kwenye mapenzi hii imo?

mhm...interesting. mie ningekuwa huyo jamaa ambaye single ningemwambia demu kitu kimoja tuu. imagination is a poor substitute for reality!!!
 
kwa walio kwenye ndoa zenye upendo na furaha na amani ana UAMINIFU, ni kuendelea kumuomba Mungu ili kila mmoja wenu afurahie maisha hayo huku mkiendelea kujitunza kwa ajili ya kila mmoja...ibada ni muhimu wakuu!!!
 
hizo nitamaa tu za huyo dada hakuna kupenda wala nini hayo mapenz amuoneshe mumewe nahuyo kijana atahadhali mana mke wamtu ni sunu
 
...sasa huyo bidada akifanya tu ujinga wa kuachana na mume wake ndiyo ataona kama kijana atampa mapokezi au vipi...wanasemaga, mke wa mtu mtamu akiwa kwa mume wake sio akitimuliwa.
aache mambo ya kipuuzi huyo mke wa mtu ATULIZANE hebo!
 
mwambie atulie kwa mumewe, aache mzaa! alopoamua kuolewa naye hakubip. Ipo siku atataja jina la huyo .... alafu ataombwa ufafanuzi......
 
Back
Top Bottom