Kweli nimuache aoe wakati mimi nahangaika na kiumbe chake?

Kweli nimuache aoe wakati mimi nahangaika na kiumbe chake?

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
430
Hii sasa too much.

Nimenyamaza kimya naona nashindwa kabisa.

Ninaujauzito wake nimekaribia kujifungua namuambia anipe ela ya maandalizi ya kujifungua ananijibu yupo busy na maandalizi ya michango ya harusi anaoa.

Yaani kweli kabisa nimuache aoe wakati mimi nahangaika na kiumbe chake mwisho wa siku mtoto wangu akose malezi ya baba, kibaya zaidi ananitambia kabisa."kwamba najua mtoto ni wangu ila nilikuambia uitoe tujipange kwanza ukakataa sasa majuto ni mjukuu jipange upya".

Kweli simuachi naenda kwa bibi mmoja Kigoma yuko vizuri ile mbaya hatumii dawa anakupeleka kwenye mto wenye maji unaongea mambo yako hapo nae anaongea mambo yake kazi kwisha.
 
Mi cimo ndo kwanza mke wangu nimemfumania jana sasa ukitaka kujua kilicho tokea nitafute inbox
 
hii sasa too much!! nimenyamaza kimya naona nashindwa kabisaaaa
ninaujauzito wake nimekalibia kujifungua namuambia anipe hela ya maandaliz ya kujifungua ananijibu yupo busy na maandalizi ya michango ya harusi anaoa....
yaan kweli kabisa nimuache aoe wakati mm nahangaika na kiumbe chake mwisho wa siku mtoto wangu akose malezi ya baba.. kibaya zaidi ananitambia kabisa
(kwamba najua mtoto ni wangu ila nilikuambia uitoe tujipange kwanza ukakataa sasa majuto ni mjukuu jipange upya)
kwel simuachi naenda kwa bibi mmoja kigoma yuko vizuri ile mbaya hatumii dawa anakupeleka kwenye mto wenye maji unaongea mambo yako hapo nae anaongea mambo yake kazi kwisha.

mimba umepataje ??
wanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani PM tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani PM please tutafutane
 
There are an unbelievable number of stup..id people in this world!

and remember that,....'' when the pain of holding on is greater than the pain of letting go, then its time to let it go''!
 
mwaka huu

ndio huyu au mwengine ??
Mm ninamchumba wangu katembea na rafiki yang nifanyeje? Moyoni kanitoka kabisa tatizo keshanitambulisha kwao na kunivisha pete ya uchumba mbele ya kanisa na mahari ni tarehe 27 nifanyeje binafsi kanitoka kabisaaa!!! Na cjui hiyo ndoa itakuaje nishaurini jmn
 
ndio huyu au mwengine ??

ndo huyo cha ajabu wazazi wake kawaambia ujauzito nilionao sio wake kisa tu nilimwambia mama yake mwanzo kuwa ninaujauzito na yeye hakutaka aliniambia niitoe kwanza ili asitengwe kanisani kama tumefanya mapenz kabla ya ndoa
 
ndo huyo cha ajabu wazazi wake kawaambia ujauzito nilionao sio wake kisa tu nilimwambia mama yake mwanzo kuwa ninaujauzito na yeye hakutaka aliniambia niitoe kwanza ili asitengwe kanisani kama tumefanya mapenz kabla ya ndoa

ni huyu au mwengine ??
ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje
 
Back
Top Bottom