Kwenye medani za Sheria Nani mkali Kati ya Lissu na Kibatala?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
9,017
2,000
WanaJF Naomba mnisaidie Kati ya hawa manguli kibatala na Lissu na mkali zaidi ambae hashindwi kesi kirahisi na ambae anaogopeka sana na mawakili na mahakimu.
 
Black belts

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
1,859
2,000
Wana jf Naomba mnisaidie Kati ya hawa manguli kibatala na Lissu na mkali zaidi ambae hashindwi kesi kirahisi na ambae anaogopeka Sana na mawakili na mahakimu.
Wote wapo vizuri, Sasa hakimu atawaogopaje wanasheria wenzie boss,

Kibatala anaenda kuwa Bora zaidi,
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
7,687
2,000
Hili swali ungemuuliza hata viongozi wakuu wastaafu wala wasingepepesa macho. Anajulikana. Kibatala ni number mbili. Kisha akina mtobesya, fatma, mayalla etc
 
ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
12,367
2,000
Wana jf Naomba mnisaidie Kati ya hawa manguli kibatala na Lissu na mkali zaidi ambae hashindwi kesi kirahisi na ambae anaogopeka Sana na mawakili na mahakimu.
Wanasheria hawapimwi hivyo......
lakini Lissu ni good researcher na ni good orator pia ana cod of honour hivi ndivyo vitu vinavyomuongezea advantage kuwa mwanasheria mzuri
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
42,085
2,000
Wana jf Naomba mnisaidie Kati ya hawa manguli kibatala na Lissu na mkali zaidi ambae hashindwi kesi kirahisi na ambae anaogopeka Sana na mawakili na mahakimu.
Wote ni mawakili bora kabisa kuwahi kutokea Tanganyika.

Kibatala ni Junior kwa Lisu hata yeye mwenyewe ukimuuliza swali hili hawezi kupenda ulichouliza.

Ni ngumu kupata jibu la moja kwa moja kati ya Mesi na Christian Ronaldo nani zaidi.

Kuna wajinga walifikia hata hatuwa kutaka kumfananisha marehemu Magufuli na Hayati Baba wa Taifa.
 
Master Arcade

Senior Member
Apr 21, 2021
177
250
Wana jf Naomba mnisaidie Kati ya hawa manguli kibatala na Lissu na mkali zaidi ambae hashindwi kesi kirahisi na ambae anaogopeka Sana na mawakili na mahakimu.
Niliwahi kumuuliza wakili msomi mmoja swali hili...Majibu yake ni kwamba kwa ujuzi wake wote ni wazuri ila kibatala yeye anamuona mzuri zaidi kwa sababu ameshinda kesi za prosecution kuliko lisu ambaye ameshinda kesi nyingi za defence hivyo yeye anaona kesi za prosecution ni ngumu zaidi hivyo anampendekeza kibatala.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom