Utaelewa baadae ww,29 to 35Wote bila wateja kuhitaji maji dawasco hawawezi kupata faida dawasco na wateja wote wanapeana faid a.
1.dawasco kulipwa fidia zao kila mwezi
2. Na wateja kupata maji kutoka kwa dawasco.
Sent using Jamii Forums mobile app

hapa amezalishwa mtuWanaume wanatudharau sana.
Kwasababu wao ndio wanatulala.
Wao ndio wanatupa mimba na hata kama wakikataa wao hizo mimba wanao wapa mabinti au wadada unamtunzia unahangaika mtoto anakuja kukua na anaemda mahakamani nakumchukua.
Ni Tanzania pekee wanaume wanatunzwa na kutunziwa familia zao.
Ni Tanzania pekee wanaume wanawala wake zao tigo kama nini.
Ni Tanzania pekee wakaka wanakaa vijiweni muda wakazi wanaambizana kuhusu wakina halima na aisha.
Unakuta wanawake wanapigana kisa Musa naye musa wala hana mpango nao.
Unaweza kukuta anaoa mwingine.
Nani Tanzania pekee ambayo Musa anaweza kutunzwa na Aish kwa kila kitu anakuja kumpa mimba Amina na Anamhonga aisha nakumuoa Dorothea
Upo hapo.
Ndio maana tunadharauliwa .
Tunachezewa hadi basi mwisho tunapigwa tunatusiwa nakutimuliwa.
Basi hali ndio hiyo.
Usidharauliwe na unampa mwanaume hela anakulala halafu bado unamtoa out na mazawadi nahuku niwewe ndio unastahili baadae kimbembe kaolewa mwingine.
Tujiheshimu sana kwa maana tunadharaulika mno kushinda hata zamani.
Namkiwa hamna hela wanaenda kwa wengine hata kama mmeoana .
Punguzeni kuwapa hawa hela mtu atafute njia ya kukupa wewe.
Hata bustani ya edeni hawa laana yake ilikuwa nikuzaa kwa uchungu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Congrats..
Nimekupenda katoto kazuriWanaume wanatudharau sana.

Njoo nipitie hapa bunju
Kuna harufu ya Mario kumtenda mtoto mzuri alietoa mada hii!
Tatizo kupenda hakuna mipaka
hahaha katoto kazuri bhana! mimi huwa hanipi shida nilishamwelewa kitamboUmewalaumu sana wanaume lazima umri wako unaanza kupita ule wa kuitwa kwa miluzi, sasa vipodozi vinaanza kumea usoni
Sent using Jamii Forums mobile app
whistle-to make a clear musical sound, a series of such sounds, or a high-pitched, warbling sound by the forcible expulsion of the breath through a small opening formed by contracting the lips, or through the teeth, with the aid of the tongue.
low thinking capacity (LTC)Uyo atakua ana matatizo ya akili au mwezi mchanga
Kabisa mkuuKuna harufu ya Mario kumtenda mtoto mzuri alietoa mada hii!
Usije ukamstua Asprin sasa na yeye akajipa safari humo humo[emoji23]Njoo nipitie hapa bunju
hahaha mkuu #umeua kabisa kwamba ni bora umdharau ila alipwe pensionKwaiyo point yako unataka udharauliwe uku unalipwa sio?
Ok all the best
Hommie huyu Sakayo ndio yule niliyekuomba uwe bestman kwa harusi yetu.Usije ukamstua Asprin sasa na yeye akajipa safari humo humo[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app