NdioHao wengi waliopoteza maisha kuna familia au ukoo wako?
Senti bai yuzingi tecno T301
Kwa bahati mbaya sana wako watatu ambao ni watu wa ukoo wangu. Mmoja mwanamke na wawili wanaume.Hiyo idadi kubwa waliokufa na kuficha kuna familia au ukoo wako?
Senti bai yuzingi tecno T301
Kuna utaratibu wa kutoa taarifa kwenye vyombo vingine kama mataifa mengine yanavyofanya. Je kuficha ni jitihada za kuepuka hofu? Ama ni uoga kwamba hata hao wataokufa ikijulikana italeta matatizo kisiasa?
asante sanaNi kweli kabisa mkuu. Herd immunity pia yenyewe haiendi tu bila tahadhari! Ina maana kwamba hata kama ni herd immunity, haina maana kwamba ndo fungulia mbwa yani maisha kama kawaida! Nooo!
Thank you for this thoughtful intake.I think the government has decided to throw us under the bus. They fail to contain it in the early stages so now the pandemic is all over the country!. It can’t be controlled any more.
So now it’s your choice to protect your family, the people you love and society in general.
It’s your call.
Usitegemee tena Serikali
Nani amesema kutoa takwimu ndo dawa ya corona? Futa kwanza hiyo kauli mkuu. Acha kupotosha.Jibu mbona liko wazi. Utaratibu wa kutoa taarifa au takwimu si dawa wala kinga ya COVID-19.
Hivyo basi, hakuna sababu ya kuficha. Isitoshe lililo la msingi ni usalama wa maisha na uhai wa kila mtu. Kwani ukijua nimekufa kwa COVID-19 ndio wewe hutaambukizwa au kufa kwa huo ugonjwa? Ukitaka kujua kwangu wamekufa wangapi njoo uniulize.
Kwa kuongezea, siyo mimi, hata wewe, mmoja wa familia yangu, au Mtanzania yryoyote atayekufa kwa COVID-19 iwapo atazingatia ushauri wa wataalamu wa afya na maelekezo ya Serikali.
JIKINGE UMKINGE JIRANI
JILINDE UWALINDE UWAPENDAO
Niweke nini sawa na wakati wewe ulitakiwa uulize maswali? Badala yake unabugia matango pori kisha unilaumu mimi?
Hata kama unasema “dunia inajizungusha kwenye muhimili wake”, unadhani hautaulizwa umejuaje?
Kimsingi kama jibu ni la kisayansi, basi kuna research imefanyika. You can’t just own it! You’ve got to give credit where it is due.
Tafadhali chunga kauli.
Hakuna aliyepimwa hata mmojaTanzania hakuna kisa kipya hata kimoja ni Mungu amejibu maombi!
Wewe achana na porojo. Kuna aliyekulazimisha uebde ukasali imani siyo yako?Mkuu kwanza tuweke baadhi ya mambo sawa
Herd immunity inapatikana pale population kwa kiwango fulani inapojenga immunity
1. Kupitia vaccination, kwamba, 80% kama sikosei ikiwa na immunity, 20% inalindwa
2. Pale ugonjwa unapokuwa na tabia ya kutengeneza ''immunity'' na hasa viral infections
Hakuna vaccination ya ugonjwa COVID-19
Hakuna ushahidi kwamba COVID-19 mtu akipata hatapata tena, ironically, kuna matukio ya kujirudia
Hapa inatueleza mambo kadhaa kuhusu viongozi. Kwamba, wanataka watu washangilie bila hoja ya kisayansi.
Kushangilia ni katika kufunika kile kinachoendelea na kuaminisha umma na dunia hakuna Corona Tz
Hilo linafanyika sambamba na kutotoa takwimu ili kujenga mazingira siku ikifika kwamba tumeshinda.
Mathalani, utasema vipi tuna korona ikiwa huna takwimu? na utasema vipi haipo ukiwa huna takwimu?
Jibu lolote lile ni sahihi kwasababu hakuna msingi wa kupinga au kukubali kwa maana ya takwimu.
suala la umri, hali ya hewa ya joto n.k. ni vitu tusivyoweza kufanyia tathmini kwasababu havisimami vyenyewe bila kuwa na nguzo nyingine.
Katika mambo yanayonishangaza ni pamoja na kuingiza masuala ya dini katika shughuli za serikali.
Kwamba watu wanataka imani zao ziwe imani za Taifa, nadhani hatutendi haki kwa wengine na wasioamini
Serikali haina dini, kazi hiyo iachwe kwa watu binafsi.
Mambo ya maombi si ya kitaifa, Tanzania ina watu wa imani tofauti na wasioamini .
JokaKuu Pascal Mayalla
Sasa utajuaje kama umelishwa matango pori? Hata maprofesa wenyewe wanaulizwa reference.
Labda kanisani au miskitini ndo unaamini watu bila maswali.
Hahahaha.Umejifunza nini? Ebu nielezee hicho ulichojifunza kutoka kwenye bandiko la huyo bibi.
Wewe unajifungia nao? Toka lini upo kifungoni?Unaumwa wewe. Mbona watu wengi tu bado wanajifungia, unaishi wapi wewe? Wale wa mlo wa siku kwa siku wengi ni vibarua!
Reference ni mimi. You can wuote me if you like or simply prove me wrong.Acha uongo. Eti somo kubwa. Ameweka reference? Si tuna macho ya kusoma na uwezo wa kuelewa? Maana ya JF kama una uelewa wa kutosha utafahamu nini cha kufanya.
To your kind maybe YOU have lack of information on viruses.Karibu sana kiongozi, wewe pia ni mmojawapo nilisahau kuwatag.
Lack of scientific information is is a huge disadvantage to us. Na hilo lemesababisha uwepo wa “lack of knowledge” when it comes to the viruses.
Ni kweli kabisa kuwa rais na watanzania, wamekuwa wakiongea kwa kurudia rudia mambo ambayo ni disinformation. Kwasababu nimeliona hata kwa Trump, ikanifanya niamini kwamba kuna jambo nyuma yake, na jambo hilo ni uchaguzi mkuu unaokuja mwishoni mwa mwaka huu.
Kuna taarifa ambayo nimeiweka humu, ambapo wanasema kuwa kama Trump angechukuwa hatua mapema badala ya kusubiri hadi March, wamarekani 36,000 wasingepoteza maisha yao.
Lockdown mainly ni kulinda maisha ya wananchi wako. Ndo maana mimi nilishangaa nakujiuliza inakuwaje? Mbona kama vile hawajali maisha yetu?