Kwq mtazamo wa Kaunga

Kwq mtazamo wa Kaunga

Ndio maana nikasema wanaume wanaishi vizuri na watoto wa wake zao kwakuwa bond iliyotengenezwa ni hiyo hiyo uliyoiita care givers bond; lkn kwa mama ni zaidi ya care giver maana kuna sense ya kumuona mtoto wako as an extended part of you (mama); ndio maana BADILI TABIA kasema 'kina mama wamenielewa'.

That may not always be the case. Nakumbuka nikiwa mdogo kwetu tulikuwa tunafuga mbuzi. Kuna mbuzi walikuwa wakizaa hawataki kuwa mbali na vichanga vyao. Pia kukigusa kichanga chake ilikuwa ni kasheshe.

Lakini walikuwepo mbuzi wengine wakishazaa tuu walikuwa hawataki kuona vichanga vyao. Wengine walikuwa wanapiga vichanga vyao. Ilibidi watu watatu kumbana mbuzi ali angalao anyonyeshe kichanga chake. Mara nyingi nilikuwa najiuliza ni kwa nini lakini sikupata jibu.

Nafikiri hii hali inaweza kutokea kwa binadamu pia. Lakini kutokana na interactions za kibinadamu inakuwa ngumu kwa mama asiyempenda mwanae kuonyesha hivyo expressly, though it is possible kwa mama mwenye watoto zaidi ya mmoja kuonyesha wazi kumpenda zaidi mmoja wao zaidi ya mwingine.

Hata hivyo, argument yako inaweza kuwa valid. Wakiwa pamoja, baba atakuwa tayari ku-sacrifice maisha yake kwa kupambana na simba ili kuokoa maisha ya mkewe na mtoto. Wakati akipambana huko, mwanamke atambeba mtoto na kusepea mbali.

Inasemekana kuwa wakati mwanaume yupo tayari ku-sacrifice maisha yake kwa ajili ya mama na mtoto, ni vigumu kwa mwanamke ku-sacrifice maisha yake kwa ajili ya mwanaume ingali kuna mtoto hapo. Wanawake wengi wako tayari ku-sacrifice maisha yao kwa ajili yao na watoto wao tuu. Probably, they believe that their men can defend by themselves.

Children may be part of you. We don't know what you went through kuwapa maisha: Women Love Their Children More Than Their Husbands, though one could argue that a woman cannot compare between the love for her children and her husband. Ni watu wawili tofauti.

On the other hand, probably ndiyo maana ikifika muda wa mtoto kuoa, mama anaona anapinduliwa vile?
 
Eiyer my dear, tafakuri yangu imejikita kwenye watoto wa kambo na sio watoto wengine.

Na pia nimeassume factors zingine ziko constant (ie maudhi ya mume etc)
Au labda mama akiishi vizuri na mumewe kama alivyosema my sis Ablessed huenda mtoto wa kambo hatateswa lkn nina uhakika mtoto wa kumzaa mwenyewe atapewa kaupendeleo fulani hivi, tofauti na wababa.
Sasa nikuulize, bila kuchunguza reasons behind za un equal treatment ntawezaje kuwashauri wamama kutreat watoto wote equally?

Hujaelewa nilichoandika sweetie
Hebu rudi ukasome tena ....!!!!!!!!!!
 
Kwanza pole lkn pia hongera kwa kusurvive step mother. Wanasema kisichokuua kinakukomaza, so naimani jinsi ulivyo leo malezi harsh ya mama wa kambo yamechangia, l hope ilikusaidia kuwa strong na sio kuwa na negative attitude towards women.

Leo sikutaka kucheza na blaming game; aliyosema Ablessed yanaonekana sana. Lakini hata pale mahusiano ya baba na mama mazuri hakuna wivu n all, utakuta wamama wengi wana kaupendeleo kwa watoto wao wa kuwazaa. Lkn hii haionekani sana kwa wababa, why? Ni hormones, sexual organs au?
Tukirudi kwenye kutelekeza watoto, wanaume mnaingoza. Sasa ni kipi kinachomfanya mama kumpendelea mwanaye wa kuzaa na ni kipi kinachomfanya baba alale usingizi wa pono hata kama katelekeza watoto?
Ni BOND ambayo huchangiwa na mchakato wa kuleta mtoto duniani.

Dah ..........!!!!!!!!!
 
Kweli hawa viumbe ni so bora ajue msimamo wako mapema

hapa ndo naposemaga nitaonekana nina roho mbaya.
yaani mara nyingi nalaumu wanawake mtu unazaa na mume wa mtu ili iweje?na unakuta mtu anajua kabisa
km sio kuleteana shida tupu! !?

hapa acha nionekane na roho mbaya kwa kutompokea kabisa hyo mtt kuepusha shari
alelewe huko alikozaliwa, km walivyo zaa ndo watakavyolea

Kama unavyopenda ofa za mume wa mtu ndivyo utakavyozaa naye! Wanawake sometime huwa hamjielewi tu. Mi nimeshuhudia familia kama tatu zenye wanaume wenye watoto na mama wana watoto wao! Mama anapendwa kama kawaida na kila kitu anapewa lakini mtoto wa kambo anateswa na kunyanyaswa kuliko kawaida. Mwanaume anawachukulia watoto wote kama wa kwake na kuwatreat sawa. Kuna mmoja mpaka ilikuwa ikifunga shule anaomba kwenda kijijini kwa bibi ili kukwepa shari za mama wa kambo!(walikuwa wanasoma boarding)
 
Ingawa leo sikutaka kutupia lawama wengine na kuamua kuchunguza uanamke wetu lkn wana psychologist wengine wanakubali ugumu wa hii kitu, 'step parenting', msome Wednesday Martin uone:-
Why It's Easier to Love a Stepfather Than a Stepmother By Wednesday Martin, Ph.D. on June 21, 2011 - 6:45am

When I first began researching my book Stepmonster six years into marrying a man with kids from a previous partnership, one fact hit me square in the forehead: over and over, people with stepparents who heard about my project let me know that they liked their stepdads just fine. In fact, in many cases, they loved them, even considered them "another dad." It was their stepmoms who were the problem, they insisted. As one woman in her thirties told me, "I know it's not about me, because I love my stepdad. He's a great guy. My stepmother on the other hand--I can't stand her."

This theme--nice stepdad, "horrible" stepmom--was remarkably common, as was the tendency to consider a stepfather "another parent" but a stepmother more like "my father's wife," even when the relationship between the stepchild of any age and the stepmother was good. Most notable--and sad--was the marked frequency of strained relations between stepdaughters and stepmothers. Indeed, much of the literature on stepparenting suggests that, broadly speaking, stepmothers and stepchildren are less close than stepfathers and stepchildren. What accounts for these differences?

The common take on tensions between stepmothers and stepchildren in our culture is, of course, that stepmothers are overwhelmingly likely to be nasty, petty, and jealous, creatures right out of the Brothers Grimm. It would only follow, this cultural logic goes, that their stepkids dislike and reject them.

The demographic reality--there are now more stepfamilies than first families in the U.S.--has gone some distance to close the gap between our perceptions of stepmothers as a group, and who they actually are. We know from the research, for example, that my own findings exemplify some important truths about stepfamily life: that many stepmothers actually bend over backwards to try to win over wary stepkids, and that most women who take on life with a man with kids of any age do so with the best intentions. As stepfamilies become statistically normative, we have the opportunity to re-write the stepmothering script along lines that are less fantastical and rooted in myth,and more rooted in the day-to-day realities of stepfamily life.

But that's just the problem. For it turns out that the root of much of the tension between stepmothers and stepchildren is in lived experience, not just in myth. This is particularly true in the case of stepmothers and stepdaughters. As it turns out, it's not just that most women with stepchildren try hard, at least initially. It's that they feel they have to, because they face significant challenges that a stepfather doesn't. The next time you hear a child, young adult, or adult talking about not getting along with his or her stepmother, you can bet one of the following challenges unique to stepmothers is at play:

1. Children, young adults, and adults have a harder time accepting a stepmother than they do a stepfather. This frequently translates into hostile and rejecting behavior. Simply put, the literature on stepparenting bears out the reality that stepmothers generally have a tougher row to hoe than do stepdads, and much of this difficulty steps from feeling rejected by and actually being rejected by their stepchildren of any age.

2. What makes it harder for a stepchild to accept a stepmother? What builds a stepchild's resentment of "dad's new wife"? If you think it's her own wickedness of just plain lack of trying, guess again. It may have more to do with the children's mother than anything the stepmother is doing or not doing. According to researchers including Mavis Hetherington and Constance Ahrons, after a divorce women experience more resentment and anger, and experience it for longer, than do men, who are more likely to nurture fantasies of reconciliation and work for "smooth sailing" with an ex spouse. Based on her 30-year Virginia Longitudinal Study of life post-divorce, Hetherington concludes that stepmothers are frequently singled out for very bad treatment indeed by stepchildren who pick up on their mother's anger and resentment and become her proxy in their father's household. As more than one adult stepchild told me, "My mom wouldn't like it if my stepmom and I were close." Often, a stepchild who "hates" stepmom feels that in doing so she is expressing solidarity with her mother. If mom would explicitly give her permission to like her stepmother, and let her know that being nasty to stepmom is not an option, the behavior, and the resentment it stems from, would likely vanish.

3. Women with stepchildren are more likely to feel compelled to try everything to win his kids over. This too often includes trying to act maternal and loving. And for a child or adult child in a loyalty bind-sensing that liking stepmom is a betrayal of mom-stepmom's overreaching and attempts "to act like she's my mom" will seem especially offensive and threatening. Thus she will be more roundly rejected. Stepfathers, on the other hand, have a wider berth to step back and let things develop on their own with their stepkids. As one man with a stepson told me, "I wanted my wife to be a mother to my son. I even thought it should come to her 'naturally' somehow. But I didn't feel the pressure to be that to my stepsons. They already had a dad and I was clear about that. I was there to be someone extra to do things with them, listen to them, stuff like that." Such double standards break against stepmothers. But with less pressure on them to be "paternal," stepfathers feel less pressure to act just like dads, and stepkids feels less internal conflict about "betraying" dad. Don't forget that having an ex husband is, statistically speaking, generally easier than having an ex wife owing to differences (again, broadly speaking) in anger and resentment post divorce. Since dad is less likely to have a strong agenda about how his kids are "raised" by stepdad (who isn't as likely to feel compelled to do the raising anyway), there are fewer opportunities for conflicts between men across households than there are between women across households. All this contributes to the stepfamily mix, making it more combustible in the case of a stepmother household (husband, wife, and his kids) than in the case of a stepfather household (husband, wife, and her kids).

4. Girls, young women, and adult women in particular are likely to model their mother's feelings and behaviors and subscribe to her beliefs regarding her divorce from their father. This fact, plus the fact of an ex-wife's resentment of her husband repartnering, often fuels the fire of a stepdaughter's hostility toward her stepmother.

5. Divorced and repartnered or remarried fathers often feel fearful of incurring the anger of their ex-wives ("If she gets mad, I might never see my kids again") and of alienating their children if they say "no" or hold the kids to a high standard of behavior. For these reasons, an ex-wife may be a very powerful presence in her ex husband's home, her agenda profoundly felt. And Dad's house may become the "no rules" household-meaning there are few rules about treating stepmom with respect, both because he is fearful of alienating his kids, and because of his ex wife's influence. When a wife or partner with stepchildren attempts to assert her right to being treated fairly in the household under these conditions, her husband or partner may not support her position. This causes tension within the couple, tension which the stepmother may attribute to the stepchildren alone. And so the tension between stepmother and stepchild is further fueled, this time from within the stepparent/stepchild dyad.

6. In spite of increasingly involved dads, mothers are more likely to be awarded full or primary custody in most states according to divorce and custody experts. This means stepmothers are still likely to see their stepchildren exclusively on alternate weekends, holidays, and on vacations. Experts tell us it is harder to build a secure and happy relationship with a stepchild of any age in such "spurts." Stepdads, on the other hands, are likely to live with women who have custody of their children, facilitating daily interaction and a relationship that develops over time rather than in rushed weekends or potentially stressful holiday "visits."

In general, therapists and the rest of us should be aware that, when an accusation of "stepmonster" is leveled, something far more complicated (and common) than a "wicked stepmother" is almost always the root cause. We should also bear in mind that rather than being a question of having "good intentions and a good heart," a stepmother's success with her partner's kids usually hinges on factors (outlined above) beyond her control.
 
Umeona EMT, labda niwaulize kina Ablessed, Blue G na wamama wengine; say una watoto wawili mmoja ni wa mumeo mwingine wa kwako wamelala ndani, God forbid nyumba ikashika moto. Utaanza kumuokoa yupi?

Kumbuka hapo sio kunyanyasa wala kutesa. Sio lazima kujibu huku lkn search your hearts.

Mimi nina amini ingawa kuna visababishi vingi vya ubovu wa mahusiano Kati ya mama wa kambo na watoto, kujichunguza na kutojidanganya kwa wamama ni hatua ya msingi kabla ya kukubali kuwa mama wa kambo. Baada ya hapo ndio tuangalie baba mwenyewe (ingawa sio vizuri kumpunish mtoto kwa kosa la baba), na mtoto pia.
 
Last edited by a moderator:
its very easy,very easy in deed ukinipa mtoto wa Eiyer au EMT nilee nitalea bila shida!!
nitampeleka th best schools.best outings and best of everything na nitahakikisha cutees wangu wanampenda sawa.
unajua kwa nini?
bond yangu na yeye ni urafiki au ukaka wangu na baba yake
mtoto wa kambo hataweza kupata hiyo bahati unajua kwa nn?
bond yangu na yeye ni uasi na usaliti plus kuumizwa kwangu na baba yake
ndio maana ni rahis sana mtoto aliyezaliwa kabla ya ndoa na mama akamkuta mume ana huyo mtoto kuweza kulea kwausawa na watoto wake wa kuwazaa
unajua kwa nn?
bond kati yao ni uhakika na kuhitaji approval kuwa she is a good wife and a mother.

Kaunga i hope and i reaaaally hope sitatakiwa kulea kale kasibling!!
zaidi ya kuwa mke bora nahitaji pia ufalme wa Mungu,sitaki likawe kwazo maana sitauona kweli!!!
 
Nimekusoma .....!
 
Hapa tatizo kubwa linaanzia kwenye malezi

Tumelelewa ki selfish zaidi,tunalelewa kuwa "binadam" wa kwanza kiubora ni ndugu zako na wazazi wako,kisha wanafuata wale ndugu wengine wa kifamilia yaani shangazi,baba mdogo n.k,ukivuka hapo wanafuatia marafiki kisha watu wengine,ndio maana kuna mambo huwezi kumfanyia rafiki yako au ndugu yako kwanini ni kwasababu umeambiwa kuwa hao ndio wa kwanza kwa ubora,kumbuka jambo ambalo hutawafanyia hao utakuwa tayari kuwafanyia binadamu wengine

Linapokuja suala la hawa watoto ndipo athari hii inapoanza kuonekana,binadamu wa kwanza kwa mujibu wa malezi yetu ni watoto wako wewe,haijalishi umezaa na mume uliye nae au laa utawaangalia watoto wako kwanza

Marehemu Baba yangu yeye alikuwa tofauti sijui kwanini,yeye kama kuna jambo au kitu chema alikuwa anaanzia watoto ambao sio wake kisha anakuja kwetu hadi pale alipoondoka duniani [R.I.P]

Sijui alilelewa namna gani lakini malezi yetu ndiyo yamesababisha tatizo hili kwa kiwango kikubwa,lakini kitu kinachoniacha mdomo wazi leo na sijajua hasa ni kwanini ni kitendo cha mama kutokuwathamini watoto kwa sababu tu hajawazaa wakati huohuo yeye ni mzazi na anajua uchungu wa mtoto,nilidhani jambo hilo lingeweza kuyashinda malezi kutokana na uzito wake lakini imekuwa kinyume sana

Kitendo cha mama kumchukia mtoto wa kambo sijui ni wivu kwa mumewe au ni kitu gani maana akina mama hugeuka wanyama kwa hawa watoto

Labda huenda kuna siku tunaweza kujua sababu lakini hili ni janga kubwa...!!!!
 
201303-orig-father-son-600x411.jpg

547036_551578451582026_510058921_a.jpg

533208_535925463147325_619357494_a.jpg
 
its very easy,very easy in deed ukinipa mtoto wa Eiyer au EMT nilee nitalea bila shida!!
nitampeleka th best schools.best outings and best of everything na nitahakikisha cutees wangu wanampenda sawa.
unajua kwa nini?
bond yangu na yeye ni urafiki au ukaka wangu na baba yake
mtoto wa kambo hataweza kupata hiyo bahati unajua kwa nn?
bond yangu na yeye ni uasi na usaliti plus kuumizwa kwangu na baba yake
ndio maana ni rahis sana mtoto aliyezaliwa kabla ya ndoa na mama akamkuta mume ana huyo mtoto kuweza kulea kwausawa na watoto wake wa kuwazaa
unajua kwa nn?
bond kati yao ni uhakika na kuhitaji approval kuwa she is a good wife and a mother.

Kaunga i hope and i reaaaally hope sitatakiwa kulea kale kasibling!!
zaidi ya kuwa mke bora nahitaji pia ufalme wa Mungu,sitaki likawe kwazo maana sitauona kweli!!!

Dah! Nimekuelewa sana na kwa hilo nakuunga mkono kwenye huo uamuzi wa hako kasibling. Pole sana shemeji. Naweza ona jinsi ulivyoandika kwa hisia.
 
Last edited by a moderator:
dada Kaunga maelezo ya snowhite nayaunga mkono na ninaona ndivyo hali ilivyo,japo ukiangalia tena as you said kuwa sio fair kumpunish mtoto kwa kosa la baba.
Umeona EMT, labda niwaulize kina Ablessed, Blue G na wamama wengine; say una watoto wawili mmoja ni wa mumeo mwingine wa kwako wamelala ndani, God forbid nyumba ikashika moto. Utaanza kumuokoa yupi?

Kumbuka hapo sio kunyanyasa wala kutesa. Sio lazima kujibu huku lkn search your hearts.

Mimi nina amini ingawa kuna visababishi vingi vya ubovu wa mahusiano Kati ya mama wa kambo na watoto, kujichunguza na kutojidanganya kwa wamama ni hatua ya msingi kabla ya kukubali kuwa mama wa kambo. Baada ya hapo ndio tuangalie baba mwenyewe (ingawa sio vizuri kumpunish mtoto kwa kosa la baba), na mtoto pia.
 
Last edited by a moderator:
Dah! Nimekuelewa sana na kwa hilo nakuunga mkono kwenye huo uamuzi wa hako kasibling. Pole sana shemeji. Naweza ona jinsi ulivyoandika kwa hisia.
ahsante.
niruhusu nisipokee simu yako nicas
wacha nibaki snowhite for some time!
 
Hapa tatizo kubwa linaanzia kwenye malezi

Tumelelewa ki selfish zaidi,tunalelewa kuwa "binadam" wa kwanza kiubora ni ndugu zako na wazazi wako,kisha wanafuata wale ndugu wengine wa kifamilia yaani shangazi,baba mdogo n.k,ukivuka hapo wanafuatia marafiki kisha watu wengine,ndio maana kuna mambo huwezi kumfanyia rafiki yako au ndugu yako kwanini ni kwasababu umeambiwa kuwa hao ndio wa kwanza kwa ubora,kumbuka jambo ambalo hutawafanyia hao utakuwa tayari kuwafanyia binadamu wengine

Linapokuja suala la hawa watoto ndipo athari hii inapoanza kuonekana,binadamu wa kwanza kwa mujibu wa malezi yetu ni watoto wako wewe,haijalishi umezaa na mume uliye nae au laa utawaangalia watoto wako kwanza

Marehemu Baba yangu yeye alikuwa tofauti sijui kwanini,yeye kama kuna jambo au kitu chema alikuwa anaanzia watoto ambao sio wake kisha anakuja kwetu hadi pale alipoondoka duniani [R.I.P]

Sijui alilelewa namna gani lakini malezi yetu ndiyo yamesababisha tatizo hili kwa kiwango kikubwa,lakini kitu kinachoniacha mdomo wazi leo na sijajua hasa ni kwanini ni kitendo cha mama kutokuwathamini watoto kwa sababu tu hajawazaa wakati huohuo yeye ni mzazi na anajua uchungu wa mtoto,nilidhani jambo hilo lingeweza kuyashinda malezi kutokana na uzito wake lakini imekuwa kinyume sana

Kitendo cha mama kumchukia mtoto wa kambo sijui ni wivu kwa mumewe au ni kitu gani maana akina mama hugeuka wanyama kwa hawa watoto

Labda huenda kuna siku tunaweza kujua sababu lakini hili ni janga kubwa...!!!!

mnoooooh!
hebu tupasue vichwa tunaweza kupata ka doctrate!!
 
Kutesa ama kutotesa watoto ni function ya mambo mengi, malezi ya mwanamme/mwanamke, ushirikishwaji wa step parent kwenye mambo ya mtoto, confidence ya real parent juu ya maamuzi ya step parent kwa mtoto huyo, umri wa mtoto kuletwa katika maisha ya step parent n.k.

Nikimaliza kazi nitakuja kuelezea kila point.
 
farkhina anakuita kule
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom