Kwetu ni Butiama: Naomba Kuuliza Swali Ndugu zangu.

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
834
0
Mimi ni Mkazi wa BUTIAMA Wilaya ya Musoma Vijijini naitwa PAUL MANZAKI, naomba Kuuliza Swali ila Wahusika Msiliondoe Swali langu. SWALI: Mbunge Wangu wa Jimbo la Musoma Vijijini (CCM) MH. NIMRODI MKONO Mnamwona huko Bungeni Dodoma au Kwenye TV zenu huko Mijini?... au Amefukuzwa Ubunge au Yupo Nje ya Nchi au Alifariki bila ya Wana-Musoma Kujulishwa?... Naomba Kujulishwa Japo Kifurushi changu (MB) Kimekwisha, ntaazima Laini ya Mjomba Kujua Majibu yenu Coz huku TV tunaziona Nyakati za Mazishi na Nyerere Day Ingawa mara nyingi huwa ni Cinema...
 
Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
225
Mimi ni Mkazi wa BUTIAMA Wilaya ya Musoma Vijijini naitwa PAUL MANZAKI, naomba Kuuliza Swali ila Wahusika Msiliondoe Swali langu. SWALI: Mbunge Wangu wa Jimbo la Musoma Vijijini (CCM) MH. IMRODI MKONO Mnamwona huko Bungeni Dodoma au Kwenye TV zenu huko Mijini?... au Amefukuzwa Ubunge au Yupo Nje ya Nchi au Alifariki bila ya Wana-Musoma Kujulishwa?... Naomba Kujulishwa Japo Kifurushi changu (MB) Kimekwisha, ntaazima Laini ya Mjomba Kujua Majibu yenu Coz huku TV tunaziona Nyakati za Mazishi na Nyerere Day Ingawa mara nyingi huwa ni Cinema...
Mkuu poleni. Anaitwa Nimrod sio Imrodi. Kifupi ni kwamba mbunye wenu Yuko hai na Ana Afya tele na bungeni anahudhuria na posho anasaini, kinachotakiwa ni nyinyi kufuatilia Kama pesa ya Mfuko wa Jimbo inafika jimboni mengine inabidi mtafakari upye 2015 muweke mbunge Kati yenu, bila Shaka mnamuona mbunge wangu wa Arusha mjini.
 
Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,532
2,000
Ndo chaguo lenu hilo, well ana law firm mjini inawezekana yuko busy na kesi za wadau!!!!!
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,520
2,000
Anapatikana mtaa wa Ufipa pale, saa hizi atakuwa ame log in kwa ID ya chama.
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,520
2,000
Kumbe ndiye yeye anayetumia ID hiyo? basi kumbe yupo hai mleta mada asiwe na wasiwasi
Au kama bwana mura anahamu naye sana, anaweza kwenda pale kinondoni kwenye jengo la biashara akaonana na bwana Kapuya basi shida zake zote za nyuma zitatatuliwa.
 
georgeallen

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
3,755
1,225
Mkuu poleni. Anaitwa Nimrod sio Imrodi. Kifupi ni kwamba mbunye wenu Yuko hai na Ana Afya tele na bungeni anahudhuria na posho anasaini, kinachotakiwa ni nyinyi kufuatilia Kama pesa ya Mfuko wa Jimbo inafika jimboni mengine inabidi mtafakari upye 2015 muweke mbunge Kati yenu, bila Shaka mnamuona mbunge wangu wa Arusha mjini.
Mbunye ndiyo nini tena?
 
Mhadzabe

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,890
2,000
Kumbe ww ni poti! Sisi huku kijijini Rwamkoma toka 2010 baada ya eleksheni tumamsikia kuwa anafika huko mjni Butiama mara butuguri etc ila huku kwetu hagusi yani.
 
Pachama

Senior Member
May 24, 2013
149
170
huyu ni mbunge wa jimbo la musoma vijijini ambako sasa kuna halmashauri mbili yani butiama na musoma vijijini yenyewe mbunge huyu aliwahi kutamka maneno kwa nyakati tofauti kwa baadha ya vijiji vya kata za jimbo lake hasa kijiji cha masurura kata ya bwiregi kwamba ikifika 2010 Kama hajawaletea umeme hatakwenda kuwaomba kura na ahadi nyingine kem kem ktk kata zingine baadae uchaguzi mkuu ulivyofika aliishia kununua mgombea mwenzake anaezulumiwa mtu anaejiita msemaji wake ambae ni mwandishi wa habari mkoani mara pengine huyu anaweza jua jamaa aliko
 
Mkira

JF-Expert Member
May 10, 2006
425
195

hakika aliyeuliza swali ninadhani anaishi DAR, Mbunge MKONO anapatikana jimboni kila mwishoni mwa wiki, Juzi alikuwa mgango katika harambee ya tarafa ya NYANJA mgeni rasmi alikuwa prof MUHONGO, acheni uchuro na uka...Kwa taarifa yako CHUO KIKUU CHA KILIMO UVUVI, na MIFUGO kiNaanza mwaka 2015 tarayo MKONO AMETUMIA BIL 12!Ubunge Si kupiga DOMO BUNGENI TU NI MATENDO, wewe huko BUTIAMA labda UKO KUZIMU!!!
 
musubati

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
217
195
Mbunge ambae alipita bila kupingwa, ahadi ya barabara toka makutano ya nyankanga hadi serengeti via kiagata hujatekeleza
Umeme hatuna kama maendeleo anapeleka zanaki na ujitani
 
chuki

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,705
1,500
Hivi hapa Tanzania ni Mbunge gani anaetumia pesa zake kwa maendeleo ya jimbo.
1. Kujenga Barbara kwa pesa zake.
2.Kujenga mashule kwa pesa zake mwenyewe.
3.Kujenga zahanati na vituo vya Afya kwa pesa zake mwenyewe.
5.Kuendesha shughuli zingine za jimbo kwa gharama zake
6.Kuandaa Mipango ya Wilaya,Ujenzi wa chuo kikuu cha Kilimo kwa gharama zake mwenyewe.
Nitajie wawili au mmoja kama sio Nimrod Mkono.
 
bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,674
2,000
Mimi ni Mkazi wa BUTIAMA Wilaya ya Musoma Vijijini naitwa PAUL MANZAKI, naomba Kuuliza Swali ila Wahusika Msiliondoe Swali langu. SWALI: Mbunge Wangu wa Jimbo la Musoma Vijijini (CCM) MH. NIMRODI MKONO Mnamwona huko Bungeni Dodoma au Kwenye TV zenu huko Mijini?... au Amefukuzwa Ubunge au Yupo Nje ya Nchi au Alifariki bila ya Wana-Musoma Kujulishwa?... Naomba Kujulishwa Japo Kifurushi changu (MB) Kimekwisha, ntaazima Laini ya Mjomba Kujua Majibu yenu Coz huku TV tunaziona Nyakati za Mazishi na Nyerere Day Ingawa mara nyingi huwa ni Cinema...

Swali kama la masihara lakini lina ujumbe mkali sana ambao kwa wenye kupuuzia tutaona ni wapuuzi hvyo hvyo.
 
KISHINDO

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
1,751
2,000
Nyie si mlichukua vitenge na chumvi na sukari???
Sasa mnalallamika nini wakati vitenge bado mnavyo, sukari na chumvi bado mnayo pia??
Ninachofahamu ni kwamba kwa sasa anatafuta pesa ili awanunulie malobota ya vitenge, maroli ya sukari na chumvi kila family ifikapo 2015. Kuweni na subira coz 2015 si mbali ukizingatia bado mna package ya kutosha aliyowapatia 2010
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
10,621
2,000
Hivi hapa Tanzania ni Mbunge gani anaetumia pesa zake kwa maendeleo ya jimbo.
1. Kujenga Barbara kwa pesa zake.
2.Kujenga mashule kwa pesa zake mwenyewe.
3.Kujenga zahanati na vituo vya Afya kwa pesa zake mwenyewe.
5.Kuendesha shughuli zingine za jimbo kwa gharama zake
6.Kuandaa Mipango ya Wilaya,Ujenzi wa chuo kikuu cha Kilimo kwa gharama zake mwenyewe.
Nitajie wawili au mmoja kama sio Nimrod Mkono.

Mohammed wa Singida!

Lakini kwani kazi ya mbunge ni kutumia pesa zake jimboni au ni kuwawakilisha watu wake bungeni.
 
Galamtogela

Senior Member
Aug 25, 2013
101
195
Mohammed wa Singida!

Lakini kwani kazi ya mbunge ni kutumia pesa zake jimboni au ni kuwawakilisha watu wake bungeni.

mtazamo wangu ni kwamba tuchague mtu katika nafasi ya ubunge anayejiweza kifedha kama ilivyo nchi za ulaya.sasa wewe unataka mbunge ambaye kazi yake ni kupiga domo bungeni wakati kwenye jimbo lake hali ngumu .hii inataka kufanana na yanayowakuta watu wa libya kumuuwa Gadafi kisa hawapi uhuru wa kujieleza wakati kila kitu wanapewa .
 
bnf

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
218
195
mbunge huyu ni mzigo sana, anajali uzanakini tu, HAJAFANYA KITU IJITANI KWA VIJIJI KAMA CHUMWI, MLANGI, LYASEMBE, BUTATA, BUKIMA,BWASI, CHIMATI,BUANGA,BULINGA

SISI HATUITAJI HELA TUNAITAJI MIPANGO YA KULETA MAENDELEO KAMA MIPANGO YA UMEME NA MAJI

HUYU MBUNGE NI MZIGO, NANYI WANANCHI MSIPENDE CHUMVI NA KANGHA...
 
Balozi wa Dodoma

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
477
225
M BUNGE WENU ANASHINDA DAR ES SALAAM,NA ANAONEKANA KTK VIUNGA VYA JIJI MARA KWA MARA

SKUIZI AME INVEST KILA KITU CHAKE KTK KAMPUNI YKE INAYO FAHAMIKA KM

"Mkono & Co. Advocates"

ya jijini Dar es Salaam, amekuwa mshauri wa kisheria na wakili wa TANESCO.

Huku ana skendo ya kuiibia serikari sh. Bilioni 18.

Njooni Dar, Mumtafute Generali Robert Mboma,yule wa TANESCO atawasaidia kuwaelekeza M bunge wenu alipo huko atakuja uchaguzi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom