Kwenye maisha una nafasi kubwa sana ya kufeli kuliko kufanikiwa

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
18,866
Reaction score
14,627
Katika harakati za kutafuta maisha, wengi hua na ndoto za kutoka wakilinganisha mafanikio aliopata mtu flan(Mentor), however sio kitu kibaya kua na mentor ila ukwel ni mafanikio hua ni njia binafasi

Kwa mfano unaweza tamani kuamfanya biashara maarufu, katika dira zako ukaona mtu kama vunja bei ndo mwenye dira kama unayotaka kwenye uhalisia, hili ni kosa kubwa sana kwan njia za kutoka huwa ziko limited, mfano vunja bei akisema aanze upya leo akisema atumie njia zile alizotumia mwanzo hakutakua na vunja bei kwani fursa alioipata mda ule sio sawa tena katika awamu hii, anaweza kufanikiwa tena lakini kwa kupita njia tafauti, however ni ngumu sana kufanikiwa kwani mafanikio katika maisha hua ni Timming(Bahati) na utayari wako!

Hivo basi katika safari yako ya kutaka kufanikiwa, Try as many things as you can katika njia tafauti tafauti, lakini pia unatakiwa kujua kufanikiwa ni Bahati inapokuangukia ikikukuta ukiwa tayari. Katika mfumo wa capitalism ambao tunautumia hata Tanzania mafanikio ni kwa watu wachache sana, hivi zingatie thamani zaidi ya malalamiko!

Happy new year
 
I used to think the same hasa katika BAHATI

Ila baada ya kuwa na uzoefu mkubwa katika hustling game

Niligundua neno BAHATI , NI delusion huwa hakuna bahati isipokuwa binadamu ana-uwezo wa kujitengenezea bahati.

MTU anaweza kukuambia hivi

Hey ! Ur the luckiest person on the planet.

Ila ukweli upo hivi

Luck is not some mystical energy dance around the universe randomly and bestowing people with Joy and satisfaction.

So u create ur own luck

Ukiona unapita njia nyepesi ujue kuna watu wametengeneza mazingira na hawa watu walimuia and not luck
 
Nakazia kbsa
 
NO, cha kwanza hustling culture ni kama watu wa red pill. maisha yapo ivi,
Wewe ni mtengenezaji wa nguo basi badala ya kutumia hustle culture kwa kigezo cha kupambana kitaa, bali unatakiwa ukae kwenye supply chain kubwa! badala ya kukomaa na mashine unatakiwa uanze na sehem kubwa ya ushonaji maana yake utakua karibu zaidi na tenda za kushona kwa ukubwa kama uniform za mashule, events etc

Ukiwa na mentality ya hustle culture utakua unapiga mak time na kujihakikisha failure for the rest of life
 
The game is not soft

Nafikiri sisi waafrica hiyo hustling culture tunayo

Ila ikiwa wewe haujamia na ukafanikiwa katika field yako ujue kuna watu waliumia

Na sio bahati .

Mfano Mimi sikusoma Shule ya kata wala Serikali

Tangu chekechekea na nikamaliza chuo nikapewa Connection kubwa ya Kazi .

So I can't call this shit luck , but I can Trace from my family background utakuta familia yangu iliumia na kuteseka Sana ili the next generation tuishi vizuri

The same kwako Leo una grind Sana ili watoto wako wasizaliwe na kukulia katika umasikini au kuwa cheap labor.

Luck is delusion .
 
hustling is a sign of poverty! you need to stop it, you cant make it kwa kutumia neno hustling, unadhan vunja bei anafanya kazi zaidi yako? mo dewji? bakhresa? bilgates? you think they work more than you? the answer is NO:

if thats the case nani wanaofanya kazi zaidi yao? probably wafanya kazi wao, sasa mpaka apa ushaona unaangukia upande gan?
 
Luck is delusion.
 
Mkuu elewa haya mambo kwanza

Hard work doesn't make you rich but it is help you get by

Kufanya Kazi kwa bidii huwa hakumpi MTU utajiri Ila anajikwamua kimaisha

Ila kinachompa MTU utajiri ni Frequency (Masafa) na scale (wigo)

Ukiwa Unaweza kuuza bidhaa yako nchi nzima na nje ya nchi maana yake wewe ni tajiri

MTU Kama VUNJA hata akikaa DSM mwaka mzima akiwa chumbani kwake but he can make money

Kwakuwa yeye hayupo katika Limited of time and energy

"You can sell ur product and service to thousands of people but you can't sell ur physical labor and efforts to thousands of people"
 
again WRONG: unaweza kua na biashara kubwa na bado ukafunga, hujawahi kuona viwanda, biashara., mabenki yamefungwa kwa kua put of business? if yes that means scale tayar haijasaidia! Rudia mfano nliokupa mwanzo wa kushona, nlisema ukiwa na wigo ule unakua KWENYE NAFASI NZURI sjasema unafanikiwa elewa neno KWENYE NAFASI NZURI, hivo basi unaweza kua na upana ule wa biashara na bado ukafeli nadhan unanielewa sasa!

2) Hata uweke juhudi kiasi gan katika maisha kama hio bahati haipo, ata ufanye kazi kiasi gan ni kazi bure
 
pia unaweza kusoma hili bandiko baada ya utafiti kufanyika:

1766920035870.png
 
again WRONG: unaweza kua na biashara kubwa na bado ukafunga, hujawahi kuona viwanda, biashara., mabenki yamefungwa kwa kua put of business? if yes that means scale tayar haijasaidia! Rudia mfano nliokupa mwanzo wa kushona, nlisema ukiwa na wigo ule unakua KWENYE NAFASI NZURI sjasema unafanikiwa elewa neno KWENYE NAFASI NZURI, hivo basi unaweza kua na upana ule wa biashara na bado ukafeli nadhan unanielewa sasa!

2) Hata uweke juhudi kiasi gan katika maisha kama hio bahati haipo, ata ufanye kazi kiasi gan ni kazi bure

Bahati as I told you is delusion

maisha ni Kama kifo favors no one

Ukiona umefanikiwa ujue ni akili yako na juhudi zako .

Na ukiona MTU amekufa ujue no m either akuchukua tahadhari au mwili umeachoka umeamua kuondoka and nothing else.

Maisha ni ukweli na uhalisia hakuna bahati , baraka , wala laana

Hapo juu niliweka maneno ya kiingereza ukiyasoma utaelewa .
 
hahaha unaishi kwenye dunia yako aisee, life haipo ivo, most rich people unaowaona they arent intelligent but they depend on graduates! you see, in life watu wengi wanaamini katika juhudi kwa sababu ya media inavopotray hustle culture and most of them end up kwenye hio hio hustle culture ila kitu ambacho hukijui ni, kuna watu million ambao wanafanya kazi kwa bidii sana lakini they never made it and you will never know them because media haiwaonyeshi, media inafocus na wale wenye story za kuanzia kitaa mpaka kufanikiwa because thats what you want to hear, na ndo hao wachache kwa mfano tanzania katika stats ya mwaka juzi kuna mamilionea 24,000

sasa hawa 24,000 ni asilimia ngap ya watu mil 70? sasa wewe umefocus na story ya watu 24,000 ukasahau kuna watu wengine mil70 walikua na ndoto kama ya hao hao 24,000
 
Vyovyote tu sawa ila bahati na utajiri hapana bhn ao matajiri unao sema ni mediocre unajua ni risks gani walifanya kuwa hapo

Kitu ambacho watu hawataki kukubali mainly Africa

Ni kuwa MAISHA huwa ni kitu cha kweli

Na maisha huwa haya -respond in luck , blessings or curse.

Usipochukua tahadhari katika maisha utakufa mapema haijalishi wewe umeokoka , unasali Sana n.k

Usiposoma kwa bidii ujue hauwezi kupata A kila somo haijalishi umefanya maombi kiasi gani.

UNAWEZA UKASEMA WATOTO WA BAKHRESSA WANA BAHATI!?

Wakati unajua kabisa baba yao alikuwa committed akawashawishi wanasiasa akapata Viwanda na Leo hii amepata wealth family

Hauwezi kuita bahati au baraka Ila ni efforts ambazo zinaambatana unyonyaji , manipulation n.k and not luck.
 
Ndiyo kweli kabisa there's efforts ambazo watu wengi hawataki kuziona wanaishia kuamini bahati
 
Katika harakati za kutafuta maisha, wengi hua na ndoto za kutoka wakilinganisha mafanikio aliopata mtu flan(Mentor), however sio kitu kibaya kua na mentor ila ukwel ni mafanikio hua ni njia binafasi

Kwa mfano unaweza tamani kuamfanya biashara maarufu, katika dira zako ukaona mtu kama vunja bei ndo mwenye dira kama unayotaka kwenye uhalisia, hili ni kosa kubwa sana kwan njia za kutoka huwa ziko limited, mfano vunja bei akisema aanze upya leo akisema atumie njia zile alizotumia mwanzo hakutakua na vunja bei kwani fursa alioipata mda ule sio sawa tena katika awamu hii, anaweza kufanikiwa tena lakini kwa kupita njia tafauti, however ni ngumu sana kufanikiwa kwani mafanikio katika maisha hua ni Timming(Bahati) na utayari wako!

Hivo basi katika safari yako ya kutaka kufanikiwa, Try as many things as you can katika njia tafauti tafauti, lakini pia unatakiwa kujua kufanikiwa ni Bahati inapokuangukia ikikukuta ukiwa tayari. Katika mfumo wa capitalism ambao tunautumia hata Tanzania mafanikio ni kwa watu wachache sana, hivi zingatie thamani zaidi ya malalamiko!

Happy new year
Na mtu yeyote anayeshabikia CCM eidha chawa ni agent wa terrorism kwa hiyo tuna mtambua kama terrorist
 
Back
Top Bottom