Kwenye dunia hii kama hufanyi mapenzi bora ujiue

Kwenye dunia hii kama hufanyi mapenzi bora ujiue

ndugu zangu mnasemje katika hili....ni kama mtoa mada kapita kwenye akili zetu ukiondoa kula, kulala na kuzagamuana, Dunia haina tena maana au sio?,... min -me , Poor Brain Mbaga Jr ,.. mzabzab
Ni kweli kabisa sio kuzagamua tuu na kama hujawahi kula mshangazi hapo mtaani kwako mpaka umri huu 25 jua wewe kisheria ya islam inabidi uchapwe fimbo 68 hadharani ukiwa umevaa kanga moja iliyo chepe chepe (imeloweshwa kwa maji ya bahari)
 
bila kutaja mishangazi bado hujalizika.....😂😂

iheshimiwe mishangazi ya mama😂😂📌❗
 
Kuna watu nimetukanana nao kule jukwaa la dini kisa wewe mkuu...
Mi nawakatalia wewe uvuti bangi...

Jambo hilo limefanya nitukanwe kinoma noma ila msimamo wangu upo pale pale mkuu wewe nakujua mambo ya bangi huyajui kabisa Mungu akuweke mbali na hayo mambo
Mkuu upo sahihi, mimi natumia mimea asili isiyo na kemikali yoyote ambayo imejiotea yenyewe...kuna masnitch watakuwa hawanitakii mema huko👊🌿💨

1000030983.jpg
 
Kama unajijua wewe ni Mwanadamu na hufanyi mapenzi ni bora utafute kamba ujinyonge.

Maana hakuna unachokifanya hapa duniani.
We jamaa.
Mapenzi kama mapenzi

Au mapenzi kwako ndio ngono.

Tofautisha mapenzi na ngono.
 
Back
Top Bottom