Bounty hunter
JF-Expert Member
- Feb 2, 2021
- 514
- 642
Habari wapendwa Ivi wanaoripoti ruvu jkt tarehe 27 kuna utaratibu gani nauliza?
Hakuna utaratibu we ukiweza nyoa kipara kabisa japo hata ukinyoa kawaida hamna ishu utanyoa hukohuko.
Kuwa na pesa kidogo ya akiba matumizi kama sabuni na mafuta maana mkiripoti posho inaweza kuchelewa na angalau ubadilishe mlo kidogo maana mwanzoni utakuwa hujazoea,
Pale shukia mlandizi kisha chukua boda hadi kikosini(nauli ni buku usitapeliwe)
Ukifika nidhamu tu Usisahau tranka ukabeba begi utahamishiwa sana.
Mahitajio yote kikosini yanauzwa ila ukiweza kununua mtaani kwa Bei ndogo zaidi pia hamna shida.
Jiandae kwenda shamba sana hususani kipindi hiki cha uzalendo.
Track na raba muhimu(nunua raba za kazi sio za kibishoo)
Jiandae kuzunguka sana Tanzania iwe utapata ajira au hautapata.
Wasalimie sana makamanda wa pale.
Kama una swali lingine uliza
Nashukuru mkuu nitawapa salam🫡Hakuna utaratibu we ukiweza nyoa kipara kabisa japo hata ukinyoa kawaida hamna ishu utanyoa hukohuko.
Kuwa na pesa kidogo ya akiba matumizi kama sabuni na mafuta maana mkiripoti posho inaweza kuchelewa na angalau ubadilishe mlo kidogo maana mwanzoni utakuwa hujazoea,
Pale shukia mlandizi kisha chukua boda hadi kikosini(nauli ni buku usitapeliwe)
Ukifika nidhamu tu Usisahau tranka ukabeba begi utahamishiwa sana.
Mahitajio yote kikosini yanauzwa ila ukiweza kununua mtaani kwa Bei ndogo zaidi pia hamna shida.
Jiandae kwenda shamba sana hususani kipindi hiki cha uzalendo.
Track na raba muhimu(nunua raba za kazi sio za kibishoo)
Jiandae kuzunguka sana Tanzania iwe utapata ajira au hautapata.
Wasalimie sana makamanda wa pale.
Kama una swali lingine uliza
Nikifika tuu nitapauliziaMwambie chimbo la kudoji lipo kwa DOSA
Vitu vyote kununua inacost kama shilingi ngapi mkuuwahi kambini mzalendo
Kununua vitu vyote inacost kama shilingi ngapi mkuuMwambie chimbo la kudoji lipo kwa DOSA
Kununua vifaa vyote inacost kama shilingi ngapi mkuuHakuna utaratibu we ukiweza nyoa kipara kabisa japo hata ukinyoa kawaida hamna ishu utanyoa hukohuko.
Kuwa na pesa kidogo ya akiba matumizi kama sabuni na mafuta maana mkiripoti posho inaweza kuchelewa na angalau ubadilishe mlo kidogo maana mwanzoni utakuwa hujazoea,
Pale shukia mlandizi kisha chukua boda hadi kikosini(nauli ni buku usitapeliwe)
Ukifika nidhamu tu Usisahau tranka ukabeba begi utahamishiwa sana.
Mahitajio yote kikosini yanauzwa ila ukiweza kununua mtaani kwa Bei ndogo zaidi pia hamna shida.
Jiandae kwenda shamba sana hususani kipindi hiki cha uzalendo.
Track na raba muhimu(nunua raba za kazi sio za kibishoo)
Jiandae kuzunguka sana Tanzania iwe utapata ajira au hautapata.
Wasalimie sana makamanda wa pale.
Kama una swali lingine uliza
Umekata maji na umemeHakuna utaratibu we ukiweza nyoa kipara kabisa japo hata ukinyoa kawaida hamna ishu utanyoa hukohuko.
Kuwa na pesa kidogo ya akiba matumizi kama sabuni na mafuta maana mkiripoti posho inaweza kuchelewa na angalau ubadilishe mlo kidogo maana mwanzoni utakuwa hujazoea,
Pale shukia mlandizi kisha chukua boda hadi kikosini(nauli ni buku usitapeliwe)
Ukifika nidhamu tu Usisahau tranka ukabeba begi utahamishiwa sana.
Mahitajio yote kikosini yanauzwa ila ukiweza kununua mtaani kwa Bei ndogo zaidi pia hamna shida.
Jiandae kwenda shamba sana hususani kipindi hiki cha uzalendo.
Track na raba muhimu(nunua raba za kazi sio za kibishoo)
Jiandae kuzunguka sana Tanzania iwe utapata ajira au hautapata.
Wasalimie sana makamanda wa pale.
Kama una swali lingine uliza
Sawa mkuu afande njiku salam atazipataUkifika msalimie afande Njiku.
Mambo ya depo.....Cha muhimu zaidi ukifika pale getini jitambulishe vizuri kuwa wewe ni RSM mpya umekuja kuripoti
RSM ni Recruit Service Man
Jiandae kwenda kupiga punyeto tu, au ulitaka nini zaidi ya hapo?Habari wapendwa Ivi wanaoripoti ruvu jkt tarehe 27 kuna utaratibu gani nauliza?
Ushauri wako sitosahau mkuuCha muhimu zaidi ukifika pale getini jitambulishe vizuri kuwa wewe ni RSM mpya umekuja kuripoti
RSM ni Recruit Service Man
Sawa mkuu naskia gambe lipoJiandae kwenda kupiga punyeto tu, au ulitaka nini zaidi ya hapo?