Kwenye swala la mapenzi wanaume hawana mzaha...!

yaani kama wewe snowhite uwe X wangu
niko radhi nilie pale uwanja wa taifa hadi unionjeshe tena lol

Aisee, nitafanya chochote hadi ukubali, chezeiya mwanamme analilia chake cha zamani wewe.
na haya mautamu,na hivi nikijua ulikuwa unakole ila tu ubazazi wako ndo ulikufanya uondoke!ah nakupotezea ulie hata ufe
chezeya mwanamuke ajijue wa ukweli af umletee gu zengwe lako umuache af urudi tena kumuomba uone jeuri yake!
 
Mbona mwapita njia tu....mje kutoa maoni yenu

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

wenzako wanatiririka,
nawe changia utuelimishe zaidi,
wengine mtambuzi katukamata pabaya ndomana kimyaaaa hatuna la kuongea.
Nimeguswa mwanzo mwisho,
lol kweli mapenzi ni noma.
 
Kwa hiyo mnachopinga ni nini?..kwamba mwanaume hana moral authority kuclaim penzi la mtu wake kwa gharama kubwa?..au? Hebu angalieni jamani gharama anazoingia mwanaume tangu harusi hadi maisha ya kawaida,mashoping kila kukicha, mitoko isiyopimika bado kwenye 6*6..Yaani kwa msingi huu anakosaje guts za kufia penzi la mtu wake??..

Tena baada ya kutoka kwenye mihangaiko yoote wanataka bao kama 4 za uhakika wakati walipokuwa boarding walikuwa wanatipika mamidoli kwenye..................Unaona kazi hiyo!

Na si kwamba tunawaonea wivu mnapokuwa na wenzi wapya........ni vile tu kwamba tuliwekeza kwenu halafu unaturingishia barabarani, Kuhifadhi heshima ya kiume unakula nakozi
 
kama lilikuwa la gharama ilikuwaje mnatuachia tunachomoka,yani mpka mwanaume mwingine anipende we ndo unaona thamani ya penzi langu na kuamua kuclaim it back!?
halafu pacha hamjui tu!nyie mnahisi huwa mnaumia lakini sisi kwetu ni ngumu kuliko unavoweza kufikiri,yani mwanamke anapojua anaibiwa au akikuta anaibiwa maumivu yetu ni makali zaidi maana sisi hatuna pa kusemea tunabaki kugugumia ndani na kuamua kufanya bira yaishe!na ndoa au mahusiano yanaendelea!bora nyie mnaweza kupigania penzi lenu hata ikibidi kuua,kwa mwanamke hali ni ngumu kwa kweli!
 
Tena baada ya kutoka kwenye mihangaiko yoote wanataka bao kama 4 za uhakika wakati walipokuwa boarding walikuwa wanatipika mamidoli kwenye..................Unaona kazi hiyo!

Na si kwamba tunawaonea wivu mnapokuwa na wenzi wapya........ni vile tu kwamba tuliwekeza kwenu halafu unaturingishia barabarani, Kuhifadhi heshima ya kiume unakula nakozi
wakati we unapiga hizo goli nne mwanamke anakuwa anafua ehn?
leo hapa muutwange mbichi au muuanike lazima mtupe sababu kuntu za kuwa hivi mlivyo!
 
hata wanawake mwaweza changia,
wengine tumekamatwa pabaya ndomana kimyaaaa hatuna la kuongea.
peri changia bana ,tuwambie swala la kitenzi kimilikishi linatokea wapi?
 
Last edited by a moderator:
Tena baada ya kutoka kwenye mihangaiko yoote wanataka bao kama 4 za uhakika wakati walipokuwa boarding walikuwa wanatipika mamidoli kwenye..................Unaona kazi hiyo!

Na si kwamba tunawaonea wivu mnapokuwa na wenzi wapya........ni vile tu kwamba tuliwekeza kwenu halafu unaturingishia barabarani, Kuhifadhi heshima ya kiume unakula nakozi

Halafu wanakuja kupanga mtaa wako ule ule mkuu..
 
wakati we unapiga hizo goli nne mwanamke anakuwa anafua ehn?
leo hapa muutwange mbichi au muuanike lazima mtupe sababu kuntu za kuwa hivi mlivyo!

Alikuwa anatega kusubiria tudondoshe protini zetu...........Kuna watu wanakula vidonge ili wapate protini wewe unapata kilo 50 kwa mwezi halafu unaringa!!?
 
Hehehe! Saa hiyo unamuona ni full vicheko! Na foleni za mjini kwa unafiki, hakuna diversion unamu-observe nusu saa nzima utasema kakubaliana na trafic! Hahaha, napenda mie!
Yaani wanaume wanapashwa kujua hawawezi ligi na wanawake, period! Sie tunayategemea maumivu, so yakija hatuumii sana. Nyie hamtegemei, so yakija hukawii kuzimia!
kuna siku nilimkuta X kapandishwa kwenye V8, niliumwa mwezi mzima.

Inauma wewe, inauma sana.
 
Alikuwa anatega kusubiria tudondoshe protini zetu...........Kuna watu wanakula vidonge ili wapate protini wewe unapata kilo 50 kwa mwezi halafu unaringa!!?

mtasema yote leo hapa na mi wala siwaachi!kwa hiyo sababu zinazopelekea wanaume kuwa na kitenzi kimilikishi kwa wanawake zao kwenye na baada ya mahusiano ni
1.gharama mnazoingia juu yetu
2.maprotini mliyotuwekea
3.mautamu mliyokuwa mnapata
4..........endelea
 
....yani mwanamke anapojua anaibiwa au akikuta anaibiwa maumivu yetu ni makali zaidi maana sisi hatuna pa kusemea tunabaki kugugumia ndani na kuamua kufanya bira yaishe!na ndoa au mahusiano yanaendelea!bora nyie mnaweza kupigania penzi lenu hata ikibidi kuua,kwa mwanamke hali ni ngumu kwa kweli!

Can you say that again my pacha?..why?
N:B Nje ya mada kwa wale wapenzi wenzangu wa looserfools (Liverpool) tunaongoza goli tano kwa moja dhidi ya Norwich!
 
Mkuu Mtambuzi ,Nachelea kusema kuwa unajaribu kupotosha ama kwa makusudi ama kutojua.
Nani asiye jua kuwa haya Mambo ya sie kuwa Miliki Wanawake ni ya tokea kale, hata kwenye Vitabu vya dini yapo haya.
Reffer Gen. 2:22; Moses 3:22; Abr. 5:16

I love the story of Adam and Eve because within it there are SO many eternal truths about the role and purpose of women and interactions between the men and women. Yet, it saddens me that this beautiful story has also been the justification for so much of history's oppression and discrimination against women. One part of the story that some people have traditionally used to justify giving women a subservient and oppressive role in society is that fact that God made Eve from Adam's rib
This shows that God intended for Eve to be lower than than Adam Na hii ndo in reflect situation ya Sasa
 
Last edited by a moderator:
peri changia bana ,tuwambie swala la kitenzi kimilikishi linatokea wapi?

inauma sana unapoona x mambo yamenyookea.
Mi siku aliponipigia simu anaolewa nilitamani kufa,
mbaya zaidi alipojifungua tu mtoto wa kwanza mumewake *jamaa aliyeninyanganya tonge langu* kanijulisha kuwa wamepata mtoto wa kiume.
Sijui walipanga ili kuniumiza?
Ila ndo maisha, siku zinasonga.
 
Last edited by a moderator:
Hawawezi kupata raha manake wao wana-rest in pieces, lol!
Afu wakati anakutenda unambembeleza anaona rahaaa kukukatili! Yaani anakugeuza msukule, anakuumiza unaishia kuomba msamaha wewe na anakudengulia! Ngoja usepe sasa,lol!
hawa jamaa siwaelewi. mbona sisi wakitumwaga tunawaacha wa-rest in peace? kwa nini wao hawataki tupate raha kwa waliotuthamini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom