Kweli Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo!

Kwa kifupi ni kuwa hadithi hii inatufundisha kuwa unapokuwa na madaraka usijione ndo mwisho wa dunia hata wanaotamba leo subiri huko mbeleni watakiona cha moto tuu, nawashangaa wabunge wa ccm wanapishindwa kuweka mambo sawa wakati wanayo nafasi badala yake wanakalia ushabiki tuu wakidhani wataongoza hilo bunge milele, nani alidhani Yusuph Makamba na Kinana wataitwa kuhojiwa? bilashaka hayupo! Wewe ungewaza hivo ungepigwa shaba.
 
Huwa tunasema, ni wanaccm wachache sana wanaweza kufanya siasa za kweli na ushawishi wa hoja nje ya vyombo vya dola. Huyo Mwigulu niliwahi kumwambia analeta nyodo na majigambo kwakuwa yuko kwenye madaraka na ana nafasi ya kuyatumia atakavyo, ila siku akitoka hapo atakuwa mtori tu. Sasa hivi naona hata uvivu kumuuliza anipe mrejesho wa nguvu alizokuwa anadhani anazo. Kama mpaka hiyo timu ya Singida United imefikia kudhalilika basi kazi ipo.
FB_IMG_1563979271204.jpg
 
Halafu kuna watu wanasema wabunge wa ccm wanaushawishi hivyo wanarudi wote bungeni!
Hivi ushawishi wa Msigwa asiye na nguvu ya dola waweza kulinganishwa na huyo Mwigulu? Au Makamba? Sugu jee? Mnyika au Heche jee?
Ni wazi wabunge wa upinzani wote ndio marafiki wa wananchi na hakika kama kuna kuwa na tume huru ya uchaguzi na uchaguzi wa haki basi CCM kama itaambulia 20% ikadhikiri uchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenichekesha kinyama ,sema mtiririko mfupi,iediti uendelee kushusha hii burudani kwa afya ya ubongo,"merry xsmas"
Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo !

Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa!

Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa!

Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3 Milioni !

Mwenye Timu ( Mwigulu Lameck Nchemba ) anapigiwa simu hapokei na anajificha!

"Vijana" wake waliokuwa na majivuno kama Festo Sanga wanakuwa wadogo kama kidonge cha Pilitoni!

Comrade January Makamba anapotea kwenye ulingo wa siasa za CCM na ndoto zake za Urais zimeyeyuka kama barafu juani anabaki kuiga mitoko,pozi na mavazi ya Barack Obama na kupiga tu picha kwenye locations alizopita Obama naye aonekane visionary!

Ubunge wa Bumbuli tena hautamani kwani mbele anaona giza tu!

Comrade Nape Nnauye kiburi kile cha kupita juu ya viuno vya akina Mama kule jimboni Mtama kwisha kabisa!

Anapigishwa kwata kuingia Ikulu kutokea getini huku akifuta jasho na kugeuka geuka nyuma mithili ya Kibaka anayefukuzwa baada ya kukwapua sidiria au chupi pale Manzese Darajani!

Ma- Guru wa siasa za CCM Mzee Abdulrahaman Kinana, Mzee Yusuph Makamba na Kachero Mbobezi Bernard Kamillius Membe wakiitwa kwa dharau kuhojiwa na akina Humphrey Polepole!

Hayo yote yakiwatokea Ma- comrades wangu hawa ! ;

Comrade Paul Makonda mambo yake yako mstari kiasi kwamba ni Mkuu wa Mkoa tu wa DSM lakini anaogopeka na ana nguvu kuliko hata Waziri Mkuu wa JMT.

Mwanaharakati Cyprian Nyamagambire Musiba ana nguvu kiasi ambacho vyombo vya dola havina budi kufanyia kazi maelekezo yake! akikusonta Musiba kuwa unampinga Rais Magufuli jua umekwisha!

Omba Mungu watu wasiojulikana wakikufuata mipango yao itibuke ama sivyo historia yako itakuwa kama ya Ben Saanane au Azory Gwanda! You will be silenced forever !

Mwita Mwikwabe Waitara aliyekuwa akibeza CCM majukwaani 2015 leo ana nguvu ndani ya Serikali ya CCM na anapowajibu Wapinzani Bungeni na kumtetea Rais Magufuli anafanya hivyo kwa nyodo huku akicheua kichuri kilichochanganyika na pombe ambayo harufu yake inaweza kukatwa tu na dawa zinazodungwa kuhifadhia maiti mochwari!

KWELI CCM MPYA CHINI YA MAGUFULI NI KIBOKO!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa tunasema, ni wanaccm wachache sana wanaweza kufanya siasa za kweli na ushawishi wa hoja nje ya vyombo vya dola. Huyo Mwigulu niliwahi kumwambia analeta nyodo na majigambo kwakuwa yuko kwenye madaraka na ana nafasi ya kuyatumia atakavyo, ila siku akitoka hapo atakuwa mtori tu. Sasa hivi naona hata uvivu kumuuliza anipe mrejesho wa nguvu alizokuwa anadhani anazo. Kama mpaka hiyo timu ya Singida United imefikia kudhalilika basi kazi ipo.
Ni basi tu tunaishi ktk jamii ilostarabika kidogo, otherwise Mwigulu alitakiwa awe gerezani. Bashite naye naona akitembelea kwenye reli ileile.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo kwa mwiguru na maskafu yake mpaka chooni. Akawa na timu kabisa. Sasa anaikimbia.
January makatani amebaki kuiga mitoko na pozi za Barack Obama. (Kwa hawa wawili I see nikiri wazi amenitendea haki kabisa kwa hizi njemba. Hizi njemba mbili ziliona dunia zimeipatia kweli. Wengine mafara tu) .
Mwingine anacheua kichuri ilichanganyikana na na inaweza kukatwa kwa?. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwita Mwikwabe Waitara aliyekuwa akibeza CCM majukwaani 2015 leo ana nguvu ndani ya Serikali ya CCM na anapowajibu Wapinzani Bungeni na kumtetea Rais Magufuli anafanya hivyo kwa nyodo huku akicheua kichuri kilichochanganyika na pombe ambayo harufu yake inaweza kukatwa tu na dawa zinazodungwa kuhifadhia maiti mochwari!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115][emoji115][emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nachofurahi watu kama Nape,Makamba na kinana wanasoma namba,maamuzi yao yalitugharimu sana na kututusi kumbe maamuzi waliyokuwa wanafanya hawakujua ipo itawagharimu wao wenyewe.

Nape alizima bunge live , makamba jr alileta sheria za cyber ,leo hii wanaisoma namba .

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliona dunia yote yao na waliona wameipatia kuliko kijana yoyote Tanzania. Mam**** zao. Hawa ameninyooshea kweli. Napenda hawa waendelee kunyoooshwa mpaka chapati waziite keki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wengi sana, tatizo ni kwamba wapinzani wanaamini zaidi kuwa CCM inatumia sana dola kuendeleza ufalme wake. Ila ukweli ni kwamba kuna wana CCM wengi ni Wazalendo na wapenda nchi kushinda maelfu ya viongozi wa upinzani
Hakuna kitu. Bila dola na makaret ya kunyang'anya kura ccm ilishajifia zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa tunasema, ni wanaccm wachache sana wanaweza kufanya siasa za kweli na ushawishi wa hoja nje ya vyombo vya dola. Huyo Mwigulu niliwahi kumwambia analeta nyodo na majigambo kwakuwa yuko kwenye madaraka na ana nafasi ya kuyatumia atakavyo, ila siku akitoka hapo atakuwa mtori tu. Sasa hivi naona hata uvivu kumuuliza anipe mrejesho wa nguvu alizokuwa anadhani anazo. Kama mpaka hiyo timu ya Singida United imefikia kudhalilika basi kazi ipo.
Watz tuwe na uzalendo tusimwachie timu ya Moira yeye peke yake. Tuichangie timu
 
Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo !

Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa!

Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa!

Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3 Milioni !

Mwenye Timu ( Mwigulu Lameck Nchemba ) anapigiwa simu hapokei na anajificha!

"Vijana" wake waliokuwa na majivuno kama Festo Sanga wanakuwa wadogo kama kidonge cha Pilitoni!

Comrade January Makamba anapotea kwenye ulingo wa siasa za CCM na ndoto zake za Urais zimeyeyuka kama barafu juani anabaki kuiga mitoko,pozi na mavazi ya Barack Obama na kupiga tu picha kwenye locations alizopita Obama naye aonekane visionary!

Ubunge wa Bumbuli tena hautamani kwani mbele anaona giza tu!

Comrade Nape Nnauye kiburi kile cha kupita juu ya viuno vya akina Mama kule jimboni Mtama kwisha kabisa!

Anapigishwa kwata kuingia Ikulu kutokea getini huku akifuta jasho na kugeuka geuka nyuma mithili ya Kibaka anayefukuzwa baada ya kukwapua sidiria au chupi pale Manzese Darajani!

Ma- Guru wa siasa za CCM Mzee Abdulrahaman Kinana, Mzee Yusuph Makamba na Kachero Mbobezi Bernard Kamillius Membe wakiitwa kwa dharau kuhojiwa na akina Humphrey Polepole!

Hayo yote yakiwatokea Ma- comrades wangu hawa ! ;

Comrade Paul Makonda mambo yake yako mstari kiasi kwamba ni Mkuu wa Mkoa tu wa DSM lakini anaogopeka na ana nguvu kuliko hata Waziri Mkuu wa JMT.

Mwanaharakati Cyprian Nyamagambire Musiba ana nguvu kiasi ambacho vyombo vya dola havina budi kufanyia kazi maelekezo yake! akikusonta Musiba kuwa unampinga Rais Magufuli jua umekwisha!

Omba Mungu watu wasiojulikana wakikufuata mipango yao itibuke ama sivyo historia yako itakuwa kama ya Ben Saanane au Azory Gwanda! You will be silenced forever !

Mwita Mwikwabe Waitara aliyekuwa akibeza CCM majukwaani 2015 leo ana nguvu ndani ya Serikali ya CCM na anapowajibu Wapinzani Bungeni na kumtetea Rais Magufuli anafanya hivyo kwa nyodo huku akicheua kichuri kilichochanganyika na pombe ambayo harufu yake inaweza kukatwa tu na dawa zinazodungwa kuhifadhia maiti mochwari!

KWELI CCM MPYA CHINI YA MAGUFULI NI KIBOKO!
Umewasilisha vyema,nimecheka sana.

Ww ndo unajua leo
 
Mwigulu alitengeneza makundi ya Vijana ya I'll yateke na kutesa wapinzani ...Iramba amejenga chuki miongoni mwa Vijana,Leo hii amechoka ndembendembe ,hoi poloi ...Shetani Hana Rafiki'
 
Back
Top Bottom