Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,404
- 124,113
Ndio tutavumilia kwa bikra tuu, sio nyie makurumbembeBikra ndio miezi? Si miaka kabisa! Mbona kuna wanaume wanavumilia miaka nyie mloshindikana bwana!
Ndio tutavumilia kwa bikra tuu, sio nyie makurumbembeBikra ndio miezi? Si miaka kabisa! Mbona kuna wanaume wanavumilia miaka nyie mloshindikana bwana!
Mimi niliacha kabisa kumsubirisha Mkaka anayenipenda.Habari ya sikukuu wana jf wote bila shaka mko salama leo mmetulia majumbani hadi raha..
Niende straight kwenu wanawake wenzangu hivi nini huwa sababu ya kumzungusha mwanaume anapokutongoza?
Yaani mtu amekupenda au amekutamani amekupa sera zake pengine umezielewa lakini kukubali mpaka upige danadana pengine mpaka miezi inakuaga kwa ajili ya nini haswa😀😀
je ndio haiba ya kike?
mnakua mnachunguza?
inaongeza hadhi au thamani?
inafanya mtu azidi kukupenda?
au ni mapozi tu?
Na nyie ndugu zangu wanaume kipi huwa bora kwenu
anaekubali au kukataa straight ama anaepiga danadana ?
Wewe kama kweli ni mwanamke hukuwa na sababu za msingi za kutaka tukutambue kama mwanamke.Habari ya sikukuu wana jf wote bila shaka mko salama leo mmetulia majumbani hadi raha..
Niende straight kwenu wanawake wenzangu hivi nini huwa sababu ya kumzungusha mwanaume anapokutongoza?
Yaani mtu amekupenda au amekutamani amekupa sera zake pengine umezielewa lakini kukubali mpaka upige danadana pengine mpaka miezi inakuaga kwa ajili ya nini haswa😀😀
je ndio haiba ya kike?
mnakua mnachunguza?
inaongeza hadhi au thamani?
inafanya mtu azidi kukupenda?
au ni mapozi tu?
Na nyie ndugu zangu wanaume kipi huwa bora kwenu
anaekubali au kukataa straight ama anaepiga danadana ?
Bro wewe unapenda kuzungushwa au hupendi?Habari ya sikukuu wana jf wote bila shaka mko salama leo mmetulia majumbani hadi raha..
Niende straight kwenu wanawake wenzangu hivi nini huwa sababu ya kumzungusha mwanaume anapokutongoza?
Yaani mtu amekupenda au amekutamani amekupa sera zake pengine umezielewa lakini kukubali mpaka upige danadana pengine mpaka miezi inakuaga kwa ajili ya nini haswa😀😀
je ndio haiba ya kike?
mnakua mnachunguza?
inaongeza hadhi au thamani?
inafanya mtu azidi kukupenda?
au ni mapozi tu?
Na nyie ndugu zangu wanaume kipi huwa bora kwenu
anaekubali au kukataa straight ama anaepiga danadana ?
Badilini nyama zisizojielewa basi muache kuforce kila nyama muilambe!Tunabadili nyama
Can we dance?Mimi niliacha kabisa kumsubirisha Mkaka anayenipenda.
Kama nimeelewa sera zake na ananijali vizuri ni ndio ya haraka kama naapishwa vile 😛😜
Hahaha bikra ukipewa utamkubali au mnajiongelesha tu hapa muonekane na nyie ni vidume mna misimamo?😂Ndio tutavumilia kwa bikra tuu, sio nyie makurumbembe
shwaaaaa ushazama penziniMimi niliacha kabisa kumsubirisha Mkaka anayenipenda.
Kama nimeelewa sera zake na ananijali vizuri ni ndio ya haraka kama naapishwa vile 😛😜
Tukishamalizana na nyama za malaya, Ndo tunakuja na kwenu mana sometimes tunapenda kale kausumbufu fln hvBadilini nyama zisizojielewa basi muache kuforce kila nyama muilambe!
Basi kuweni wavumilivu na sisi tumalizane na vibopa wetu msitupangie tarehe za kutoa majibu!🤸🏽♀️Tukishamalizana na nyama za malaya, Ndo tunakuja na kwenu mana sometimes tunapenda kale kausumbufu fln hv
kuna sehemu nimetaka unitambue? mbona kama umeweweseka kiongoziWewe kama kweli ni mwanamke hukuwa na sababu za msingi za kutaka tukutambue kama mwanamke.
Mm namkubali chap, bikra bikra tuu hawana mambo mengi kama nyie mliokwepa mishale mingiHahaha bikra ukipewa utamkubali au mnajiongelesha tu hapa muonekane na nyie ni vidume mna misimamo?😂
Hatuwapangii Ila mnasumbua mahakama wakati hukumu n ile ileBasi kuweni wavumilivu msitupangie tarehe za kutoa majibu!
napenda mwananguBro wewe unapenda kuzungushwa au hupendi?
😀😀😀😀yuko katikatiMwingine ndio hata kujibu hajibu, hawezi kusema hapana au ndio, anapiga kimya. Unafikiria hivi huyu mzima kweli kichwani?
I love you 😎Mimi niliacha kabisa kumsubirisha Mkaka anayenipenda.
Kama nimeelewa sera zake na ananijali vizuri ni ndio ya haraka kama naapishwa vile 😛😜
me wa kiume 😀😀😀😀Kumbe mleta mada ni maini matupu nilikua sijamzongatia OMG!!
View attachment 3624282
Wanawake mna kazi sana, hadi umfahamu mtu ni kazi sana.Kwahiyo nitamchunguzaje muda alotuma maombi? Hujui kuna watu wanatumia kigezo hichocho kulomba wanawake?
Unakuta unatamani uwe na mahusiano linakuja jangili kukutapeli kwa njia zilezile zinazotumika kumnasa mwanamke! Kwanza mtu aliye real hawezi kukulazimisha umjibu hapohapo or else una mpango ovu unataka kuutimiza uchape lapa!