala lako ni kuwa nilishindwa kukuelewa kwasababu sababu unazozielezea ndizo zilitakiwa ziwafanye wanawake kuwa na huruma sana na watoto kwa sababu mama na mtoto wanakuwa pamoja sana kwa uchungu na furaha,kitendo cha mama kumbeba mtoto muda mrefu kinaongeza upendo kwa mtoto na sio chuki

Akina baba ndio tulitakiwa tuwe na mtazamo hasi kwa watoto kutokana na sababu za kibaiologia na sio nyie akina mama

Sweetie hapo umeingia choo cha kiume kabisa

Nakushauri mada yako uibadilishe na iwe unaelezea sababu za akina mama kuwapenda watoto zaidi na sio kuwachukia!!
 
Kuna ukweli ktk hili. Wamama wa kambo ingawa sio wote wamejikuta wanatesa watoto wasiokua wao mara nyingine kwasababu ya uzembe wa wababa kama ulivyosema kwenye mada kuu. Baba anaposhindwa kuwa karibu na mwanae inasababisha mtoto ashindwe kueleza kinachompata toka kwa huyu mama. Kama baba ataelewa tofauti zilizopo kwenye familia yake na kuamua kuwajibika inaweza punguza matatizo kadhaa anayopata mtoto au mama toka kwa mtoto.

Dear naona hujamuelewa huyu mtoa mada hebu rudia tena
Ndio maana nimesema mada yake ni ngumu kueleweka kidogo...!!!!!!!
 
Kwa maelezo yako na uhalisia wa mambo vyote vinawiana, lbd tujiulize kwanini baadhi ya wamama wanaroho mbaya kiasi hicho. Ikiwa mama ndiye mwenye uchungu na ndiye anayeongoza lbd hata kuonyesha huruma anapoona mtoto huko nje anateswa/katupwa/katelekezwa , je ni unafiki? Nimeona wamama kadhaa wanabagua watoto hasa anapokuwepo mtoto wa kambo. Lkn nilijaribu kufuatilia zaidi nikaona wamama hao huwa na roho mbaya hata kwa watoto wa ndugu zao hasa ndugu wenye hali ya chini kimaisha.

Wamama wengine hujikuta wanashindwa kujicontrol hasa wanapokua wameudhiwa na wenzi wao na huamua kutoa adhabu kwa mtoto. Hata hivyo mwanaume kugundua kuwa mwanae anateswa wakati mwingine ni ngumu sana kwani wanawake ni werevu mno. Wengine wanaweza kufikiri mateso ni kunyimwa chakula au kutonunuliwa nguo kumbe hapana . Mateso yapo ya aina nyingi kwa mfano husemeshwi, ukitaka kufanya kazi za home unakatazwa unaambiwa kaa tu acha nitafany mwenyewe n.k. Ni kama alivyosema Kaunga kuwa wanawake tunaongoza kwa roho mbaya tujiulize kwanini inakua hivi ..............??????
 
Hapa sasa mjadala utakuwa na mantiki

Kwenye hilo sijui kwakweli hii ni kwanini
Binafsi nimelelewa na mama wa kambo tofauti tofauti na mziki wa wamama hawa naujua
Wakati mwingine unaweza kudhania sio binadamu
Wanakuwa na roho ya ajabu sana

Nadhani hili linahusiana na mahusiano kati ya mke na mume [wivu labda]!!
 
OK,Am listening

Hili ni kweli kabisa

Damn you .........

I doubt this

Sawa

Let's go on sweetie

Thank you sweetie

Idont agree with that too

Enhee

Hapa ndipo ulipojiingiza chaka
Nitaeleza hapo chini

Really?

Hapa ndipo ulipojiingiza kichakani

Mama ndie anaekua na uchungu wa mwana hata kama ni sio wake

Kwa kukuthibitishia hili kuna ajali ilitokea karibu na maeneo ninayofanyia kazi
Kuna mtoto aligongwa na gari na kupoteza maisha hapo hapo na wamama walipokuwa wakija kumtazama yule mtoto wengine walizimia,hii ilikuwa tofauti na wale wadada waliokuwa wanaonekana hawana watoito kabisa

Pia hebu tazama kuna uzi wa jamaa mmoja ambae anaelezea kisa cha kuachiwa mtoto ndani ya basi,utaona kuwa wakina mama waliokuwa ndani ya basi lile ndio waliomsaidia yule jamaa kumlisha na ndio walioguswa zaidi na tukio hilo

Hata kama umewahi kushuhudia tukio la mtoto kuokotwa akiwa ametupwa unaweza kuona kuwa akina mama ndio wanaoguswa zaidi na kuna wengine hupelekea kulia kwa matukio hayo

Niliwahi kujaribu kufanya ka uchunguzi sababu haswa inayosababisha hayo au ni uoga wa kike tu na nilistaajabu sana kwa majibu yao,wengi walisema kuwa wanapoona mtoto anatendewa hivyo husikia uchungu upya kutokana na waliyowahi kuyapitia na kitendo chochote kile wanapokuwa wanafanyiwa watoto huhisi uchungu sana kwa sababu na wao ni wazazi

Kuna kadhia moja ya kijinga sana iliyotokea mitaa ninayoishi kwa mama mmoja kumfukuza mfanyakazi wake wa ndani huku ana mtoto mdogo na wakina mama wenzake walimfuata na kwenda kumshambulia huyo mama kwa maneno kwa kumuambia ni kwanini kama hamhuru mii huyo mfanya kazi wake basi amhurumie hata yule mtoto mdogo,yaani kwa kifupi tukio lile liliwagusa zaidi wamama

Nikija kwenye suala lako ni kuwa nilishindwa kukuelewa kwasababu sababu unazozielezea ndizo zilitakiwa ziwafanye wanawake kuwa na huruma sana na watoto kwa sababu mama na mtoto wanakuwa pamoja sana kwa uchungu na furaha,kitendo cha mama kumbeba mtoto muda mrefu kinaongeza upendo kwa mtoto na sio chuki

Akina baba ndio tulitakiwa tuwe na mtazamo hasi kwa watoto kutokana na sababu za kibaiologia na sio nyie akina mama

Sweetie hapo umeingia choo cha kiume kabisa

Nakushauri mada yako uibadilishe na iwe unaelezea sababu za akina mama kuwapenda watoto zaidi na sio kuwachukia!!

Eiyer my dear, tafakuri yangu imejikita kwenye watoto wa kambo na sio watoto wengine.

Na pia nimeassume factors zingine ziko constant (ie maudhi ya mume etc)
Au labda mama akiishi vizuri na mumewe kama alivyosema my sis Ablessed huenda mtoto wa kambo hatateswa lkn nina uhakika mtoto wa kumzaa mwenyewe atapewa kaupendeleo fulani hivi, tofauti na wababa.
Sasa nikuulize, bila kuchunguza reasons behind za un equal treatment ntawezaje kuwashauri wamama kutreat watoto wote equally?
 
Last edited by a moderator:
Hapa sasa mjadala utakuwa na mantiki

Kwenye hilo sijui kwakweli hii ni kwanini
Binafsi nimelelewa na mama wa kambo tofauti tofauti na mziki wa wamama hawa naujua
Wakati mwingine unaweza kudhania sio binadamu
Wanakuwa na roho ya ajabu sana

Nadhani hili linahusiana na mahusiano kati ya mke na mume [wivu labda]!!

Kwanza pole lkn pia hongera kwa kusurvive step mother. Wanasema kisichokuua kinakukomaza, so naimani jinsi ulivyo leo malezi harsh ya mama wa kambo yamechangia, l hope ilikusaidia kuwa strong na sio kuwa na negative attitude towards women.

Leo sikutaka kucheza na blaming game; aliyosema Ablessed yanaonekana sana. Lakini hata pale mahusiano ya baba na mama mazuri hakuna wivu n all, utakuta wamama wengi wana kaupendeleo kwa watoto wao wa kuwazaa. Lkn hii haionekani sana kwa wababa, why? Ni hormones, sexual organs au?
Tukirudi kwenye kutelekeza watoto, wanaume mnaingoza. Sasa ni kipi kinachomfanya mama kumpendelea mwanaye wa kuzaa na ni kipi kinachomfanya baba alale usingizi wa pono hata kama katelekeza watoto?
Ni BOND ambayo huchangiwa na mchakato wa kuleta mtoto duniani.
 
Last edited by a moderator:
...wanaume hawana bond kubwa na watoto kwakuwa hawajabeba mimba wala kuwanyonyesha hao watoto tofauti na wamama.

Unataka kusema kuwa kwa vile wanaume hawabebi mimba na kunyonyesha basi hawako sensitive and responsive kwa watoto wao?

Mie nafikiri tuende kisomi zaidi. Kitaalam, unailewaje maana ya bond kati ya mtoto na caregiver wake?

Any clue about child development theories and practices and how children develop attachment with their caregivers?

Have you heard anything about attachment theory and how infants become attached to their caregivers?

Inaonekana kama wewe ungekuwa social worker basi usingekubali wanaume wawe caregivers wa watoto wao simply because hawabebi mimba na hawavyonyeshi.
 
Baada ya kutafakari kwa kina na kwa muda mrefu na hasa baada ya tuhuma nyingi na za mara kwa mara kwamba wanawake tuna roho mbaya ndio maana tunapokuwa mama wa kambo twawatesa au hatuwatreat sawa watoto wetu wa kambo; nimekuja na vitu hivi.
wanaume hawana bond kubwa na watoto kwakuwa hawajabeba mimba wala kuwanyonyesha hao watoto tofauti na wamama.
Mwanaume anatambulishwa mtoto tofauti na mwanamke ambaye anamjua mwanaye.
Kitokana na hali hizo, ndio maana:-
1. Mwanaume anaweza mtunza vizuri mtoto wa mkewe alomkuta naye, kwani hakuna tofauti kubwa sana na yule ambaye amemshuhudia akizaliwa maana bado anaweza asiwe wake pamoja amelea mimba.
2. Mwanaume anaweza telekeza watoto wake na asipate shida sana (ingawa kuna wamama wachache sana nao hutelekeza watoto)

NB: lengo langu si kutetea au kusupport ouvu wa baadhi ya wamama watesao watoto wa kambo, ninajaribu kuwaelewa au kuielewa tofauti ya wamama na wababa ili kuboresha tu.

asante mama wa kambo kwa elimu hii
 
yaani inabidi tu wamama tujifunze pia kutohamishia hasira za waume zetu kwa watoto wa nje. unakuta mtu upo na mumeo kwenye ndoa miaka mitano waja kuletewa kitoto kina miaka minne ina maana ndani ya mwaka wenu wa kwanza tu wa ndoa mumeo kadinya mtu na mimba juu. hii jinsia yenye mkia mbele hii acha kabisa.

Tuache hilo, chukulia mfano una watoto wako wa kuzaa 2, na watoto wa say dada yako 2. Budget yako ya ada ni mil 5 kwa mwaka, utawapeleka wote shule za kata au wa kwako utawapeleka shule za 2 m each na hiyo 1 m wakashare hao watoto wa dada yako?
 
IMG_0968.JPG

201303-orig-father-son-600x411.jpg
 
Unataka kusema kuwa kwa vile wanaume hawabebi mimba na kunyonyesha basi hawako sensitive and responsive kwa watoto wao?

Mie nafikiri tuende kisomi zaidi. Kitaalam, unailewaje maana ya bond kati ya mtoto na caregiver wake?

Any clue about child development theories and practices and how children develop attachment with their caregivers?

Have you heard anything about attachment theory and how infants become attached to their caregivers?

Inaonekana kama wewe ungekuwa social worker basi usingekubali wanaume wawe caregivers wa watoto wao simply because hawabebi mimba na hawavyonyeshi.

Ndio maana nikasema wanaume wanaishi vizuri na watoto wa wake zao kwakuwa bond iliyotengenezwa ni hiyo hiyo uliyoiita care givers bond; lkn kwa mama ni zaidi ya care giver maana kuna sense ya kumuona mtoto wako as an extended part of you (mama); ndio maana BADILI TABIA kasema 'kina mama wamenielewa'.
 
Last edited by a moderator:
yaani inabidi tu wamama tujifunze pia kutohamishia hasira za waume zetu kwa watoto wa nje. unakuta mtu upo na mumeo kwenye ndoa miaka mitano waja kuletewa kitoto kina miaka minne ina maana ndani ya mwaka wenu wa kwanza tu wa ndoa mumeo kadinya mtu na mimba juu. hii jinsia yenye mkia mbele hii acha kabisa.

Kweli hawa viumbe ni so bora ajue msimamo wako mapema

hapa ndo naposemaga nitaonekana nina roho mbaya.
yaani mara nyingi nalaumu wanawake mtu unazaa na mume wa mtu ili iweje?na unakuta mtu anajua kabisa
km sio kuleteana shida tupu! !?

hapa acha nionekane na roho mbaya kwa kutompokea kabisa hyo mtt kuepusha shari
alelewe huko alikozaliwa, km walivyo zaa ndo watakavyolea
 
Back
Top Bottom