Kweli uislamu ndiyo dini ya haki kuliko zingine

Soon naenda kubadilisha mawazo yangu aisee nimeamini uislamu ndiyo dini ya haki kuliko hizo imani zingine hizo na nimemtaarifu mke wangu,watoto wangu,ukoo wangu wote leo ndiyo mwisho wa kuwa na hii imani ya uongo na uzushi so jumatatu watu wote wa nyumbani na ukoo wangu tunaenda msikitini na kubadilisha dini na kuwa na dini ya ukweli na haki uislamu Aisee

Nimekuwa najiuliza kwanini uislamu unapigwa vita? Hii kitu imenifikirisha na nikaja na conclusion ya kwamba mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe Kwasababu ni dini ya haki na ya ukweli kwanini dini zingine hazifanyiwi hivyo?

Na nakikri uislamu utashinda na utaendelea kusambaa dunia mzima

" Mimi jemaine alex paroko aliyehasi wa kanisa......jimbo la iringa"
hii familia yako na yenyewe imechunguza kama wewe?
 
Ni majini ya Allay yamekuingia angalia vizuri unaangamia hivyo. Tuka huko haraka!
 
Haujajiuliza pia kwanini Nguruwe anapigwa vita kisha uje na conclusion ya kwamba mti wenye matunda ndio unapigwa mawe na mbona ni nguruwe tu na sio ng’ombe na mbuzi?
Miti mingine hupigwa mawe kwa sababu kuna nyoka yuko humo.
 
Nyuzi zako nyingi wewe ni mwanamke umekuwaje mwanaume
!!???
Si mwisilam waislam kwao uongo ni ibada na utakatifu

Wanaita taqiya huyu hajawahi kuwa mkristo wala hatokuja kupokea Neema ya KRISTO maishan mwake

Huyu mjinga ni mjinga kweli
 
Haujajiuliza pia kwanini Nguruwe anapigwa vita kisha uje na conclusion ya kwamba mti wenye matunda ndio unapigwa mawe na mbona ni nguruwe tu na sio ng’ombe na mbuzi?
Afadhali unempa za uso mnafiki huyo.
Uislam unapigwa vita na nani? Si kila kinachopigwa vita kiko sahihi.
Hata cocaine inpigwa vita sana.
 
Haujajiuliza pia kwanini Nguruwe anapigwa vita kisha uje na conclusion ya kwamba mti wenye matunda ndio unapigwa mawe na mbona ni nguruwe tu na sio ng’ombe na mbuzi?
We ni genius. Quickly response.
 
Soon naenda kubadilisha mawazo yangu aisee nimeamini uislamu ndiyo dini ya haki kuliko hizo imani zingine hizo na nimemtaarifu mke wangu,watoto wangu,ukoo wangu wote leo ndiyo mwisho wa kuwa na hii imani ya uongo na uzushi so jumatatu watu wote wa nyumbani na ukoo wangu tunaenda msikitini na kubadilisha dini na kuwa na dini ya ukweli na haki uislamu Aisee

Nimekuwa najiuliza kwanini uislamu unapigwa vita? Hii kitu imenifikirisha na nikaja na conclusion ya kwamba mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe Kwasababu ni dini ya haki na ya ukweli kwanini dini zingine hazifanyiwi hivyo?

Na nakikri uislamu utashinda na utaendelea kusambaa dunia mzima

" Mimi jemaine alex paroko aliyehasi wa kanisa......jimbo la iringa"
Haki ni nini?
 
Back
Top Bottom