Kwenu wanaume ...Hii imekaaje ?

Rafiki yangu mmoja kanijia jana akiwa mwingi wa mawazo na majonzi tele
Kisa nini..Ni mwaka wa tatu sasa ameolewa hana mtoto ,Mama mkwe kapiga simu saa tano usiku kwa mwanae wakiwa wamelala
anauliza mkeo yuko hapo ? jamaa kasema ndio ..basi akaambiwa weka loud spika ili huyo anayejiita mkeo apate vidonge vyake
Mama mkwe bila haya kaanza kuporomosha mvua ya maneno akilalamika kama hajaolewa kuja kumchuna mtoto wao wamemsomesha ili awatunze wao na sisi yeye mke mgumba ..
Mbaya zaidi anamwambia ..hajaolewa ili awe sanamu ndani ya nyumba ..la sivyo wangenunua sanamu wakaweka ndani wanachotaka amzalie watoto kama hawezi njia iko wazi aondoke ..!
Mke kulalamika kwa mmewe ..
Mme anamjibu hii ni message send ..
Wanaume kwa nn mnaruhusu ndoa iingliwe na ndugu mke anyanyaswe kiivyo ?
kwa nini msitoe suport ili mke awe na uwezo wa kujitetea?
shock!!!!
FL

FL1 mshauri huyo rafiki yako akapime peke yake kama kweni ni tasa au la. Ikiwa si tasa ambembeleze mumewe wakapime wote. ili wajue pia hali zao. unajua siku hizi wanaume wengi wana matatizo ya uzazi sana. Mpaka hapo ndio ushauri wangu kwao.

Nimekutana na kisa kama hiki last two weeks, lakini baada ya kuwashauri hivyo walipokwenda kupima imeonekana mwanaume ana issue-mbegu zake ziko na shida-no mikia(whatever that means).
As a result ndugu wa mwanaume wamefyata mikia wamekuwa wadogo kama piriton. na man ameanza kuchukua hatua kuona kama anaweza kuremedy hali yake hiyo.

Please advice her that.
Ikiwa majibu kwake yatathibitisha kuwa yeye ni tasa mwanzoni kabisa, them by God's grace tutamshauri kwa hekima tulizojaaliwa.
 
Hii kwa kweli imeniuma si utani.lkn bado nina swali pale mwanaume alipomjibu mkewe kuwa sms sent km nilielewa vzr kwa hiyo huyo kijana kamuunga mzazi wake mkono kwa uharo aliyo umwaga au?????labda sikuelewa.huyo mwanaume si hafifu bali ni mjinga na mnafiki km anampenda mkewe na wana mipango yao ya ndoa kwa nn amjibu mkewe hivyo????hopeless.!! na yy alishawahi kuwaeleza wazazi wake plan ya ndoa yake mpk huyo ***** aje ambuguzi binti wa watu??huyo mama kama ana mtoto wa kike malipo atayapata hapa duniani kuchuna kitu gani pesa ni mauwa huchanua na kusinyaa vilevile hata km mwanae ana pesa km bill gates asimdharau binti wa watu.
NB:We mama wa mwanaume kama kimekuuma sana na umeona huyo binti anafaidi sn kamzalie mwanao wewe ili ufaidi hivyo visenti vya kijinga.
 
Pretty mbaya zaidi wanapewa suport na hawa waune zetu ..kama mme angekuwa na msimamo mama asingediriki kupiga simu na kuporomosha maneno makali na mwanae akiwepo!

First Lady,
Mwanaume ulitaka katika hali kama hiyo ya kupigiwa simu ghafla awe na msimamo gani???+
 
mie pia nimemuuliza swali kama lako yeye kasema alishapima dr akamwambia hana tatizo ila huyu mmewe ndo kila akimwambia akapime hatoi majibu sahihi ..na kudai tayari alishazaa mtoto mwingine nje kabla hajaoa

huyo mwanaume ni kimeo, mwambie rafikiyo amuulize mumewe kama huyo tayari naye akazae nje kuthibitisha kuwa haha yeye yuko fiti au wakapime kwa pamoja
 
Mwanaume kapima na yy?wanauhakika gani kama tatizo labda ni la mwanamme?sio mara zote tatizo la ugumba ni mwanamke,wanamme mwengine wanarudi usiku,pombe kibao kichwani,huyo mtoto atatoka wapi?maana kila akicheuwa wanatoka serengeti bariidi!zen unategemea upate mtoto?wapiiiiiiiiiiiii?huyo mwanamme poyoyo sana
rafiki yangu mmoja kanijia jana akiwa mwingi wa mawazo na majonzi tele
kisa nini..ni mwaka wa tatu sasa ameolewa hana mtoto ,mama mkwe kapiga simu saa tano usiku kwa mwanae wakiwa wamelala
anauliza mkeo yuko hapo ? Jamaa kasema ndio ..basi akaambiwa weka loud spika ili huyo anayejiita mkeo apate vidonge vyake
mama mkwe bila haya kaanza kuporomosha mvua ya maneno akilalamika kama hajaolewa kuja kumchuna mtoto wao wamemsomesha ili awatunze wao na sisi yeye mke mgumba ..
mbaya zaidi anamwambia ..hajaolewa ili awe sanamu ndani ya nyumba ..la sivyo wangenunua sanamu wakaweka ndani wanachotaka amzalie watoto kama hawezi njia iko wazi aondoke ..!
mke kulalamika kwa mmewe ..
mme anamjibu hii ni message send ..
wanaume kwa nn mnaruhusu ndoa iingliwe na ndugu mke anyanyaswe kiivyo ?
kwa nini msitoe suport ili mke awe na uwezo wa kujitetea?
shock!!!!
fl
 
Mie pia nimemuuliza swali kama lako yeye kasema alishapima DR akamwambia hana tatizo ila huyu mmewe ndo kila akimwambia akapime hatoi majibu sahihi ..na kudai tayari alishazaa mtoto mwingine nje kabla hajaoa

Basi dawa yake ndogo, atoke nje ya ndoa akapate mimba aje ambambikie mtoto. Maana inaonekana hata huyo mtoto wa kabla ya ndoa alibambikiwa! Yeye si kaamua kumwaga mboga, mwambie rafiki yako amwage ugali na jiko azime kabisa!!! :)
 
Mwanaume kapima na yy?wanauhakika gani kama tatizo labda ni la mwanamme?sio mara zote tatizo la ugumba ni mwanamke,wanamme mwengine wanarudi usiku,pombe kibao kichwani,huyo mtoto atatoka wapi?maana kila akicheuwa wanatoka serengeti bariidi!zen unategemea upate mtoto?wapiiiiiiiiiiiii?huyo mwanamme poyoyo sana

Pearl hilo nalo neno. Ndio maana hospitalini mnaweza kuambiwa wote hamna tatizo lolote. Ila tu, daktari anaweza kwenda ''an extra mile'' kuwauliza kuhusu lifestyle yenu na mambo mengine ya kitalaam yanayoweza kupelekea mwanamke kutopata mimba.

Kila mtu ana fani yake aliyosomea, kwa hiyo ubishi wa kutokwenda upata ushauri wa kitaalamu ni kujiharibia ndoa yake! Na ulimbukeni wa kumsikiliza sana mama yake nao pia anahitaji ushauri nasaha!
 
huwenda mwanaume ndo kasuka hou mpango mzima haiwezekani umjibu mwenzio meseji sent- manyanyaso mengine? Fl1 huyo rafiki yako wameshakwenda kucheck hospital yeye na mumewe kama hawana tatizo lolote?
hili nalo neno.
 
Mmmmh masaki?do u real advice that?
basi dawa yake ndogo, atoke nje ya ndoa akapate mimba aje ambambikie mtoto. Maana inaonkena hata huyo mtoto wa kabla ya ndoa alibambikiwa! Yeye si kaamua kumaga mboga, mwambie rafiki yako amwage ugali na jiko azime kabisa!!! :)
 
mara mama nitilie,mara mesenja!...lol!sijui lini utaniambia wewe ni mama salma...!haya bwana:D

hahaha Geoff mie ndo mama namba moja mbili ..
mjasiliamali asilia .
Iribini alisema eti nasubiri salale ili nikamilishe..;)
 
Basi dawa yake ndogo, atoke nje ya ndoa akapate mimba aje ambambikie mtoto. Maana inaonekana hata huyo mtoto wa kabla ya ndoa alibambikiwa! Yeye si kaamua kumwaga mboga, mwambie rafiki yako amwage ugali na jiko azime kabisa!!! :)
HUU NI USHAURI MZURI SANA, ukitaka kujua sababu basi ni-PM
 
FL1 mshauri huyo rafiki yako akapime peke yake kama kweni ni tasa au la. Ikiwa si tasa ambembeleze mumewe wakapime wote. ili wajue pia hali zao. unajua siku hizi wanaume wengi wana matatizo ya uzazi sana. Mpaka hapo ndio ushauri wangu kwao.

Nimekutana na kisa kama hiki last two weeks, lakini baada ya kuwashauri hivyo walipokwenda kupima imeonekana mwanaume ana issue-mbegu zake ziko na shida-no mikia(whatever that means).
As a result ndugu wa mwanaume wamefyata mikia wamekuwa wadogo kama piriton. na man ameanza kuchukua hatua kuona kama anaweza kuremedy hali yake hiyo.

Please advice her that.
Ikiwa majibu kwake yatathibitisha kuwa yeye ni tasa mwanzoni kabisa, them by God's grace tutamshauri kwa hekima tulizojaaliwa.

Asante sana Lumbe kwa mawazo mazuri ..
sema binti mwenyewe hana acess na mitandao ningeweza kumuomba aingie mwenyewe apate
 
Mmmmh masaki?do u real advice that?

Peal, do you think it was fair for the mama mkwe kumbwatukia mtoto wa watu usiku wa manane?

Mwanaume mwenyewe kiburi hataki kwenda kupima eti kisa alishazaa mtoto kabla ya ndoa, aliyemwambia kwamba huyo mtoto wa kabla ya ndoa ni wake ni nani? Inawezana akawa wake, au kabambikiwa!

Na pia inawezakana wakati huo alikuwa mzima na matatizo ya kutoweza kumpa mimba mwanamke aliyapata baadaye! Kuna mambo mengi, ikiwemo lifestyle kama kunywa pombe kupita kiasi, msongo wa mawazo na kadhalika! Na ndio maana kusikiliza ushauri wa kitalaamu ni jambo la busara zaidi katika kesi hii kuliko kumwambia mama yake apige simu saa tano usiku kumbwatukia mkewe!
 
Hii kwa kweli imeniuma si utani.lkn bado nina swali pale mwanaume alipomjibu mkewe kuwa sms sent km nilielewa vzr kwa hiyo huyo kijana kamuunga mzazi wake mkono kwa uharo aliyo umwaga au?????labda sikuelewa.huyo mwanaume si hafifu bali ni mjinga na mnafiki km anampenda mkewe na wana mipango yao ya ndoa kwa nn amjibu mkewe hivyo????hopeless.!! na yy alishawahi kuwaeleza wazazi wake plan ya ndoa yake mpk huyo ***** aje ambuguzi binti wa watu??huyo mama kama ana mtoto wa kike malipo atayapata hapa duniani kuchuna kitu gani pesa ni mauwa huchanua na kusinyaa vilevile hata km mwanae ana pesa km bill gates asimdharau binti wa watu.
NB:We mama wa mwanaume kama kimekuuma sana na umeona huyo binti anafaidi sn kamzalie mwanao wewe ili ufaidi hivyo visenti vya kijinga.
American lady ni kweli mme anamuunga mkono mama yake ndo maana nikawaomba wanaume watupe suport kina mama watupende ..wasiache mwanya ili tupate manyanyaso toka upande wa ndugu zao
 
Rafiki yangu mmoja kanijia jana akiwa mwingi wa mawazo na majonzi tele
Kisa nini..Ni mwaka wa tatu sasa ameolewa hana mtoto ,Mama mkwe kapiga simu saa tano usiku kwa mwanae wakiwa wamelala
anauliza mkeo yuko hapo ? jamaa kasema ndio ..basi akaambiwa weka loud spika ili huyo anayejiita mkeo apate vidonge vyake
Mama mkwe bila haya kaanza kuporomosha mvua ya maneno akilalamika kama hajaolewa kuja kumchuna mtoto wao wamemsomesha ili awatunze wao na sisi yeye mke mgumba ..
Mbaya zaidi anamwambia ..hajaolewa ili awe sanamu ndani ya nyumba ..la sivyo wangenunua sanamu wakaweka ndani wanachotaka amzalie watoto kama hawezi njia iko wazi aondoke ..!
Mke kulalamika kwa mmewe ..
Mme anamjibu hii ni message send ..
Wanaume kwa nn mnaruhusu ndoa iingliwe na ndugu mke anyanyaswe kiivyo ?
kwa nini msitoe suport ili mke awe na uwezo wa kujitetea?
shock!!!!
FL

Imeniuma sana hii story ya rafiki yako

Ningekuwa mimi ningefanya hivi.

Nisingeweza kuweka loud spika kwa vile ingekuwa natumia mgongo wa mama kufikisha/ku-cement ujinga ambao mama angeouleza.

Pia ningemjibu mama atuache mimi na mke wangu kama wazazi wa Abrahama na Sarah walivyoachwa kwa miaka takribani 70 ndio wakapata mtoto wakiwa na mtumaini Mungu pekee. Kwa vile kila kitu kina tokea kwa sababu.

Kwa tathimini yangu mama alitakiwa amuulize mtoto wake kama na yeye amewahi kupima kama yuko fertile. Kwa wengi wetu lawama zinatupwa kwa mwanamke zaidi na kusahau hata wanaune wanapatwa na matatizo ya uzazi.
 
Rafiki yangu mmoja kanijia jana akiwa mwingi wa mawazo na majonzi tele
Kisa nini..Ni mwaka wa tatu sasa ameolewa hana mtoto ,Mama mkwe kapiga simu saa tano usiku kwa mwanae wakiwa wamelala
anauliza mkeo yuko hapo ? jamaa kasema ndio ..basi akaambiwa weka loud spika ili huyo anayejiita mkeo apate vidonge vyake
Mama mkwe bila haya kaanza kuporomosha mvua ya maneno akilalamika kama hajaolewa kuja kumchuna mtoto wao wamemsomesha ili awatunze wao na sisi yeye mke mgumba ..
Mbaya zaidi anamwambia ..hajaolewa ili awe sanamu ndani ya nyumba ..la sivyo wangenunua sanamu wakaweka ndani wanachotaka amzalie watoto kama hawezi njia iko wazi aondoke ..!
Mke kulalamika kwa mmewe ..
Mme anamjibu hii ni message send ..
Wanaume kwa nn mnaruhusu ndoa iingliwe na ndugu mke anyanyaswe kiivyo ?
kwa nini msitoe suport ili mke awe na uwezo wa kujitetea?
shock!!!!
FL

Hapo ndo tunaona maana ya kunasisha kitu kimeani kabla ya ndoa, hehehe piga bao unasishe ujue kifaa kipo mang'anyu ndo unavuta ndani
 
First Lady,
Mwanaume ulitaka katika hali kama hiyo ya kupigiwa simu ghafla awe na msimamo gani???+

awe na hekima kama za mfalme suleimani na ndo maana akawa kichwa cha nyumba
kwanini alijibu message send
 
I KNW IT WASNT FEA KABISA,bUT MY DIA KATIKA MAISHA HUTAKIWI KULIPIZA JE,A KWA UBAYA,MUNGU HAPENDI,SI TUMEAMBIWA TUWA TUWAOMBEE ADUI ZETU,MAISHA HAYA MAFUPI KUGOMBANA NA WATU,KILA KITU KINA MWISHO,CHOZI LA HUYO MWANAMKE MUNGU ATAMLIPIA,ASIACHE KUOMBA TENA AMUOMBEE NA HUYO MKWEWE NA MUMEWE POYOYO AFUNGUKE.

Back
Top Bottom