Wote wapo vizuri, Sasa hakimu atawaogopaje wanasheria wenzie boss,Wana jf Naomba mnisaidie Kati ya hawa manguli kibatala na Lissu na mkali zaidi ambae hashindwi kesi kirahisi na ambae anaogopeka Sana na mawakili na mahakimu.
Huu ndo kama ule utoto wa kulinganisha Maradona na Pele kujua nani zaidi.Wana jf Naomba mnisaidie Kati ya hawa manguli kibatala na Lissu na mkali zaidi ambae hashindwi kesi kirahisi na ambae anaogopeka Sana na mawakili na mahakimu.
Sidhani kama watakuelewaWeka case zao
Lissu is another levelWana jf Naomba mnisaidie Kati ya hawa manguli kibatala na Lissu na mkali zaidi ambae hashindwi kesi kirahisi na ambae anaogopeka Sana na mawakili na mahakimu.
Kama umeona sijajibu, basi tatizo sio langu....Hujajibu swali mkuu
Mnatumia kigezo kipi kupima ubora wa mwanasheria?Hili swali ungemuuliza hata viongozi wakuu wastaafu wala wasingepepesa macho. Anajulikana. Kibatala ni number mbili. Kisha akina mtobesya, fatma, mayalla etc
Wanasheria hawapimwi hivyo......Wana jf Naomba mnisaidie Kati ya hawa manguli kibatala na Lissu na mkali zaidi ambae hashindwi kesi kirahisi na ambae anaogopeka Sana na mawakili na mahakimu.
Wote ni mawakili bora kabisa kuwahi kutokea Tanganyika.Wana jf Naomba mnisaidie Kati ya hawa manguli kibatala na Lissu na mkali zaidi ambae hashindwi kesi kirahisi na ambae anaogopeka Sana na mawakili na mahakimu.
nenda makataba ya mahakama ukapitie kesi walizosimamia. ndipo utajua wala usikaze misuli kubishana humuMnatumia kigezo kipi kupima ubora wa mwanasheria?
Mtikila alikuwa wakili wa mahakama ipi?Mtikila was finest ilikuwa ni raha kumsikiliza na yule bwana wa nccr mageuzi Rip
Niliwahi kumuuliza wakili msomi mmoja swali hili...Majibu yake ni kwamba kwa ujuzi wake wote ni wazuri ila kibatala yeye anamuona mzuri zaidi kwa sababu ameshinda kesi za prosecution kuliko lisu ambaye ameshinda kesi nyingi za defence hivyo yeye anaona kesi za prosecution ni ngumu zaidi hivyo anampendekeza kibatala.Wana jf Naomba mnisaidie Kati ya hawa manguli kibatala na Lissu na mkali zaidi ambae hashindwi kesi kirahisi na ambae anaogopeka Sana na mawakili na mahakimu.
MallyaHili swali ungemuuliza hata viongozi wakuu wastaafu wala wasingepepesa macho. Anajulikana. Kibatala ni number mbili. Kisha akina mtobesya, fatma, mayalla etc