Haniridhishi jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haniridhishi jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Anna pita, Oct 16, 2012.

 1. Anna pita

  Anna pita Senior Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm kwani ulikuw bado hamja fanya jigjig kabla ya kwenda kutambulishana kwa wazazi?
   
 3. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  kama anakunywa mwambie anywe sminorf moja na redbul utauona mziki wake atachukua kama 30min hivi
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,300
  Likes Received: 22,086
  Trophy Points: 280
  Jamani, kwanini umefanya mapenzi nje ya ndoa?
  Mpe nafasi nyingine utaona atakavyo kusukumia moto hadi upige NDURU
   
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaaa! Punguza woga! I naonekana mtoto MTAMU SANA WEWE!!!!! Hiyo ni sababu KIPYA HAKINYEMI!!!! Akikuzoea itaishaaaa yenyewe!!!! Ingekuwa umemkuta ANAKIBAMIA KIDOGO hapo kweli, manake nothing could be repaired!!!!!!! LOL!

  Huo ni usongo tu alikokuwa nao ndo uilomponza.
   
 6. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mh! hii kali
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,320
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  Bujibuji swali umeuliza vizuri tena kwa mshangao kama na wewe ni Shekhe au mchungaji....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  I was thinking in the same line!
   
 9. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hali ya kawaida kwa beginners atafute ushauri kwa wataalam mfadhaiko huo utaisha! Wengi huanza hivyo nina marafiki zangu wengi walikuwa na tatizo kama hilo incl mimi leo hii i can stay for 45 min. Ni pm kama nahitaji ushauri zaidi.
  Huduma hii ni kwa wanandoa tu.........!
   
 10. Anna pita

  Anna pita Senior Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  tulikua bado kwani ni mtu wa dini sana na ana cheo kanisani hivyyo nadhani alikua anaogopa
   
 11. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,364
  Likes Received: 986
  Trophy Points: 280
  Inaonekana ulikuwa unam-bania,km vp mpe mzigo mfululizo km wiki 2 hivi,ukiona badö anazingua uje kwa ushauri zaidi,
   
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hupitwiiii!!!! Hii kitu ya SMINORF UKIMIX NA AMARULA NASIKIA INAKUWA MATATA SANAAA!! JUZI KATI NILIKUWA A TOWN NDO NIKAKUTA NDO HABARI YA MUJINI KWA SASA HUKO!!! LOL!

  Bado najipanga kuijaribu manake waliokuwa wanatengeneza hiyo chemical reaction ya CONCO SULPHIRIC ACID NA KUSHOOT DOUBLE DOBLE NI MICONCORD YA POMBE!!! Ila iligeuka nyonde nyonde Nimeogopa KUTAPIKA MAINI!!!!

  Bado niko maabara najiandaa kutest! Mama nisipitwe siwezi kupitwa! LOL!
   
 13. Anna pita

  Anna pita Senior Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  huwa hatumii ni mtu wa dini sana
   
 14. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,624
  Trophy Points: 280
  Ukipenda boga penda na ua lake...kama wewe unauzoefu si utoe somo kwa huyo mwenzi wako?
  Halafu nilivyosoma Heading nikadhani ni ishu imeendelea kwa muda mrefu kumbe ni ishu ya siku moja tu!
   
 15. Anna pita

  Anna pita Senior Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  nilikua simbanii kwanza nimemuachia dudu yote nikategemea nimekutana na mtu mchapa kazi anaejua nini anafanya, bado nikafikiri ni mwanzo tu baadae atakaa sawa badae akaanza kunishika kwa mbwembwe ni kajua mwanajeshi kaingia vitani ikawa yale yale alafu ananiuliza umemaliza swty kidogo ni mtemee mate
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,494
  Trophy Points: 280
  inawezekana anakuogopa bado hajarelax bado... Akisha relax utakimbia na chupi mkononi.
   
 17. M

  Maega Senior Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Subiri akuzoee uone balaa lake
   
 18. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo kama hakuridhishi unataka kumpiga chini????

  Ok, nakushauri ongea naye juu ya tatizo hilo kisha uone response yake.
  Hata hivyo ni kitu kinachozungumzika kabisa.
   
 19. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,026
  Likes Received: 3,220
  Trophy Points: 280
  Kani ww unamridhisha?? kama ndio umejuaje?
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  duuuuh makubwa
   
Loading...