Kwenye swala la mapenzi wanaume hawana mzaha...!

Halafu wanakuja kupanga mtaa wako ule ule mkuu..

Umeona sasa.......kuna mmoja nilimbwaga kama 2006 hivi tena kipindi hicho niko barubaru. Kulipiza akachukuliwa na mshikaji mmoja nyumba jirani, nikakausha akaona haitoshi akasubiria siku niko nje akapita karibu na kuingia kwa jamaa.

Akaona na hiyo haijasaidia...........akasubiria siku nyingine nipo nje akajifanya kuiniita eti ananisalimu, aliposogea karibu nikampa kofi la uhakika na hakurudia . Kifupi kwa papara za kunikomoa akajazwa mimba, na mshikaji wake akahama mtaa!
 
Mkuu Mtambuzi ,Nachelea kusema kuwa unajaribu kupotosha ama kwa makusudi ama kutojua.
Nani asiye jua kuwa haya Mambo ya sie kuwa Miliki Wanawake ni ya tokea kale, hata kwenye Vitabu vya dini yapo haya.
Reffer Gen. 2:22; Moses 3:22; Abr. 5:16

This shows that God intended for Eve to be lower than than Adam Na hii ndo in reflect situation ya Sasa

bora mmekuja huku manake pacha wangu alishaelemewa!
 
Mapenzi hayana jinsia. Yeyote anaweza kutokuwa na mzaha ni kutegemea na anavyoyachukulia hayo mapenzi ingawa si wote wanaume kwa wanawake wako serious.
 
Umeona sasa.......kuna mmoja nilimbwaga kama 2006 hivi tena kipindi hicho niko barubaru. Kulipiza akachukuliwa na mshikaji mmoja nyumba jirani, nikakausha akaona haitoshi akasubiria siku niko nje akapita karibu na kuingia kwa jamaa.

Akaona na hiyo haijasaidia...........akasubiria siku nyingine nipo nje akajifanya kuiniita eti ananisalimu, aliposogea karibu nikampa kofi la uhakika na hakurudia . Kifupi kwa papara za kunikomoa akajazwa mimba, na mshikaji wake akahama mtaa!

Mimi kuna mmoja huyo baada ya kutosana akajifanya ndio mteja mzuri wa viatu dukani kwetu..yaani wanakuja na jamaa lake na kuanza kuchagua miviatu huku kwa nyodo anajifanya kuuliza bei gani..nikimtajia anasema mbona sio ghali au umekosea bei?...Nilimkata jicho mbele ya mtu wake na nikampiga stop kwamba sitaki hela yao tena...Wanakera sana hawa viumbe ukiwapa nafasi!!
 
Hehehe! Saa hiyo unamuona ni full vicheko! Na foleni za mjini kwa unafiki, hakuna diversion unamu-observe nusu saa nzima utasema kakubaliana na trafic! Hahaha, napenda mie!
Yaani wanaume wanapashwa kujua hawawezi ligi na wanawake, period! Sie tunayategemea maumivu, so yakija hatuumii sana. Nyie hamtegemei, so yakija hukawii kuzimia!

ahahahahaha sipati picha na hizi foleni za mujini halafu X kapiga bonge ya mini jamaa najifanya kukosea gear anashika upaja,x wa kiume anatamanije kurusha ngumi!anacheki tu kwa pembeni na kubaki kumtusi trafiki wa watu kwa kutoruhusu magari ya upande wake!
 
...Mwanaume anayefanya hivi ni lazima awe na matatizo ya kiakili. Njemba imeshaingia kwenye maeneo yako ya kujidai halafu tena ushirikiane na njemba huyo ili kumuadhibu mkeo!!! Makubwa haya!!!

639-02032838w.jpg

Kuna uwezekano mkubwa wa mke huyo kusulubiwa kwa sababu amemfumania mume na wakati mwingine hata huyo mgoni anaweza kushirikiana na mume huyu kumuadhibu huyo mwanamke aliyefumania.
 
Last edited by a moderator:
Nahsi tumepoteza mwelekeo wa mada pacha wangu snowhite na hata Mtambuzi akija atashangaa tulivyodivert from the topic. Mada inasema 'KWENYE SUALA LA MAPENZI WANAUME HAWANA MZAHA'..Na anachojaribu kusema Mtambuzi ni kuwa sisi wanaume tunajitolea sana kwenye mapenzi na saa zingine tunaweza hata kuua ili kulinda mapenzi yetu..sasa badala tupongezwe kwa kuwa na uchungu na wapenzi wetu naona kama sasa manatupiga vijembe...lol

Hebu rudieni kusoma upya mada ili mjadala uende vizuri na tuweke kumbukumbu sahihi...

Mkuu SnowBall hawajapotosha mada, bali wanapanua wigo wa mada husika, wanachofanya hapa ni kusimulia vibweka vya huyu kiumbe mwanaume katika swala zima la mapenzi......
 
Last edited by a moderator:
Hawawezi kupata raha manake wao wana-rest in pieces, lol!
Afu wakati anakutenda unambembeleza anaona rahaaa kukukatili! Yaani anakugeuza msukule, anakuumiza unaishia kuomba msamaha wewe na anakudengulia! Ngoja usepe sasa,lol!
wanataka kila akikutana nawe upo kama zombie.............. then anajua huwezi ishi bila yeye, lol!
 
Mimi kuna mmoja huyo baada ya kutosana akajifanya ndio mteja mzuri wa viatu dukani kwetu..yaani wanakuja na jamaa lake na kuanza kuchagua miviatu huku kwa nyodo anajifanya kuuliza bei gani..nikimtajia anasema mbona sio ghali au umekosea bei?...Nilimkata jicho mbele ya mtu wake na nikampiga stop kwamba sitaki hela yao tena...Wanakera sana hawa viumbe ukiwapa nafasi!!
mimi na hili guu la bia ndo ningetaka univalishe kabisa hicho kiatu halafy nalalamika hakinitoshi kwa jama halafu kwa sauti ya kudekaaaaaaaaaaaaaaaa!ahahahhahahhah pana chezeya mwanamuke aliueumizwa akapata anayejua thamani yake halafu akakkukuta upo kwenye position ya kukulipia kisai lazima udate!
 
sio mambo ya kucheka haya.

Nilitetemeka mwili mzima nikarowa jasho, afu tulikuwa wawili kwenye gari, mwenzangu hakujua nimepatwa na masahibu gani.

Nikamwomba apaki pembeni kwa muda.

Akyanani mie sipendi hizi ligi.

Hehehe! Saa hiyo unamuona ni full vicheko! Na foleni za mjini kwa unafiki, hakuna diversion unamu-observe nusu saa nzima utasema kakubaliana na trafic! Hahaha, napenda mie!
Yaani wanaume wanapashwa kujua hawawezi ligi na wanawake, period! Sie tunayategemea maumivu, so yakija hatuumii sana. Nyie hamtegemei, so yakija hukawii kuzimia!
 
Can you say that again my pacha?..why?
N:B Nje ya mada kwa wale wapenzi wenzangu wa looserfools (Liverpool) tunaongoza goli tano kwa moja dhidi ya Norwich!

kaka SnowBall liver tumemaliza scorline ni tano kwa mbili za norwich.
 
Last edited by a moderator:
wanataka kila akikutana nawe upo kama zombie.............. then anajua huwezi ishi bila yeye, lol!
umeona enh!anabaki kijitapa kwa rafiki zake!akha babu watutue tutulike !wao wakisema cha nini leo kuna wanaowaza watakipata lini!na wakikipata ndoa hapo maumivu yanapoenda pande zao sasa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom