Upo sahihi. Mimi nina limama langu Wala halina pesa ya kunihonga, tukienda field nalipa Mimi vyote. Yeye n zawad ndogo ndogo na kuniheshimu. Napenda Kwan n mshauri wangu mkubwa masuala ya familia na maisha.
Anajua namna ya kunipa raha. Hapigi simu Wala kutuma msg, mpaka nimuanze Mimi. Daima ananisisitiza kuheshimu ndoa yangu.