Kwenye hili la COVID19, naweza kuona mahesabu ya Rais Magufuli. Je, tumuunge mkono?

Ni kweli kabisa mkuu. Herd immunity pia yenyewe haiendi tu bila tahadhari! Ina maana kwamba hata kama ni herd immunity, haina maana kwamba ndo fungulia mbwa yani maisha kama kawaida! Nooo!
Ulikatazwa kuchukuwa tahadhari unazozijuwa wewe?
 
Hahaha! Mfano nchi ingekuwa na wazee wengi kama USA na Italy ndo ungesema haya!

Population yetu ingekuwa na wazee wengi kama hao wenzetu, halafu utaratibu ndo ukawa kama unavyosema, tungekuwa tunatafutana.
Hypothetic, "tunge" "tunge" "tunge". Now be realistic, tuna tuna tuna.
 
Ukiwaambia watu wakusanyike kwenda kuomba dhidi ya gonjwa linalosambaa kutokana na mikusanyiko ndo utakuwa serious?

Ukiwa na "immune" ya pombe kama yako ni bora ujifungie ndani.

Umejifungia toka lini?
 
mie siungi mkono mambo ya kisanii...dunia yote ni tz tuu haina takwimu za korona na nyie walamba viatu vya watawala mnaona ni sawa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba kama dunia nzima wanakula mavi basi na sisi tule? ???

Kila nchi in a njia yake ya kukabiliana na hili janga. Sio kwa sababu kila mtu anafanya hivi basi na sisi tufanye hivyo hivyo.

Na kwa taarifa yako chakuogopa sio corona yenyewe bali ni matokeo yake. The recession is coming and this time it's nothing like what you have seen before.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Statistics ni ngumu kidogo. Kusema kwamba tuna high fertility rate ya 4.8 births per woman, ni sawasawa na kusema kila mwanamke anapata kuzaa watoto 4.8 katika miaka yake ya maisha.
Sawa hoja yangu ni kua, hakunaga watoto 4.8 ila kuna watoto watano.
Je, ukiandika 5 badala ya 4.8 unakua uko sahihi au unakua umeharibu hesabu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy , wacha ujinga na wewe unafahamu bibi kikongwe kabisa ila unaleta mipasho hapa!

Huwezi kuleta ujinga wa kutoa scientific statements kisha useme eti source ni wewe. Wacha ujinga. Huna source nenda kwa wanaokula matango pori yako.
 
Hahahaha.

Sema andiko "la huyu bibi" siyo "bandiko". Wewe ndiye uliyeng'ang'ania unataka "source" bandiko.

Umesahau mara hii? "Akili za samaki" - Aman Karume.
Look now how you pathetically reduce this conversation into mere semantics and ad hominem!
Moron.
 
Wewe achana na porojo. Kuna aliyekulazimisha uebde ukasali imani siyo yako?

Wewe kama unasalia sanamu lisalie, kama unasalia mozimu isalie . Na sisi tunasali misikitini tuache tusali jwa raha zetu.

Usitake wewe kulazimisha sisi tuyaache usiyoyataka wewe.

Unataka watu wakae kwenye uoga wa kupikwa mpaka lini?
Serikali haina DINI . Masuala ya Imani ni mambo binafsi. Leo tukiendekeza tutaishia kuzifanya imani zetu kama imani za watu wengine. Ni hivi, serikali haina dini, na masuala ya dini yaachwe mahala pake.

Tukishangilia Jumapili, vipi wa Jumamosi na Ijumaa ?
Tusichomeke imani zetu kama masuala ya kitaifa, period.

Huu mjadala kama unautaka utaishia pagumu, kaa kimya watu wazima wakisema maana kuna hekma usioiona

JokaKuu jmushi1 tindo Mag3
 
Statistics ni ngumu kidogo. Kusema kwamba tuna high fertility rate ya 4.8 births per woman, ni sawasawa na kusema kila mwanamke anapata kuzaa watoto 4.8 katika miaka yake ya maisha.
Sawa hoja yangu ni kua, hakunaga watoto 4.8 ila kuna watoto watano.
Je, ukiandika 5 badala ya 4.8 unakua uko sahihi au unakua umeharibu hesabu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi.😀
 
Serikali haina DINI . Masuala ya Imani ni mambo binafsi. Leo tukiendekeza tutaishia kuzifanya imani zetu kama imani za watu wengine. Ni hivi, serikali haina dini, na masuala ya dini yaachwe mahala pake.

Tukishangilia Jumapili, vipi wa Jumamosi na Ijumaa ?
Tusichomeke imani zetu kama masuala ya kitaifa, period.

Huu mjadala kama unautaka utaishia pagumu, kaa kimya watu wazima wakisema maana kuna hekma usioiona

JokaKuu jmushi1 tindo Mag3
exactly ndiyo maana haikuingilii kuabudu kwako. Lakini kumbuka tu. Watqnzania wawna dini zaq na hazihusiani lolote na serikali.
 
FaizaFoxy , wacha ujinga na wewe unafahamu bibi kikongwe kabisa ila unaleta mipasho hapa!

Huwezi kuleta ujinga wa kutoa scientific statements kisha useme eti source ni wewe. Wacha ujinga. Huna source nenda kwa wanaokula matango pori yako.

Ni visurii sana kuwa unakiri ni "scientific statement" kutoka kwangu. Sasa ni prove kuwa nipo wrong. Jaribu bahati yako.
 
I do think that in what has transpired in Tanzania regarding the covid-19 pandemic so far, critics of the government are faced with a fait accompli.

You cannot prove that the government was not aiming at herd immunity though they never stated it as a strategy.

You cannot allege that seeking herd immunity by imposing lockdowns is tantamount to experimenting with people’s life because in our case the alternative is starvation. An equally, if not more worse sort of experimenting with human life.

If you claim that acquisition of herd immunity by the Tanzanian population is a hindsight on the government’s part you have to face the fact that regardless of unavailability or even concealation of information on cases of infections, recovery and mortality, the situation is still not so devastating as predicted. And not only that, you are still alive to tell the tale after all.

That leaves you with the unpalatable prediction that the so called second wave will hit the country hardest which amount to a deathwish for yourself and your own folks not to mention your fellow citizens. I would gather nobody hate themselves or others so much that they would wish life to perish just to prove a point!

So maybe everyone should just look ahead and swallow down their pride and vanities on positions taken. It is not as if you made a life and death bet which you lost and is now owed for life just by vetting for lockdowns.

But if you want to apologize and get the poison out of your system, I dare say that the great JF will surely accomodate you though I cannot vouch for that with certainty. You will definitely be the target of some stonethrowing as in this thread.

In short let ‘s have a positive mental attitude as we face the other aspects of Covid-19 which I am sure, will give us a run for our money.
That is, supposing we have any
( in a whisper).

And take care of course by adhering to the prescribed self and folk preventive measures since the disease is still with us.
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom