kwenye mapenzi hii imo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwenye mapenzi hii imo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jamiif, Sep 19, 2012.

 1. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  hivi nimekutana na hii kesi kuwa: kuna dada mmoja ni mke wa mtu, sasa akatokea kumpenda mwanaume mwingine (huku ana ndoa yake hapo) ila akamwambia huyo mwanaume kuwa amempenda sana japo anajua kabisa hawawezi kufika popote kwa kuwa yeye ni mke wa mtu, na huyo jamaa hajaoa bado. Cha kushangaza ni kuwa dada anamwambia huyo mwanaume kuwa eti ame-improve sana katika kumpa mumewe chakula cha usiku kwa kuwa wakati akiwa katika tendo hilo huwa anamuwaza huyo mwanaume wa nje na kuona kama ndiye anaye do naye. Hiyo imesababisha mumewe kuzidisha mapenzi kwake kwa kuwa anaridhishwa sana na uwajibikaji wa huyo mkewe wakati wa ku do...ndugu zangu hii imekaaje: ebu tujadili.
  Nawasilisha wakuu.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  napita..... ngoja waje walengwa,...maake_duuuuh.
   
 3. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Sasa anataka kumzawadia huyo kijana kwakumboreshea nyumba au tumpe hongera kwakua anawajibika kwenye sita kwa sita? mwambie awache utoto atulie na mumewe na ajiheshimu ............
   
 4. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  ni kweli nami nangoja wajuzi wa mambo watujuze maana hii kali....!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  Mmmh, hii taasisi mbona inachoshwa hivyo??

  Hivi nashawishiwa kuamini hakuna wake za watu walotulia???
  Ila kuna mmoja naye hapa, ananshangaza na vioja vyake na kaolewa.

  Nadhani inabidi tuongelee za mazuri kuwapa moyo akina baba kuwa hawachakachuliwi kiasi hiki.
   
 6. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  dada haeleweki mi imenisikitisha sana kwa kweli...
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  harufu ya mabwepande inanukia, mtu ataliwa mtandao sasa hivi ohoo!
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmmh...
   
 9. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  umeona ee...unaweza kufikiri mai waifu wako anajituma unaenjoy mwenyewe kumbe upo kivuli tu pale, njemba nyingine ndio inatawala show!
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Sasa kuna tabu gani? Mbona na nyie kutwa mnaangalia mipododo humu halafu mnarudi home kwa sony wega zenu na vitambi. Mkiangalia vitambi vyetu mnavuta picha ya flat tummy, gwaride linasonga! Jinsi ambavyo kila mwanaume anatongoza, mie hata sishangai na wake zenu nao wakitongozeka!
  Ngachoka!
   
 11. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Je tupo wangapi???? .........
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hizi ndoa za siku hizi hizi!!
   
 13. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Ni bora kuziepuka.....lo!
   
 14. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hapana mkuu. dawa ni si kuziepuka bali dawa ni kuwa mwaminifu na commited kwenye ndoa yako.
   
 15. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Unakuwa mwaminifu na commited_kumbe mwenzako anakuvutia hisia.....this is too much mkuu
   
 16. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  well said mkuu maana hali si hali siku hizi..
   
 17. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  sasa sijui mtu utajuaje kama mwenzako hana hisia na wewe anakuridhisha kupitia hisia zake kwa mtu mwingine? hii ni hatari!
   
 18. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  wajuzi wa mambo tunawasubiri jamani tupate busara yenu...
   
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa maana tuna vunjwa moyo kila kukicha!

   
 20. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  sijui itakuwaje maana taasisi hii inaharibikiwa kila kukicha!
   
Loading...