Kwenda ruvu kuripoti

Hakuna utaratibu we ukiweza nyoa kipara kabisa japo hata ukinyoa kawaida hamna ishu utanyoa hukohuko.
Kuwa na pesa kidogo ya akiba matumizi kama sabuni na mafuta maana mkiripoti posho inaweza kuchelewa na angalau ubadilishe mlo kidogo maana mwanzoni utakuwa hujazoea,

Pale shukia mlandizi kisha chukua boda hadi kikosini(nauli ni buku usitapeliwe)

Ukifika nidhamu tu Usisahau tranka ukabeba begi utahamishiwa sana.

Mahitajio yote kikosini yanauzwa ila ukiweza kununua mtaani kwa Bei ndogo zaidi pia hamna shida.

Jiandae kwenda shamba sana hususani kipindi hiki cha uzalendo.
Track na raba muhimu(nunua raba za kazi sio za kibishoo)

Jiandae kuzunguka sana Tanzania iwe utapata ajira au hautapata.

Wasalimie sana makamanda wa pale.
Kama una swali lingine uliza
 
images (6).jpeg
 
Nashukuru mkuu nitawapa salam🫡
 
Kununua vifaa vyote inacost kama shilingi ngapi mkuu
 
Umekata maji na umeme
 
Nunua poda km mbili hivi,nunua soxi za mtumba km pea mbili au tatu nunua dazeni ya viwembe,nunua leso kwaajiri ya kujifuta ,shaver bila kusahau km una ndevu na unatumia hair remover unayoijua itakuwa poa Sana ili kuzuia kutokea kwa upele hivyo ndo muhim kwa jinsi ni nanyokumbuka ikiwezekana nunua ndoo ndogo,track suit,hela Ila uifiche hasa watu wasijue km unahela Mambo ni mengi ukijifanya kununua kambini utanunua kwa Bei ya Mara mbili
 
Back
Top Bottom