Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,643
- 19,609
mbunge huyu ni mzigo sana, anajali uzanakini tu, HAJAFANYA KITU IJITANI KWA VIJIJI KAMA CHUMWI, MLANGI, LYASEMBE, BUTATA, BUKIMA,BWASI, CHIMATI,BUANGA,BULINGA
SISI HATUITAJI HELA TUNAITAJI MIPANGO YA KULETA MAENDELEO KAMA MIPANGO YA UMEME NA MAJI
HUYU MBUNGE NI MZIGO, NANYI WANANCHI MSIPENDE CHUMVI NA KANGHA...
Jamani, mlimchagua wenyewe kwa kura zenu tena kihalalia kabisa; sasa mnataka nini. Mlimchagua mkimjua fika, hiyo ikiwa ni mara ya tatu na mambo yote ni vivyo hivyo; kwa hiyo msilalamike kuwa hammjui, tatizo la wapiga kura ni njaa; wakipewa pesa kidogo siku ya kura wanasahau kila kitu. Kuna mbunge fulani aliwahi kusema wajita ukiwanunulia fulu na ndoo ya mapuya tu wakati wa uchaguzi basi kura zote wanakupa. Inawezekana naye anaijua siri hiyo, siku akifika na kumwaga mapuya, fulu, khanga, tisheti na kofia basi kura anazoa zote.