Kweli Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo!

Kweli Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo!

siasa ili usalimike inahitaji uwe na akili lakini uwezo wa kuhimili msukumo/pressure na usiwe na mihemko, yaani uwe na utaratibu wako wa kipee ndio utaweza kuishi awamu zote.

yaani kuwa kama kinyonga, kuwa kama Mh William Lukuvi[emoji23][emoji23][emoji23]

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
IMG_0308.JPG
 
Awamu hii itakuwa historia kama zilivyo historia zingine.

Wako wapi majeuri zaidi ya hawa katika utawala huu...!
Watapita kama walivopita kina ngeleja,masha siku hizi wanasalimia kila mtu kiburi na dharau kwishney.Kuna jamii zingine hazifaipewa madaraka
 
Mimi naona sawa tu, kuna watu wakikabidhiwa ofisi wanakula na vipofu huku wakiwapapasa mikono. "Wanajawa na jeuri kama nyeti", acha na wao "wakate mauno" kama the majority Tanzanians.

Na wao wakumbuke "kula kwa jasho".



Sent using Jamii Forums mobile app
 
NIMEIKUTA MAHALI

Siasa za CCM Mpya ya Rais Magufuli si mchezo.

Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa.

Kiburi, kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa.

Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3 Milioni.

Mwenye Timu (Mwigulu Lameck Nchemba) anapigiwa simu hapokei na anajificha.

"Vijana" wake waliokuwa na majivuno kama Festo Sanga wanakuwa wadogo kama kidonge cha Pilitoni.

Comrade January Makamba anapotea kwenye ulingo wa siasa za CCM na ndoto zake za Urais zimeyeyuka kama barafu juani anabaki kuiga mitoko, pozi na mavazi ya Barack Obama na kupiga tu picha kwenye locations alizopita Obama naye aonekane visionary.

Ubunge wa Bumbuli tena hautamani kwani mbele anaona giza tu.

Comrade Nape Nnauye kiburi kile cha kupita juu ya viuno vya wakina Mama kule jimboni Mtama kwisha kabisa.

Anapigishwa kwata kuingia Ikulu kutokea getini huku akifuta jasho na kugeuka geuka nyuma mithili ya Kibaka anayefukuzwa baada ya kukwapua sidiria au chupi pale Manzese Darajani.

Ma- Guru wa siasa za CCM Mzee Abdulrahaman Kinana, Mzee Yusuph Makamba na Kachero Mbobezi Bernard Kamillius Membe wakiitwa kwa dharau kuhojiwa na akina Humphrey Polepole.

Hayo yote yakiwatokea Ma- comrades wangu hawa:

Comrade Paul Makonda mambo yake yako mstari kiasi kwamba ni Mkuu wa Mkoa tu wa Dar es salaam lakini anaogopeka na ana nguvu kuliko hata Waziri Mkuu wa Tanzania.

Mwanaharakati Cyprian Nyamagambire Musiba ana nguvu kiasi ambacho vyombo vya dola havina budi kufanyia kazi maelekezo yake! Akikusonta Musiba kuwa unampinga Rais Magufuli jua umekwisha.

Omba Mungu watu wasiojulikana wakikufuata mipango yao itibuke ama sivyo historia yako itakuwa kama ya Ben Saanane au Azory Gwanda. You will be silenced forever.

Mwita Mwikwabe Waitara aliyekuwa akibeza CCM majukwaani 2015 leo ana nguvu ndani ya Serikali ya CCM na anapowajibu Wapinzani Bungeni na kumtetea Rais Magufuli anafanya hivyo kwa nyodo huku akicheua kichuri kilichochanganyika na pombe ambayo harufu yake inaweza kukatwa tu na dawa zinazodungwa kuhifadhia maiti mochwari.

KWELI CCM MPYA CHINI YA RAIS MAGUFULI NI KIBOKO!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeikuta mahali wapi wakati Uzi huu nimeuandika mimi Fumadilu Kalimanzila?!
Wazee wa ku- copy na ku- paste!
Jifunze kuwa unapo- copy kazi ya mtu mwingine basi declare na Author wa kazi hiyo! Huo ndo ustaarabu wa kisomi duniani!
Uzi huu uko humu JF sasa unaposema umeukuta mahali, wapi?!
Mkuu msamehe bure hajasoma Mambo ya Citations.
Note: Ni kosa kubwa kisheria kucopy Kazi ya mtu mwingine bila kufanya Citation kitaalamu Hicho kitendo kinaitwa pragialism.

Narudi kwenye mada baada ya kuelimisha kidogo kile nikijuacho juu ya wizi wa maandishi.

Kiukweli Siasa chini ya JPM itawapoteza wengi Sana Hadi kuja kufikia 2025 na sababu Ni moja tu Rais Magufuli siyo mwanasiasa kabisa Bali nature yake Ni mtendaji wa Kazi.(hata yeye alishasema).

Kwahiyo, wale wote nguli wa siasa nje na ndani ya CCM kwa kipindi chake Cha urais wataendelea kupotea siku Hadi siku.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo !

Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa!

Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa!

Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3 Milioni !

Mwenye Timu ( Mwigulu Lameck Nchemba ) anapigiwa simu hapokei na anajificha!

"Vijana" wake waliokuwa na majivuno kama Festo Sanga wanakuwa wadogo kama kidonge cha Pilitoni!

Comrade January Makamba anapotea kwenye ulingo wa siasa za CCM na ndoto zake za Urais zimeyeyuka kama barafu juani anabaki kuiga mitoko,pozi na mavazi ya Barack Obama na kupiga tu picha kwenye locations alizopita Obama naye aonekane visionary!

Ubunge wa Bumbuli tena hautamani kwani mbele anaona giza tu!

Comrade Nape Nnauye kiburi kile cha kupita juu ya viuno vya akina Mama kule jimboni Mtama kwisha kabisa!

Anapigishwa kwata kuingia Ikulu kutokea getini huku akifuta jasho na kugeuka geuka nyuma mithili ya Kibaka anayefukuzwa baada ya kukwapua sidiria au chupi pale Manzese Darajani!

Ma- Guru wa siasa za CCM Mzee Abdulrahaman Kinana, Mzee Yusuph Makamba na Kachero Mbobezi Bernard Kamillius Membe wakiitwa kwa dharau kuhojiwa na akina Humphrey Polepole!

Hayo yote yakiwatokea Ma- comrades wangu hawa ! ;

Comrade Paul Makonda mambo yake yako mstari kiasi kwamba ni Mkuu wa Mkoa tu wa DSM lakini anaogopeka na ana nguvu kuliko hata Waziri Mkuu wa JMT.

Mwanaharakati Cyprian Nyamagambire Musiba ana nguvu kiasi ambacho vyombo vya dola havina budi kufanyia kazi maelekezo yake! akikusonta Musiba kuwa unampinga Rais Magufuli jua umekwisha!

Omba Mungu watu wasiojulikana wakikufuata mipango yao itibuke ama sivyo historia yako itakuwa kama ya Ben Saanane au Azory Gwanda! You will be silenced forever !

Mwita Mwikwabe Waitara aliyekuwa akibeza CCM majukwaani 2015 leo ana nguvu ndani ya Serikali ya CCM na anapowajibu Wapinzani Bungeni na kumtetea Rais Magufuli anafanya hivyo kwa nyodo huku akicheua kichuri kilichochanganyika na pombe ambayo harufu yake inaweza kukatwa tu na dawa zinazodungwa kuhifadhia maiti mochwari!

KWELI CCM MPYA CHINI YA MAGUFULI NI KIBOKO!
Kweli things do change

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu msamehe bure hajasoma Mambo ya Citations.
Note: Ni kosa kubwa kisheria kucopy Kazi ya mtu mwingine bila kufanya Citation kitaalamu Hicho kitendo kinaitwa pragialism.

Narudi kwenye mada baada ya kuelimisha kidogo kile nikijuacho juu ya wizi wa maandishi.

Kiukweli Siasa chini ya JPM itawapoteza wengi Sana Hadi kuja kufikia 2025 na sababu Ni moja tu Rais Magufuli siyo mwanasiasa kabisa Bali nature yake Ni mtendaji wa Kazi.(hata yeye alishasema).

Kwahiyo, wale wote nguli wa siasa nje na ndani ya CCM kwa kipindi chake Cha urais wataendelea kupotea siku Hadi siku.


Sent using Jamii Forums mobile app
..... ILI ATAKAPONIPENDEKEZA KUFUATA NYAYO NIPITE BILA KUPINGWA!
.... KWAKWELI 'ASPIRANTS' WASAHAU!
😎 😎 😛 🤭🤭😂😂😂
 
Back
Top Bottom