Kwenu mawifi, wake wa kaka zetu

Kwenu mawifi, wake wa kaka zetu

nDoa huwa haimpi mtu "total Owner ShiP" ya mwenzi anaeishi Nae,So ukioa/kuolewa hkO uenDako kaishi si kwa Kuona Una mmiliki mtu unayeishi Nae, ila uko nae Kimaisha na ni kwa muDa maana hamna kitU km "We will be forever" hasahasa ktk hii Dunia,labDa ktk Maisha yajayo
Unaishi kimuda inamaana hata baba na mama yako wanaishi hivyo? Unajua maana ya ndoa? Basi kama ni hivyo waoane ndugu kaka na dada ili wasimilikiane kani misaada haitasumbua kugawanya, la sivyo kaka au dada awe mzuri au handsome lazima aende ukoo mwingine
 
mwenzie nahangaikaaaaa nauza mpaka ubuyu wa mia mia! ili mradi maisha yasonge...yeye anakula vya kaka tu! hana mda huo....yaani anatushinda matumizi! ukienda kwake utashangaaa hivi ni huyu anaesema hana hela hata ya kula...ana maisha mazuriiiii
Acha yaani utakuta mnaishi maisha ya kujibana wenzio huko ni pamba kila siku, ukienda kusalimia utashaa wenzio unajiuliza huyu ndiye kila siku hela yakula hana majanga!!!!!
 
Tutafanyaje sasa na sie ndio waafrika!! Akili tu kumkichwa.
Hatukatai kusaidiana lkn sio kwa kulazimishana na masimango juu!!!
Kulazimishana hapana na wakwe wa siku hizi mtoto akipata tu kazi naye huku mkwe badala awasomeshe na hawa wengine duu si kushindana na wanaye mademu na michepuko kwa sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wakati mwingine unakuta pesa zinaishia kubet au kwa michepukooo, ila lawama kwa wifi!
[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ee bwana wee yaani siku nimejua kazi ya kubet nilichoka
 
Tunakomaje usiombe upate ukoo wa panya baba mkubwa baba mdogo sijui shangazi sijui mjomba unaambiwa hatubaguani utaomba poo mtu anakuja kusalkmia anabeba mpaka majirani binamu huyu ni jirani yetu tunaishi naye kama ndugu
Kuna Familia ipo hivi lol ha ha ha yani hata mwenye mji ukimuuliza huyu ni ndugu mtoto wa nani anasema mi sijui mtoto wa nani ila namuita tu shemeji nilicheka jamani
 
Binadamu hawana shukrani,,tena ukijifanya msamaria mwema ndio mawifi watakupanda kichwani,,
kinachotakiwa kila mtu aishi maisha yake,,akikutembelea sawa lakini ajue pale ni kwa mwanamke mwingine sio kwasbabu ni kwa kaka unataka ulete sheria zako,,na mimi nitakukarimu kama kawaida,,halafu upite hiviii,,,sio kukamiana..
everyone need her place,,hatuezi kupikika chungu kimoja

Suala la kusaidiana lipo kwa pande zote tu kama uhitaji huo upo,,
Ukiwa na maisha yako huezi kuanza kuangaika na mambo ya kaka unless uwe na issues za maana
 
Back
Top Bottom