SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,846
baelezee! SnowBall, sema hivi: hatupendi kuona ex akiwa na furaha. Afu wanawake wajanja, akiachwa ndo anapendeza balaa. Hehehe, mnalooo
neno hilooooo.....SnowBall upoooooo? Na hiimiwaendee wanaume woooote wasiojua majukumu yao kwa wanawake.......Na iwaendee wooooote wanaodhani wanawake ni vyombo si binadamu.......Na iwaendee wooooote wanaopenda hatimiliki burebure bila jasho.......
Mnachekesha kweli watoto wa kike nyie King'asti na BADILI TABIA ..
Sasa kama mwanamke ulimpenda mumeo halaf wewe sio kisa cha kuachana kwenu kwa nini upendeze baada ya kuachwa? au unakuwa unafanya ya kufanya ili upate sababu??..Inavyoonekana wanawake wengi wanapenda kuwa free..marriage to them is like 'baptism' kwamba na mimi niliolewa!!..
Ila i support you kwa wale wasiojua mapenzi kwa wanawake bora kuachana nao kuliko kuwafanya vyombo vya starehe..But for me narudia once you are my girl you'll remain to be so ever and ever..tutaachana kimwili but kiroho nitabaki na kovu lako..na ndio maana sina msururu wa 'left overs'!!!
Last edited by a moderator: