Kwetu ni Butiama: Naomba Kuuliza Swali Ndugu zangu.

mbunge huyu ni mzigo sana, anajali uzanakini tu, HAJAFANYA KITU IJITANI KWA VIJIJI KAMA CHUMWI, MLANGI, LYASEMBE, BUTATA, BUKIMA,BWASI, CHIMATI,BUANGA,BULINGA

SISI HATUITAJI HELA TUNAITAJI MIPANGO YA KULETA MAENDELEO KAMA MIPANGO YA UMEME NA MAJI

HUYU MBUNGE NI MZIGO, NANYI WANANCHI MSIPENDE CHUMVI NA KANGHA...

Jamani, mlimchagua wenyewe kwa kura zenu tena kihalalia kabisa; sasa mnataka nini. Mlimchagua mkimjua fika, hiyo ikiwa ni mara ya tatu na mambo yote ni vivyo hivyo; kwa hiyo msilalamike kuwa hammjui, tatizo la wapiga kura ni njaa; wakipewa pesa kidogo siku ya kura wanasahau kila kitu. Kuna mbunge fulani aliwahi kusema wajita ukiwanunulia fulu na ndoo ya mapuya tu wakati wa uchaguzi basi kura zote wanakupa. Inawezekana naye anaijua siri hiyo, siku akifika na kumwaga mapuya, fulu, khanga, tisheti na kofia basi kura anazoa zote.
 
Mkuu poleni. Anaitwa Nimrod sio Imrodi. Kifupi ni kwamba mbunye wenu Yuko hai na Ana Afya tele na bungeni anahudhuria na posho anasaini, kinachotakiwa ni nyinyi kufuatilia Kama pesa ya Mfuko wa Jimbo inafika jimboni mengine inabidi mtafakari upye 2015 muweke mbunge Kati yenu, bila Shaka mnamuona mbunge wangu wa Arusha mjini.
mbunyeee...aha ha ha happy christmas
 
Jamani, mlimchagua wenyewe kwa kura zenu tena kihalalia kabisa; sasa mnataka nini. Mlimchagua mkimjua fika, hiyo ikiwa ni mara ya tatu na mambo yote ni vivyo hivyo; kwa hiyo msilalamike kuwa hammjui, tatizo la wapiga kura ni njaa; wakipewa pesa kidogo siku ya kura wanasahau kila kitu. Kuna mbunge fulani aliwahi kusema wajita ukiwanunulia fulu na ndoo ya mapuya tu wakati wa uchaguzi basi kura zote wanakupa. Inawezekana naye anaijua siri hiyo, siku akifika na kumwaga mapuya, fulu, khanga, tisheti na kofia basi kura anazoa zote.

Mkono hana mpinzani hakuna chama kilisimamisha mgombea ndio maana akashinda tena
 
Swali kama la masihara lakini lina ujumbe mkali sana ambao kwa wenye kupuuzia tutaona ni wapuuzi hvyo hvyo.
Tena ni mpuuzi kuliko wapuuzi mh nkono kila mwezi yuo jimboni na kama yeye hajamuona jimboni sio tatizo la mh nkono ni tatizo lake kwani mh halazimiki kiripoti kwake akiwa jinboni.lakini kama anataka kujua ukweli huu aende kwa katibu wa mbunge nkono au katibu wa ccm wilaya au mwenyekiti wa ccm wilaya atajua yote ya mh nkono anayo yafanya jimboni.
 
jombaa mie mwana mara tena murah halisi tangu nipate uelewa na uongozi mkoani mara cjawah kuona mbunge anaejituma kama NIMROD MKONO ebu angalia zahanati alizojenga wilayani na kuzikadhi kwa serikali shule ya kisasa zaid OSWALD MANG'OMBE na chief ihunyo na kukabithi kwa serikali ndugu we umekoxea xana au unataka kuanza kumsafixhia ndugu yako njia nn kuwa wazi sio kumsingizia Mkono na kamwe musoma vijijini hato simama mbunge mwingine may be mkono aamue kuachia ngaz kwa hiari kwa anavyokubalika ndugu TENGUA KAULI YAKO.
 
nyie watu wa butiama hata afufuke chief wanzagi hamtakaa mje muwe na maendeleo.
 
mbunge huyu ni mzigo sana, anajali uzanakini tu, HAJAFANYA KITU IJITANI KWA VIJIJI KAMA CHUMWI, MLANGI, LYASEMBE, BUTATA, BUKIMA,BWASI, CHIMATI,BUANGA,BULINGA

SISI HATUITAJI HELA TUNAITAJI MIPANGO YA KULETA MAENDELEO KAMA MIPANGO YA UMEME NA MAJI

HUYU MBUNGE NI MZIGO, NANYI WANANCHI MSIPENDE CHUMVI NA KANGHA...
Mara ya mwisho ulifika kwenu lini? Mulangi amesaidia ujenzi kituo cha afya cha kisasa kabisa. Lyasembe kajenga madarasa mengi ya kisasa. Vijiji vyote ulivyotaja kajenga miradi. Mkono awafanyie nini? Mbunge gani musoma vijijini tangu uhuru kafanya ya maana kumzidi mkono? Acheni chuki.
 
Hebu jiulize mwalimu angekuwepo angetafsiri vipi mtu kutumia nguvu ya pesa ili kutaka achaguliwe? tunataka mbunge wa kuwajibisha serikali na si kutumia pesa zake kwani kama anataka kutoa hela zake lazima awe mbunge? si anaweza kuzitoa kama yule muhindi wa CCM?

Huyu anagombea ili kulinda maslahi yake au kuongeza CV yake kwa ajili ya kutanua soko lake la uwakili kimataifa na serikalini kwetu ila sio kuwakilisha wananchi bungeni

ingekuwa tunachagua watu kwa kuwa wana hela ingekuwa ngumu kumpata mtu kama mwalimu aliyekuwa maskini.
 
tunachotaka ni maendeleo jimboni je kafanya nini kuwakilxha na kulmbikiza pexa kama mbunge wa bunda mh.wasira kuna faida gan? bunda hakuna maendeleo pale bora musoma vijijini
 
Hivi hapa Tanzania ni Mbunge gani anaetumia pesa zake kwa maendeleo ya jimbo.
1. Kujenga Barbara kwa pesa zake.
2.Kujenga mashule kwa pesa zake mwenyewe.
3.Kujenga zahanati na vituo vya Afya kwa pesa zake mwenyewe.
5.Kuendesha shughuli zingine za jimbo kwa gharama zake
6.Kuandaa Mipango ya Wilaya,Ujenzi wa chuo kikuu cha Kilimo kwa gharama zake mwenyewe.
Nitajie wawili au mmoja kama sio Nimrod Mkono.

Nimiongoni mwa MAFISADI WA BOT kesi huwa haziishi kwa uhakika zaidi ulizia kilichowakuta TANESCO au Gen. Mboma atakujibu. Ndo wahusika wakuu wa EPA, KAGODA na makampuni mengi yaliyokwapua pesa zetu mwaka 2005
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom