Ulikatazwa kuchukuwa tahadhari unazozijuwa wewe?Ni kweli kabisa mkuu. Herd immunity pia yenyewe haiendi tu bila tahadhari! Ina maana kwamba hata kama ni herd immunity, haina maana kwamba ndo fungulia mbwa yani maisha kama kawaida! Nooo!
Hypothetic, "tunge" "tunge" "tunge". Now be realistic, tuna tuna tuna.Hahaha! Mfano nchi ingekuwa na wazee wengi kama USA na Italy ndo ungesema haya!
Population yetu ingekuwa na wazee wengi kama hao wenzetu, halafu utaratibu ndo ukawa kama unavyosema, tungekuwa tunatafutana.
Ukiwaambia watu wakusanyike kwenda kuomba dhidi ya gonjwa linalosambaa kutokana na mikusanyiko ndo utakuwa serious?
Baba kama dunia nzima wanakula mavi basi na sisi tule? ???mie siungi mkono mambo ya kisanii...dunia yote ni tz tuu haina takwimu za korona na nyie walamba viatu vya watawala mnaona ni sawa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Look now how you pathetically reduce this conversation into mere semantics and ad hominem!Hahahaha.
Sema andiko "la huyu bibi" siyo "bandiko". Wewe ndiye uliyeng'ang'ania unataka "source" bandiko.
Umesahau mara hii? "Akili za samaki" - Aman Karume.
Serikali haina DINI . Masuala ya Imani ni mambo binafsi. Leo tukiendekeza tutaishia kuzifanya imani zetu kama imani za watu wengine. Ni hivi, serikali haina dini, na masuala ya dini yaachwe mahala pake.Wewe achana na porojo. Kuna aliyekulazimisha uebde ukasali imani siyo yako?
Wewe kama unasalia sanamu lisalie, kama unasalia mozimu isalie . Na sisi tunasali misikitini tuache tusali jwa raha zetu.
Usitake wewe kulazimisha sisi tuyaache usiyoyataka wewe.
Unataka watu wakae kwenye uoga wa kupikwa mpaka lini?
Upo sahihi.😀Statistics ni ngumu kidogo. Kusema kwamba tuna high fertility rate ya 4.8 births per woman, ni sawasawa na kusema kila mwanamke anapata kuzaa watoto 4.8 katika miaka yake ya maisha.
Sawa hoja yangu ni kua, hakunaga watoto 4.8 ila kuna watoto watano.
Je, ukiandika 5 badala ya 4.8 unakua uko sahihi au unakua umeharibu hesabu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huna babu wa kukupakata? Matusi ya nini mwezi mtukufu huu?
exactly ndiyo maana haikuingilii kuabudu kwako. Lakini kumbuka tu. Watqnzania wawna dini zaq na hazihusiani lolote na serikali.Serikali haina DINI . Masuala ya Imani ni mambo binafsi. Leo tukiendekeza tutaishia kuzifanya imani zetu kama imani za watu wengine. Ni hivi, serikali haina dini, na masuala ya dini yaachwe mahala pake.
Tukishangilia Jumapili, vipi wa Jumamosi na Ijumaa ?
Tusichomeke imani zetu kama masuala ya kitaifa, period.
Huu mjadala kama unautaka utaishia pagumu, kaa kimya watu wazima wakisema maana kuna hekma usioiona
JokaKuu jmushi1 tindo Mag3
Upumbavu ni jadi ya mtu, haifundishwi na inadhihirisha huo.Wacha upuuzi we ni kikogwe usifundishe vijana upumbavu.
FaizaFoxy , wacha ujinga na wewe unafahamu bibi kikongwe kabisa ila unaleta mipasho hapa!
Huwezi kuleta ujinga wa kutoa scientific statements kisha useme eti source ni wewe. Wacha ujinga. Huna source nenda kwa wanaokula matango pori yako.
Nje ya madaif this is true then why is he
scared of FREE and FAIR elections!?
Mazuzu wanaamini ni Mungu amejibu maombi!
Na wewe kama wewe umeathirikaje kwa kutokujua idadi ya walioambukizwa au kufa kwa korona?Nani amesema kutoa takwimu ndo dawa ya corona? Futa kwanza hiyo kauli mkuu. Acha kupotosha.