Kwenu wanawake wenzangu

Kwenu wanawake wenzangu

Huku ni kununua kwa kutumia madalali bwashee.

Kutongoza ni kubembeleza na kubembeleza lazima utumie muda na ushawishi ikiwemo maneno matamu na hizo pesa
Kutongoza ni kujishusha,kujidhalilisha,hakuna tajiri anayeweza kuhangaika hivyo au kujishusha kiasi hicho,
mara nyingi hua anatumwa chawa tu,

Mtu mwenye hela hanunui kwa kumfuata Mwanamke,ukiwa na hela wanawake wao wenyewe hua wanapanga foleni.
 
Umeongea ukweli , ila sema polepole mkuu, wamatumbi tunahitaji unafki na sio ukweli
 
Sasa tumebadilishana point, umekuja kwenye yngu na mimi natetea ile yako
Ndio lazima point zote zifanye kazi huwezi shikilia bango na watu wanatofautiana! Kuna kijana akikufuata hata huwazi mara mbili, kuna species nyingine inakubidi utafute merits kwanza ndio ukubali.. ndio tunaita kufikiria sisi😎
 
Back
Top Bottom